Viva-perry
Member
- Sep 10, 2024
- 28
- 60
Daah! na uongo wake anakuongezea na hasara tena,pole aiseeMe nilicheka hadi nimeangusha simu imepasuka kioo kidogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah! na uongo wake anakuongezea na hasara tena,pole aiseeMe nilicheka hadi nimeangusha simu imepasuka kioo kidogo
Unanipendq sanaNgoja waje walete visa vyao hasa hawa akina Rayns Alice_ sweery Viva-perry cuterey Andazi Melki Wamatukio Nyamwi255 min -me
Asante itabidi nikaitengeneze ila watu wanajua kudanganya khaaa si mchezoDaah! na uongo wake anakuongezea na hasara tena,pole aisee
We si rafiki angu wa forum au?? 😂Unanipendq sana
Baaaaasi......Hiyo kesi ndogo sana, mnunulie tu ka k.vant kadogo. Kesi kwisha.
Basi msisahau kutupatia mrejesho.Ndio tupo maabara tunaunda sindano nyingine.......soon as possible itakuwa vizuri
Situmii kileviHiyo kesi ndogo sana, mnunulie tu ka k.vant kadogo. Kesi kwisha.
Akuchanganyie kwenye fanta 🤣🤣Situmii kilevi
Hatari yaniAsante itabidi nikaitengeneze ila watu wanajua kudanganya khaaa si mchezo
Nawazaga hivi unafanyaga kazi maana kila uzi upoWe si rafiki angu wa forum au?? 😂
manina zenyuu😂😂😂😂😂 Maninaaaaa
😂😂😂😂 kazi inapigwa kwa office ila huwa napenda kutembelea nyuzi nyingiNawazaga hivi unafanyaga kazi maana kila uzi upo
🤣🤣🤣🤣🤭Vidamudamu Tena😳🤒Tukiwa high school, alisema alikuwa bikra, nilipomkula sikuikuta. Nilipoondoka akanitext eti "babe nimeona vidamudamu after you left"
😄😄
Me: Just chill bixch, wala sikuwa na nia na hiyo bikra yako.
kuwa nipo peke yanguNgoja waje walete visa vyao hasa hawa akina Rayns Alice_ sweery Viva-perry cuterey Andazi Melki Wamatukio Nyamwi255 min -me
Niliwahi kudanganywa na binti mmoja enzi hizo kwamba ni bikra hajawahi kuguswa na dudu kojoHabari wakuuu,
Kama tunavyojua kwenye harakati au maisha ya kimapenzi tunakutana na misuko suko ya hapa na pale, misuko suko ambayo inatufanya tuyachukie mapenzi au mahusiano.
Moja ya mambo yaliyoshamiri kwenye ndoa na mahusiano ya nyakati hizi ni UONGO uliokithiri.
Mimi binafsi niliwahi kuongopewa ujauzito na binti mmoja miaka ya nyuma kwa kuwa tulikuwa tukiishi mikoa tofauti na nilikuwa namuamini sikumtilia shaka.
Pia soma: Jambo gani baya umewahi kumfanyia mpenzi wako na utajutia milele?
Nililea mimba mpaka miezi mitano ndipo dada yake alipokuja kuniambia baada ya kuwa na yeye alikuwa anakereka na jambo alilokuwa akinifanyia mdogo wake, baadae alikuja kukiri na kuniomba msamaha, Sikumsamehe.
Rafiki yangu na yeye ilimkuta kwa binti mmoja wa Kihehe mpaka mimba ikazaliwa baadae akasema mtoto amekufa.
Je, wewe ndugu uliwahi kukutana na uongo upi kwenye ulimwengu wetu wa mapenzi?
Unamuita shoga aje hauogopi kushuhudia laana ?
😂Tukiwa high school, alisema alikuwa bikra, nilipomkula sikuikuta. Nilipoondoka akanitext eti "babe nimeona vidamudamu after you left"
😄😄
Me: Just chill bixch, wala sikuwa na nia na hiyo bikra yako.