Unyonge wa kiuchumi umefanya wanasiasa wa upinzani kudharauliwa na wananchi

Orodhesha wanasiasa wanaharakati wote unaowajua kwa majina yao, utagundua katika ujumla na umoja wao hayupo mwenye nafuu kiuchumi, na kwahivyo wote ni dhaifu mno kiuchmi jambo linalofanya wawe na hofu ya kujitokeza hadharani na kutoa maoni yao, lakini pia hilo ni jambo linalowafanya wasiaminike kwa wananchi na badala yake wanaonekana ni waganga njaa tu waliopoteza uelekeo.

Hawawezi kukusanyika au kuungana pamoja kwasababu ya uoga ulio ndani yao na kwamba hayupo kati yao mwenye uwezo wa kiuchumi wa kumuokoa au kumsaidia kitu mwingine endapo litatokea lolote juu yake.
Fear of unknown imewazonga.

Hawajiamini ndio maana wanasema wanayoyasema wakiwa mafichoni.
Wamekua kama EU wanavyomuogopa Vladimir Putin.

Wanategemea sana public sympathy ili kuendelea kua relevant katika siasa na kujaribu kujipa u saint katika medani ya siasa.

Hawana uwezo wa kujitegemea na kusonga mbele bila kuwapiga vizinga vya hela wananchi kwenye mikutano ya kisiasa, kitu ambacho kimewafanya wananchi hao kushtuka na kusita kuwaunga mkono wanaharakati hawa waropokaji, wabishi wenye viburi.

Wananchi wamegutuka na wanajiuliza, hivi, waropokaji hawa wanaopiga kelele eti wanatetea haki za wananchi, mbona hata sura zao, mavazi yao, na hata afya zao vinaashiria na kuonyesha wazi kabisaa kwamba mtu watu hawa wana njaa na kiu, na huenda wakawa hawna hata kumi mbovu mfukoni, na ni dhahiri hata baada ya mikutano yao ya hadhara wataomba kuchangiwa pesa za nauli na pesa ya kujikimu?

Na hivi sasa
wananchi wengi maeneo mballimbali nchini, wanaulizana, kwanini wanaharakati hawa wabishi wa siasa nchini , wasifanye jitihada na mapambano ya kujikomboa kwanza wao wenyewe kiuchumi, ndipo sasa waweze kuaminika kwa wananchi na wawe na nguvu zaidi ya kujitegemea katika kutetea wananchi?

Ukapuku wa kiuchumi umewafanya wanasiasa za harakati kudharauliwa na kupuuzwa na wananchi.
Ni wazi wanaonekana ni vibaka na matapeli waganga njaa wanaojificha kwenye koti la siasa.

Epuka utapeli wa wanaharakati uchwara wa siasa nchini.
Mungu Ibariki Tanzania
Si bure lazima umelipwa Kwa ajili ya hii kazi ..huna hoja ya mashiko ata moja..UTOPIANT
 
Nyrerere alichangiwa na Kina Mzee Rupia, Skye's, Aikaeli Mbowe na wengine ndiyo akaenda UNO na Lancaster kudai uhuru wa Tanganyika.
Hayati J.K.Nyerere,
tayari alikua na kazi yake nzur ya mshahara, na akiwa katika harakati za ndani za kuikomboa Tanazania mikononi mwa wakoloni, hakuwahi kuthubutu kuwalaghai wananchi maskini wa mkoa au wilaya yoyote humu nchini, alokua akiwapigania kwa kuwaomba pesa, kama ambavyo wanaharakati uchwara wa sasa Tanazania wanavyofanya.🤣

hiyo safari ya UNO ni ya kipekee mno,
na sio ya kuihusisha katika kuwatetea hawa vibaka na matapeli wa kisiasa ombaomba kuchangiwa pesa humu nchini 🐒
 
una cha kujifunza hapo,
kwamba hata mto wa mkulima au muuza kuku anaweza kua kiongozi. Na anatamani kua kiongozi kwa kujikomboa kiuchumi kupitia kilimo, na kwahiyo huyo anaweza kuaminika kwa wananchi.

sasa jitu limetokea huko halina historia yoyote ngumu ya mapambano, haliwezi kujitegemea kivyovyote vile, alina omba omba kuchangiwa pesa kila siku akukutana na wananchi nikulia njaa tu 🤣

eti ndio mtetezi wa wananchi 🤣
Nyerere alipoacha kazi ya ualimu na kuwa kiongozi wa TANU na kwenda kuishi Magomeni wavuvi walikuwa wanampelekea samaki na watu wengine walikuwa wanamchangia chakula.

