Unywaji wa pombe na tatizo la Figo

Umejuaje pombe ndio chanzo?

Vidababishi vingine
-Chumvi kupiga kiasi
-kukaa na mkojo muda mrefu
-energy drink
- High blood pressure
-Drug abuse
-Herbal medicine
-kutokunywa maji Lita 3
-pombe na sigara

Hapo vyote si ishu hapo
Umesahau jambo kubwa ambalo karibu 80% Kwa ambao hawana matatizo yoyote Yale ila FIGO zinafeli ghafra basi ni kutokana
Matumizi yasiyo SAHIHI ya ANTIBIOTIC

AZUMA(Azithromycin)
POWERSELF SINDANO (ceftriaxone)
DOXYCYCLINE(tetracycline)
ZINDOLIN(Ciprofloxacin)

Hizo dawa ndio zinawaondoa VIJANA wengi Kwa FIGO kuferi 7bu ya NGONO zembe DISPENSARY ucharwa za mtaani
kumeza hovyo hovyo unavyofeel dalili za U.T.I
Kuna wengine wanatembea na Ciprofloxacin(ZINDOLIN) au AZUMA mfukoni
Akimaliza kut*mba tu anabwia hiyo midawa

FIGO zitaachaje kufeli
 
Mimi nawashangaa sana hawa wanaoweka idadi ya lita za maji .

Jitu linakunywa maji lita 5 linakojoa muda wote mkojo mweupe alafu anajisifia wakati anachosha figo.
 
Kumekuwa na wimbi kubwa sana la pombe feki kwa sasa. Hivi sasa ni bora zaidi ukanywa Gongo kuliko St.Anna.
 
Mi kuna jamaa hanywi wala havuti na sio wale watu wa mademu kiivyo lakin Figo zilifeli mkuu. Kama sio kumpata mtu wa kumtolea Figo tena hela zikatoka ilikuwa nitolee hiyo. Wakat tukiwa pale India hospital aisee wabongo wengi wana hilo tatizo sana. Cjui nini kimetokea naambiwa kisukar cjui life style nk
 
Figo kufel mpaka watoto wanafel ila pombe feki italiongeza tatzo mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…