Uongo kuhusu ATCL ni tone tu kwenye bahari, Tumedanganywa mengi tu!


kwan atcl ina mda gan toka ifufuliwe kumake this assumption?
 
Mmetumana sasahv kwa wingi kwa lengo la kuchafua taswira........
kamwe hamtaweza Mungu yupo
 
Kuna hii jamaa ya kujiita Masanja na likipindi lake la JM full makamera na kusifu tu sijui ana Hali gan huko ,maana kwa wanaoelewa kile kipindi kilikuwa Ni Cha kujikomba tu ili apate teuzi ,.Swali je ataendelea na kile kipindi chake?
 
proper plan ilihitajika before kuanzisha hili shirika.
kuwa na CEO ambao wana uzoefu wa kumanage mshirika mengine.
competitive individuals.

lisiwe drived kisiasa au wana siasa kuwa na access nalo

upo sahihi
 
Kweli hili nalo neno.. atafutwe ahojiwe.
 
KWA HIYO SEMENI MOJA TUSIWE NA NDEGE??? AU TUWENAZO HAMUELEWEKI!!
 
Mashirika yote makubwa ya ndege yamekula hasara
 
my point is bado ni mapema sana kufanya maamuzi magumu yoyote kwenye hili shirika
Mbona mwendazake alikuwa anafanya maamuzi magumu na hatari on the spot, umeshasahau tukukumbushe?

Hili la manunuzi ya ndege ndilo lilileta controversial, bila bunge kujulishwa??
 
Usisahau hili shirika lilitoa gawaio kwa serikali ikimaanisha ilikuwa ikipata faida
Yan alitengeneza machinery ya propaganda na maigizo na akafanikiwa kweli. Sijui ni uzalendo gani waliokuwa wanahubiri
 
we can call that a weakness ofcourse, uwazi ni muhimu sana
Sasa kwa maigizo hayo mpaka ya kuleta gawio, hapo tunakuwa na mashaka na mambo mengi tuliyoambiwa. Kama mtu anaweza stage mpaka kawio huyo ni mwanaproganda hatari. Swali ni kwanini afanye hivyo? Motive haiwezi kuwa na jema. Hiki ni kipande cha barafu inayoelea. Sifa ya marafu inayoelea baharini eneo linaloonekana uwa ni dogo kuliko lililozama kweye maji.
Muda utasema mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…