Kama hujui historia za wapigania usawa huwezi kuelewa. CHADEMA na wanachadema wataendelea kuchangiwa na kuchangisha maana ndiyo mtindo wa wapigania haki duniani kote.
 
umeona sasa utofauti wa discipline ya ukombozi ilivyo gentleman?

umesema Mwl.Nyerere alikua analetewa samaki na chakula, right?🤣

tuje kwa hawa vibaka na matapeli wa kisiasa wa sasa nchini, Je, wanaletewaga samaki na chakula au wanazifuata wenyewe huko mikoani na kuziomba pesa na chakula tena wakati mwingine kwa nguvu kabisa?🤣
 
Hayati J.K.Nyerere,
tayari alikua na kazi yake nzur ya mshahara, na akiwa katika harakati za ndani za kuikomboa Tanazania mikononi mwa wakoloni, hakuwahi kuthubutu kuwalaghai wananchi maskini wa mkoa au wilaya yoyote humu nchini, alokua akiwapigania kwa kuwaomba pesa, kama ambavyo wanaharakati uchwara wa sasa Tanazania wanavyofanya.🤣

hiyo safari ya UNO ni ya kipekee mno,
na sio ya kuihusisha katika kuwatetea hawa vibaka na matapeli wa kisiasa ombaomba kuchangiwa pesa humu nchini 🐒
Familia ya Mandela akiwa Gerezani ilikuwa inalishwa na Farima Meer na Albertina Sisulu.

Mpigania haki na usawa duniani Ernesto "che" Guevara alizunguka sehemu mbali mbali duniani akisafirishwa na kuhudumiwa na wapenda mabadiliko duniani.

Kama hujui muulize chawa mwenzako johnthebaptist jinsi watanzania walivyochangishana kuwahudumia wanajeshi wetu wakati wa vita ya Kagera.

Wanachadema wataendelea kuomba michango, kuchangisha, kuchangiwa na kuchangia.
 
Hivi wale wahandisi waliosema watamnunulia Samia Helkopta si walikuwa wanachangia. Hivi ufisadi wote unaofanywa na CCM bado tena wachangiwe Helkopta?
 
unaelewa kuchangishana ni tofauti na kuchangishwa gentleman?🤣

haiweekani mwanasiasa unazunguka nchi nzima unawalazimisha wananchi wakuchangie pesa kwa namna mbalimbali, Yet ukimaliza kuzunguka mikoa yote nchini, ukirudi HQ unautangazia umma na kunadai chama hakina pesa kabisa unaomba waTanzania wachangie 🤣

eti unajaribu kufananisha vibaka na matapeli hawa wa kisiasa na akina mandele na Nyerere 🤣
 
Dah kweli umeamua kuwa mpiga debe Hahaha 😆
Vp kitenge na baiskeli umepata

Ova
sina haja ya kupiga debe gentleman,
mimi ni lecture na lazima niongoze mjadala kwa weledi.

hayo masuala ya debe, vitenge au baiskeli hakuna hapa mrangi 🐒
 
Isdory Thomas Sankara,
Jamaa alifanikiwa kupiga marufuku na kutokomeza kabisa tohara kwa wanawake Burkina Faso 🐒
The architects of distortion are seldom victims of ignorance, they operate with calibrated intent, veiling ambition beneath the guise of persuasion.
 
unaelewa kuchangishana ni tofauti na kuchangishwa gentleman?🤣

haiweekani mwanasiasa unazunguka nchi nzima unawalazimisha wananchi wakuchangie pesa kwa namna mbalimbali, Yet ukimaliza kuzunguka mikoa yote nchini, ukirudi HQ unautangazia umma na kunadai chama hakina pesa kabisa unaomba waTanzania wachangie 🤣

eti unajaribu kufananisha vibaka na matapeli hawa wa kisiasa na akina mandele na Nyerere 🤣
Mwalimu Nyerere naye alionekana ni kibaka tu kwa wakoloni na ndiyo maana alishitakiwa kwa kesi ya Uhaini kama CCM inavyomshitaki Lissu kwa kesi ya Uhaini .
 
