Uongo kuhusu ATCL ni tone tu kwenye bahari, Tumedanganywa mengi tu!

Mkuu break even ya hii airline business ilitakiwa kuwa lini?
 
Hao bora wangejikita kwenye utalii,kilimo na Afya hayo ya ndege sijui tulipatwa na shetani gani Nchi mwendokasi zinatusumbua zinapita mtoni na makao makuu yao yapo mtoni mara bus zimejaa maji leo hii tuendeshe shirika la ndege kihuni kama bus hatuwezi kufika bado tuna umasikini upo kwenye damu...
 
Senge jingine hili,si mumuache marehemu akalale pazima.
Kina mparule kama wewe ndo mnaongea tu nyambaf blali kabich
 
Nani alete taarifa sasa??

I mean hiyo taarifa ya kabla ya ndege kununuliwa, nani ailete??

Nirudie swali langu??
 
sasa kama mnajua hilo wacheni CAG afanye kazi yake, alikua binadam na binadam ni kukosea sasa sehem alipokosea tunatakiwa kuparekebisha sasa muache kushambulia watu sasa, wote tunajenga nchi
Sio kwamba sisi CCM ndio tunajenga nchi na wapìnzani wanatuchelewesha sana??
 
This is rubbish! Hii inakupa comfort gani?
Hasara ya mashirika ni miaka yote, sasa sijui ni wapi ulipodanganywa? ATC yenyewe ilishakufa kwa wizi na hata siyo hasara, wizi!! Eti leo unaleta thrd ya kuamini umepata siri mpya! Kuna tatizo kwamba tunaendesha majadiliano kwa zomea zomea. Wengi tunazomea kwa sababu za kisiasa na kikabila, lakini ukweli ni kwamba in the next 5 years, CHADEMA will be out of political space.
Kwa uzoefu wako na kama una elimu nzuri, ungeanzisha majadiliano badala ya kutafuta likes za conclusion yako. Smartass!!!
 
Duh haraka sana kumsaliti marehemu. Hadi wewe mkuu unapiga spana.
 
Alikataa yule mzee kutupandisha madaraja yetu, kwa kisingizio eti cha kununua ndege! Halafu leo mwaka wa sita huu, tunasikia taarifa kama hizi. Kweli kama Taifa, tulipatwa!

Ahueni Mwenyezi Mungu katuepusha na mateso.
Utapandaje daraja halijakamilika?

Busisi,furaiovazi
 
Kichere hakufanya audit yeye alifanya audit follow up ya auditing ilopita na kugundua kua mapendekezo hayajafanyiwa kazi na pia current year bado hassara ipo.
Kimsingi ripoti ilikua ya CAG alopita ila yeye kaongezea ya 2019/20
Si ajabu ripoti hiyo ikapigwa chini Bungeni na CAG akaonekana kuwa ni mzushi. Unakumbuka ishu ya 1.5t?
 
Mwacheni mwendazake... Comrade tulikumiss... Tupe za Chimwaga nani msaidizi wa Mama SSH
 
Jamani naomba mnikumbushe, hivi mwaka jana CAG hakufanya auditing kwa ATCL?
 
hakuna biashara inaanzishwa apo apo inamke profit, for an airline bussiness its even worse you have to do trial and error nyingi tafauti but you still need to pay your workers.
Na utoe GAWIWO pia!

Au unasemaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…