Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Kujazwa mapesa,maisha bora kwa kila mtanzania,Kazi tuu,etc😀Wakati wa Kampeni cha Uchaguzi, baadhi ya Wagombea hutumia mbinu za kuzusha Uongo kwa kuwadanganya Wananchi ili kuongeza Ushawishi wa Kuchaguliwa
Je, Uongo gani unaukumbuka kutoka kwa Wanasiasa kwenye Chaguzi zilizopita?