Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
🤣 hii yenyewe hii, yule ni kaka yangu tu mwsho wa siku kaka anamvua pichu.He's just a friend.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣 hii yenyewe hii, yule ni kaka yangu tu mwsho wa siku kaka anamvua pichu.He's just a friend.
😂 ndio milele yenyewe hiyoHatoniacha milele. Si kaja kuniacha kipindi sina hela
Mimi tena😁Ngoja waje walete visa vyao hasa hawa akina Rayns Alice_ sweery Viva-perry cuterey Andazi Melki Wamatukio Nyamwi255 min -me
Huko huko high school juzi Kati na mimi hii imenikuta sema kuna sehemu naona kama nilizingua mwenyewe tuTukiwa high school, alisema alikuwa bikra, nilipomkula sikuikuta. Nilipoondoka akanitext eti "babe nimeona vidamudamu after you left"
😄😄
Me: Just chill bixch, wala sikuwa na nia na hiyo bikra yako.
Mauji mauji....manina zenyuu
Alisema Mungu kamuonesha Mimi mke wakeNgoja waje walete visa vyao hasa hawa akina Rayns Alice_ sweery Viva-perry cuterey Andazi Melki Wamatukio Nyamwi255 min -me
Mafiimanina zenyuu
😂😂😂😂😂😂😂😂 nakusubiriMafii
Yakoo,,nimedindisha kikhumaah yaani
Ngoja nipaki mafuta husika,,nije chap😂😂😂😂😂😂😂😂 nakusubiri
Wanawake wengine Dam haitokagiTukiwa high school, alisema alikuwa bikra, nilipomkula sikuikuta. Nilipoondoka akanitext eti "babe nimeona vidamudamu after you left"
😄😄
Me: Just chill bixch, wala sikuwa na nia na hiyo bikra yako.
Na wewe shuhudia beibNgoja waje walete visa vyao hasa hawa akina Rayns Alice_ sweery Viva-perry cuterey Andazi Melki Wamatukio Nyamwi255 min -me
🤣🤣it might be meAlinambia yeye bikra halafu akaja kunambia na anaomba msamaha sana kwa kilichotokea huko mbele baada ya kushangaa sio bikra
Nywele zinaota, zinauma mpenzi 😭😭😭Vipi tena babe
Pole sana kipenzi changu umeenda hospital?Nywele zinaota, zinauma mpenzi 😭😭😭
Asante sana mpenzi, ndio nimetoka hospital hapa....wamenichoma 💉 ya maumivu maana nilipata 🌡️kisha wakanibandika 🩹.Pole sana kipenzi changu umeenda hospital?
Dah mie nililea mimba hewa na watoto mapacha wakazaliwa halafu wakafa nikaombwa na hela ya kuwafanyia arobaini dah WE BINTI WA KITANGA nashkuru sana aiseeHabari wakuuu,
Kama tunavyojua kwenye harakati au maisha ya kimapenzi tunakutana na misuko suko ya hapa na pale, misuko suko ambayo inatufanya tuyachukie mapenzi au mahusiano.
Moja ya mambo yaliyoshamiri kwenye ndoa na mahusiano ya nyakati hizi ni UONGO uliokithiri.
Mimi binafsi niliwahi kuongopewa ujauzito na binti mmoja miaka ya nyuma kwa kuwa tulikuwa tukiishi mikoa tofauti na nilikuwa namuamini sikumtilia shaka.
Pia soma: Jambo gani baya umewahi kumfanyia mpenzi wako na utajutia milele?
Nililea mimba mpaka miezi mitano ndipo dada yake alipokuja kuniambia baada ya kuwa na yeye alikuwa anakereka na jambo alilokuwa akinifanyia mdogo wake, baadae alikuja kukiri na kuniomba msamaha, Sikumsamehe.
Rafiki yangu na yeye ilimkuta kwa binti mmoja wa Kihehe mpaka mimba ikazaliwa baadae akasema mtoto amekufa.
Je, wewe ndugu uliwahi kukutana na uongo upi kwenye ulimwengu wetu wa mapenzi?
Baby siuliumia hiyo sindano ilipaswa nikusaidie babyAsante sana mpenzi, ndio nimetoka hospital hapa....wamenichoma 💉 ya maumivu maana nilipata 🌡️kisha wakanibandika 🩹.