Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 1,012
- 2,317
Mimi ni honest man babeGenius Man babe unakumbuka ulivyonidanganya?
ππMimi ni honest man babe
Vipi tena babeππ
Kumsamehe msaliti ni sawa na kujivua nguo...... hata huyo uliyemsamehe anakudharau.....Mimi sijawahi kuongopewa,mimi ndio huwa nawaingiza mkenge (joking)
KikulachoChako nimependa sana kwa kutomsamehe huyo Mwanamke,
Siku zote huwa nasema humu,msaliti hasamehewi hata siku moja,
Some people cheat multiple times after having been forgiven,forgive someone for cheating can be interpreted as acceptance of infidelity,some people may take advantage of that.
Hata sikumbuki bana yy kunidanganya ila mm ndo nilimdanganya sana...Tuambie bhana
Ulimdanganyaje ππHata sikumbuki bana yy kunidanganya ila mm ndo nilimdanganya sana...
Pole mweee...πππkile kidada kiongo sana kiliniambia siku aliyozaliwa vile alivyokuwa analia ati alikuwa ananililia mimi!!..
sasahivi mimi ndo nalia sasa walimwengu sio watu wanakuhadaa halafu wanakuja kukuacha solemba!.
hadi naona aibu..πPole mweee...πππ
π€£π€£π€£π€£ mie sijawahi danganya, itakuwa tu ulininukuu vibaya!Niseme kile ulichonidanganya?
Kwenye masuala ya uongo hakuna aliyebakia salama....π€£π€£π€£Hata sikumbuki bana yy kunidanganya ila mm ndo nilimdanganya sana...
Umenipa lawama kwa ndugu yangu....nimekuuzia silaha za kivitaπ€£π€£π€£π€£ mie sijawahi danganya, itakuwa tu ulininukuu vibaya!
Hiyo kesi ndogo sana, mnunulie tu ka k.vant kadogo. Kesi kwisha.Umenipa lawama kwa ndugu yangu....nimekuuzia silaha za kivita
Hahahaa,huyo kamaliza uongo wote humuAlipozaliwa alikuwa anamlilia nani....?
Nimechekaaaa kisela
Me nilicheka hadi nimeangusha simu imepasuka kioo kidogoHahahaa,huyo kamaliza uongo wote humu