Mzee
Mzee tupatupa kama ripoti ya CAG inasema ATCL imejiendesha kwa hasara ya miaka mitano, je hiyo miaka mitano kulikuwa na ndege ngapi?
Ninachojua ndege hizi kama zimefanya kazi zina miaka miwili na ushee, na ATCL imekuwa ikijiendesha kawa hasara toka ndege zife na ilibaki na madeni amabayo serikari ilikuwa inayabeba,
Kama kulipa wafanyakazi wakiobaki,
Kulipa ghalama za kimataifa na mengine wakati haina ndege.
Sasa hii miaka miwili na kitu hizo ndege zitalipa hayo madeni na kuanza kujiendesha kwa faida?
Kama mnataka kuchambua hiyo taarifa ya CAG Basi leteni hapa taarifa kabla ya ndege ununuliwa kulikuwa na deni la sh ngapi na sasa shirika lina deni la sh ngapi,
Na bado mjue hizo ndege bado shirika linailipa serikari mtaji wake.