Uongo gani mkubwa uliwahi kuongopewa na mwenza wako ukaja kujua ukweli?

Uongo gani mkubwa uliwahi kuongopewa na mwenza wako ukaja kujua ukweli?

Tukiwa high school, alisema alikuwa bikra, nilipomkula sikuikuta. Nilipoondoka akanitext eti "babe nimeona vidamudamu after you left"
😄😄
Me: Just chill bixch, wala sikuwa na nia na hiyo bikra yako.
Huko huko high school juzi Kati na mimi hii imenikuta sema kuna sehemu naona kama nilizingua mwenyewe tu
 
Tukiwa high school, alisema alikuwa bikra, nilipomkula sikuikuta. Nilipoondoka akanitext eti "babe nimeona vidamudamu after you left"
😄😄
Me: Just chill bixch, wala sikuwa na nia na hiyo bikra yako.
Wanawake wengine Dam haitokagi
 
Habari wakuuu,

Kama tunavyojua kwenye harakati au maisha ya kimapenzi tunakutana na misuko suko ya hapa na pale, misuko suko ambayo inatufanya tuyachukie mapenzi au mahusiano.

Moja ya mambo yaliyoshamiri kwenye ndoa na mahusiano ya nyakati hizi ni UONGO uliokithiri.

Mimi binafsi niliwahi kuongopewa ujauzito na binti mmoja miaka ya nyuma kwa kuwa tulikuwa tukiishi mikoa tofauti na nilikuwa namuamini sikumtilia shaka.

Pia soma: Jambo gani baya umewahi kumfanyia mpenzi wako na utajutia milele?

Nililea mimba mpaka miezi mitano ndipo dada yake alipokuja kuniambia baada ya kuwa na yeye alikuwa anakereka na jambo alilokuwa akinifanyia mdogo wake, baadae alikuja kukiri na kuniomba msamaha, Sikumsamehe.

Rafiki yangu na yeye ilimkuta kwa binti mmoja wa Kihehe mpaka mimba ikazaliwa baadae akasema mtoto amekufa.

Je, wewe ndugu uliwahi kukutana na uongo upi kwenye ulimwengu wetu wa mapenzi?
Dah mie nililea mimba hewa na watoto mapacha wakazaliwa halafu wakafa nikaombwa na hela ya kuwafanyia arobaini dah WE BINTI WA KITANGA nashkuru sana aisee
 
Nimefumania msg za michepuko yake, mwenyewe hajajua kama nimeziona. Ameshatembea na kila mfanyakazi wa ofisini kwao na mbaya zaidi kila siku yeye ndo anawasema wafanyakazi wenzake wa kike kuwa ni malaya na wanatumia miili yao kujitengenezea mazingira mazuri ofisini!!! Kifupi naishi na Muuza K!
 
Back
Top Bottom