Wildchild JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 19,411 Reaction score 21,938 Mar 20, 2024 #41 Nyendo said: View attachment 2939564Wakati wa Kampeni cha Uchaguzi, baadhi ya Wagombea hutumia mbinu za kuzusha Uongo kwa kuwadanganya Wananchi ili kuongeza Ushawishi wa Kuchaguliwa Je, Uongo gani unaukumbuka kutoka kwa Wanasiasa kwenye Chaguzi zilizopita? Click to expand... Kujazwa mapesa,maisha bora kwa kila mtanzania,Kazi tuu,etc😀
Nyendo said: View attachment 2939564Wakati wa Kampeni cha Uchaguzi, baadhi ya Wagombea hutumia mbinu za kuzusha Uongo kwa kuwadanganya Wananchi ili kuongeza Ushawishi wa Kuchaguliwa Je, Uongo gani unaukumbuka kutoka kwa Wanasiasa kwenye Chaguzi zilizopita? Click to expand... Kujazwa mapesa,maisha bora kwa kila mtanzania,Kazi tuu,etc😀