Hivi wale wahandisi waliosema watamnunulia Samia Helkopta si walikuwa wanachangia. Hivi ufisadi wote unaofanywa na CCM bado tena wachangiwe Helkopta?
unaona sasa ukombozi unavyo vutia wananchi kujitolea kwa hiyari yao?

sasa wanasiasa waropokaji, wabishi, wenye viburi na waliokosa heshima kwa umma kama hawa vibaka na matapeli wa kisiasa nchini, nani atathubutu kujitolea kuwachangia vitu vya gharama kama hivyo hali ya kua ni makapuku wa kiuchumi?

si wajikomboe kwanza wao wenyewe kiuchumi ndipo waanze kuwakomboa wananchi kisiasa?🐒
 
Mwalimu Nyerere naye alionekana ni kibaka tu kwa wakoloni na ndiyo maana alishitakiwa kwa kesi ya Uhaini kama CCM inavyomshitaki Lissu kwa kesi ya Uhaini .
Mwl. J K.Nyerere alijua ukombozi unahitaji nidhamu, hekima, busara na umakini wa kiwango cha juu sana, na ndio maana hakuwahi kufanya uropokaji uliokiuka sheria kandamizi za kikoloni, kwasabb alijua vyema lengo na makusudi ya harakati zake dhidi ya waTanzania.
Nyerere hakutegemea public sympathy kama hawa vibaka na matapeli wa kisiasa nchini.

sasa wewe jitu linaropoka tu na kukiuka sheria huku likitegemea public sympathy, huyo si useless na completely nonsense activist gentleman? 🐒
 
Orodhesha wanasiasa wanaharakati wote unaowajua kwa majina yao, utagundua katika ujumla na umoja wao hayupo mwenye nafuu kiuchumi, na kwahivyo wote ni dhaifu mno kiuchmi jambo linalofanya wawe na hofu ya kujitokeza hadharani na kutoa maoni yao, lakini pia hilo ni jambo linalowafanya wasiaminike kwa wananchi na badala yake wanaonekana ni waganga njaa tu waliopoteza uelekeo.

Hawawezi kukusanyika au kuungana pamoja kwasababu ya uoga ulio ndani yao na kwamba hayupo kati yao mwenye uwezo wa kiuchumi wa kumuokoa au kumsaidia kitu mwingine endapo litatokea lolote juu yake.
Fear of unknown imewazonga.

Hawajiamini ndio maana wanasema wanayoyasema wakiwa mafichoni.
Wamekua kama EU wanavyomuogopa Vladimir Putin.

Wanategemea sana public sympathy ili kuendelea kua relevant katika siasa na kujaribu kujipa u saint katika medani ya siasa.

Hawana uwezo wa kujitegemea na kusonga mbele bila kuwapiga vizinga vya hela wananchi kwenye mikutano ya kisiasa, kitu ambacho kimewafanya wananchi hao kushtuka na kusita kuwaunga mkono wanaharakati hawa waropokaji, wabishi wenye viburi.

Wananchi wamegutuka na wanajiuliza, hivi, waropokaji hawa wanaopiga kelele eti wanatetea haki za wananchi, mbona hata sura zao, mavazi yao, na hata afya zao vinaashiria na kuonyesha wazi kabisaa kwamba mtu watu hawa wana njaa na kiu, na huenda wakawa hawna hata kumi mbovu mfukoni, na ni dhahiri hata baada ya mikutano yao ya hadhara wataomba kuchangiwa pesa za nauli na pesa ya kujikimu?

Na hivi sasa
wananchi wengi maeneo mballimbali nchini, wanaulizana, kwanini wanaharakati hawa wabishi wa siasa nchini , wasifanye jitihada na mapambano ya kujikomboa kwanza wao wenyewe kiuchumi, ndipo sasa waweze kuaminika kwa wananchi na wawe na nguvu zaidi ya kujitegemea katika kutetea wananchi?

