Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
1. Kuwa sisi wakazi wa Kawe tutapelekwa Birmingham huko States.....GwajiboyWakati wa Kampeni cha Uchaguzi, baadhi ya Wagombea hutumia mbinu za kuzusha Uongo kwa kuwadanganya Wananchi ili kuongeza Ushawishi wa Kuchaguliwa
Je, Uongo gani unaukumbuka kutoka kwa Wanasiasa kwenye Chaguzi zilizopita?
2. Kuwa atajenga chuo cha uvuvi hapa Kawe...Gwajiboy
3. Kwamba tutakuwa na maisha bora kila mtanzania..JK
4. Kwamba mgao wa umeme utakuwa historia..JK
5. Kwamba wameokota vichwa vya treni bandarini...JPM
Itaendelea...