Uongo gani mkubwa uliwahi kuongopewa na mwenza wako ukaja kujua ukweli?

Haya mambo haya....yasikie tu kwa watu......
 
Mimi Kuna mmoja alitaka kunibambikizia....nilikaa miezi kadhaa bila kuyanduana (tulizinguana ) kumbe alishanyanduana huko akapata mimba

Sasa siku tumepatana akawa ananiambia ana hamu Sana me nikamwambia fresh....

Kila nikipiga machine demu anaficha tumbo namuuliza shida Nini anasema hakuna

Aisee nilimlazimisha kuona tumbo, alikuwa na kale kamstari Cha mtu mwenye mimba Tena mimba kubwa TU km ya miezi 4 kwa makadirio....kumbana akaniambia ukweli..nikajiongeza nikampiga chini
 
Aliniambia yupo nyumbani kwao (wilaya nyingne na nilipokuwa Mimi) na simu yake imeharibika atakuwa anatumia ya mdogo wake kumbe kabadirisha namba. Baada ya kama mwaka mm nipo mkoani jamaa mmoja(bwana wa rafiki yake) ananiuliza mtoto wenu anaendeleaje namuuliza mtoto gani ananiambia demu wako SI kajifungua ama unataka kunificha. Dah kumbe dem kaisha olewa mm sijui kuuliza ndugu yake ananiambia et alisema tusikwambie. Nikaona no uK*m* nikafuta na mazoea nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…