Ukapuku wa kiuchumi umewafanya wanasiasa za harakati kudharauliwa na kupuuzwa na wananchi.
Ni wazi wanaonekana ni vibaka na matapeli waganga njaa wanaojificha kwenye koti la siasa.

Epuka utapeli wa wanaharakati uchwara wa siasa nchini.
Mungu Ibariki Tanzania
Viongozi wa upinzani hawauzi unga wala kukwepa kodi kama wa ccm, hivyo usitegemee wawe na hela za kutapanya. Ww jiandae kesho na mkutano wa kustukiza mpewe mabadiliko ya katiba na wajanja.
 
Lakini ccm wote uchumi wao ni wa kifisadi na kuihujumu Tanzania
 
Si bure lazima umelipwa Kwa ajili ya hii kazi ..huna hoja ya mashiko ata moja..UTOPIANT
utopian vip hali ya kua wanaharakati uchwara wa kisiasa wako dhohofulihali kiuchumi?

atakuamini nani hali ya kua umeshdwa kujikomboa mwenyewe kiuchumi, kazi yako kuomba omba kuchangiwa pesa, eti sasa unajitia kimbelembele eti ng'we ng'we ng'we unataka kuwakomboa wananchi kisiasa?

nonsense kabisaa, alaaaa🤣
 
Orodhesha wanasiasa wanaharakati wote unaowajua kwa majina yao, utagundua katika ujumla na umoja wao hayupo mwenye nafuu kiuchumi, na kwahivyo wote ni dhaifu mno kiuchmi jambo linalofanya wawe na hofu ya kujitokeza hadharani na kutoa maoni yao, lakini pia hilo ni jambo linalowafanya wasiaminike kwa wananchi na badala yake wanaonekana ni waganga njaa tu waliopoteza uelekeo.

Hawawezi kukusanyika au kuungana pamoja kwasababu ya uoga ulio ndani yao na kwamba hayupo kati yao mwenye uwezo wa kiuchumi wa kumuokoa au kumsaidia kitu mwingine endapo litatokea lolote juu yake.
Fear of unknown imewazonga.

Hawajiamini ndio maana wanasema wanayoyasema wakiwa mafichoni.
Wamekua kama EU wanavyomuogopa Vladimir Putin.

Wanategemea sana public sympathy ili kuendelea kua relevant katika siasa na kujaribu kujipa u saint katika medani ya siasa.

Hawana uwezo wa kujitegemea na kusonga mbele bila kuwapiga vizinga vya hela wananchi kwenye mikutano ya kisiasa, kitu ambacho kimewafanya wananchi hao kushtuka na kusita kuwaunga mkono wanaharakati hawa waropokaji, wabishi wenye viburi.

Wananchi wamegutuka na wanajiuliza, hivi, waropokaji hawa wanaopiga kelele eti wanatetea haki za wananchi, mbona hata sura zao, mavazi yao, na hata afya zao vinaashiria na kuonyesha wazi kabisaa kwamba mtu watu hawa wana njaa na kiu, na huenda wakawa hawna hata kumi mbovu mfukoni, na ni dhahiri hata baada ya mikutano yao ya hadhara wataomba kuchangiwa pesa za nauli na pesa ya kujikimu?

Na hivi sasa
wananchi wengi maeneo mballimbali nchini, wanaulizana, kwanini wanaharakati hawa wabishi wa siasa nchini , wasifanye jitihada na mapambano ya kujikomboa kwanza wao wenyewe kiuchumi, ndipo sasa waweze kuaminika kwa wananchi na wawe na nguvu zaidi ya kujitegemea katika kutetea wananchi?

Ukapuku wa kiuchumi umewafanya wanasiasa za harakati kudharauliwa na kupuuzwa na wananchi.
Ni wazi wanaonekana ni vibaka na matapeli waganga njaa wanaojificha kwenye koti la siasa.

Epuka utapeli wa wanaharakati uchwara wa siasa nchini.
Mungu Ibariki Tanzania
wapokea bil 5 kila mwezi kutoka tone tone
 
Back
Top Bottom