Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 9,140
- 15,963
Pombe hii ina kiwango cha kilevi asilimia kumi(10%)tu lakini wanywaji wa pombe hii ukiwaona hata kwa macho utajua tu huyu ni wa banana.
Pombe hii imekuwa ikiuzwa kwa bei rahisi tu ya sh 500 ndo mana vijana wengi wanaweza kumudu kuinunua,lakini ulevi wake sio wa kawaida kwani vijana wengi wanaotumia pombe hizo miili yao imechoka choka muda wote na haina nguvu kabisa kwenye kufanya kazi ngumu,.
Idadi kubwa ya wanywa banana hawaoi na haijulikani kwanini.
Wengi wanywaji wa pombe hii ngozi zao zimefifia sana, na kukosa nuru kutokana na kunywa asubuhi hadi usiku
Maduka karibu yote mtaani pamoja na grocery zote zilizopo Arusha na moshi huwezi kosa hii pombe.
Serikali Ipitie upya ubora wa hizi pombe zinazozalishwa nchini maana nyingi hazina viwango vya ubora
========
UPDATE:
Serikali mkoani Kilimanjaro, imechukua hatua haraka, soma: Uzalishaji wa pombe ya Banana wasitishwa kwa kutokidhi viwango vya ubora