Unyonge wa kiuchumi umefanya wanasiasa wa upinzani kudharauliwa na wananchi

Lakini ccm wote uchumi wao ni wa kifisadi na kuihujumu Tanzania
huna haja ya kuhamisha mijadala gentleman,

kama hujaweza kujikomboa mwenyewe kiuchumi, kamwe hutoweza kuwakomboa wananchi kisiasa.

Hapana kuwatapeli wananchi pesa zao kijanja janja, ni muhimu zaidi kujitegemea kiuchumi kabla hujaingia kwenye siasa πŸ’
 
Viongozi wa upinzani hawauzi unga wala kukwepa kodi kama wa ccm, hivyo usitegemee wawe na hela za kutapanya. Ww jiandae kesho na mkutano wa kustukiza mpewe mabadiliko ya katiba na wajanja.
waTanzania ni wakulima na wafanyakazi. Hizo ndizo shughuli za kiuchumi wanazotumia kujikomboa kiuchumi na sio kuomba omba kuchangiwa pesa kama wanavyofanya vibaka na matapeli wa kisiasa nchini.

wanaofanya mikutano wafanye kwa uhuru maana ni haki yao kikatiba na wasio husika hawana sababu hata moja ya kuweweseka na mambo yasiyo wahusu πŸ’
 

Dharau ni kwa wale wanaotumia pesa za walala hoi kununua kofia za kijani!
 
Uwe mkulima na mfanyakazi upate hela za kuhonga? Unaumwa ww.
 
Uwe mkulima na mfanyakazi upate hela za kuhonga? Unaumwa ww.
una ombaomba kuchangiwa pesa halafu eti ng'we ng'we ng'we unataka kuwasaidia watu kisiasa?

huwezi kujisaidia mwenyewe kiuchumi halafu una hadaa wananchi eti utawasadia kisiasa. Labda kuwasaidia malofa, vibaka na matapeli wenzioπŸ’
 
🀣 🀣 hio hio
yaani watu wameshindwa kujikomboa wao mwenyewe kiuchumi alafu eti wanawahadaa wananchi kwamba eti wana uwezo wa kuwakomboa kiuchumi.

hii ni hadaa na dharau kubwa sana kwa wananchi πŸ’
 
Dharau ni kwa wale wanaotumia pesa za walala hoi kununua kofia za kijani!
mtu ambae hawezi kujikomboa mwenyewe kiuchumi, kamwe hataweza kuwakomboa wananchi kisiasa.
wanaharakati vibaka na matapeli wa kisiasa nchini waache kuwahadaa wananchi πŸ’
 
Hata ccm hawajawahi kujikomboa huwa wanaanza kuwa machawa kama wewe huku wakiambulia hela ya bando wenye ambao watakubali kuuza zaidi utu wao na kutoa rushwa na ngono na wengine wamelatiwa ndo wanapata teuzi kisha wanafanya ufisadi ya kutisha kama mwigulu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…