Uongo gani mnatumia kuwarubuni wanawake?

Sijawahi kuongopa chochote,lakini nilikubaliwa hivyo hivyo,nina uhandisamu kapo kwa mbali sana yaani kwa mbali sana [emoji851]
 
Hongera
 
Safi sana,
 
nikiwa Arusha nasoma chuo IAA niliwahi kupewa noti mpyaaa kibao za ziimbabwe, ezi hizo zimbabwe unaenda na maburungutu kununua mkate.

mimi hizi pesa nilikuwa naziweka kwenye wallet kama mapambo, sasa kuna siku mtoto akaanza kunishobokea, kuja kutafakari ndio nakumbuka alizuzuka na zile pesa, nikaona hapa ndio pakukaia sasa.

nsiwe muongo hizo pesa za Zimbabwe zilinipa madem aisee, nliuwa siwapi zile pesa ili wasisanuke, nawaachia ten tu nawaambia kuna mzigo bandarini nauskilizia uje kesho nikupe dollar, hapo nishatafuna ndio imetoka hio
 
Nilimdanganya mke wangu nimesoma shule aliyosoma akawa ananichota tuu cha ajabu nikamtajia hadi marafiki zangu waliokuwa wansoma huko, kumbe wote walikuwa ni marafiki zake.... [emoji23][emoji23] alivyokuja kuniambia ukweli nikamwambia hiyo niliyosoma ni ya Arusha kumbe huko hamna branch [emoji23][emoji23]...hapo nilikuwa nnamtongoza ila alinipendea uongo wangu namna alivyokuwa ananichora, akazama mazima
 
Mithali 6:32, Neno la Mungu linasema hivi
"Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake."

Yaani ni hivi: "He that committeth adultery with a woman is void of understanding: He doeth it who would destroy his own soul"

Haya msio na akili kulingana na Neno la Bwana mnaweza kuendelea na stori zenu...!
Nilikuwa napita nikakutana na ujinga huu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…