1. Kuwa sisi wakazi wa Kawe tutapelekwa Birmingham huko States.....GwajiboyWakati wa Kampeni cha Uchaguzi, baadhi ya Wagombea hutumia mbinu za kuzusha Uongo kwa kuwadanganya Wananchi ili kuongeza Ushawishi wa Kuchaguliwa
Je, Uongo gani unaukumbuka kutoka kwa Wanasiasa kwenye Chaguzi zilizopita?
Tanzania hatuna wana SIASA tuna waongo waongo Tu MajiziWanasiasa kiboko!
Marekani kama Marekani π Hii ilikuwa Babkubwa1. Kuwa sisi wakazi wa Kawe tutapelekwa Birmingham huko States.....Gwajiboy
2. Kuwa atajenga chuo cha uvuvi hapa Kawe...Gwajiboy
3. Kwamba tutakuwa na maisha bora kila mtanzania..JK
4. Kwamba mgao wa umeme utakuwa historia..JK
5. Kwamba wameokota vichwa vya treni bandarini...JPM
Itaendelea...
Milioni hamsini kumbuka vizuri. The old-mzee was the first class liar!Kila kijiji kupata 50,000 na Walimu kupewa laptops
Hatari sanaMarekani kama Marekani π Hii ilikuwa Babkubwa
Mbowe: Lowassa atakuwa Rais na mimi nitakuwa Waziri mkuu wakeWakati wa Kampeni cha Uchaguzi, baadhi ya Wagombea hutumia mbinu za kuzusha Uongo kwa kuwadanganya Wananchi ili kuongeza Ushawishi wa Kuchaguliwa
Je, Uongo gani unaukumbuka kutoka kwa Wanasiasa kwenye Chaguzi zilizopita?
Katiba Mpya inayoweza kumwajibisha MTU yoyote regardless of madaraka au pesa au anything! Huu ndio mwarobainiTufanye kitu gani tupate wanasiasa na si waongo na majizi Mkuu?
Nadhani kinachofanya kila kilichopo kwenye siasa kiwe ni uongo ni namna ambavyo siasa inaendeshwa.Kwamba kila kilichopo kwenye siasa ni uongo?
Tuwekeze katika kuzalisha viongozi wazalendo na si kutegemea wanasiasa ndo waje watuongoze.Tufanye kitu gani tupate wanasiasa na si waongo na majizi Mkuu?
eti bila majina yao kurudishwa yalipokatwa tume, walidai eti hapatafanyika uchaguzi, na uchaguzi ukafanyika vizur tu bila wao kuwako πWakati wa Kampeni cha Uchaguzi, baadhi ya Wagombea hutumia mbinu za kuzusha Uongo kwa kuwadanganya Wananchi ili kuongeza Ushawishi wa Kuchaguliwa
Je, Uongo gani unaukumbuka kutoka kwa Wanasiasa kwenye Chaguzi zilizopita?