Uongo mgumu kuutetea, Tundu Lissu, CHADEMA na CCM wanahaha!

Msaliti wa taifa.

Tutashitakiwa MIGA
miga mlishashitakiwa ndio maana mapunga wenzako wanahaha kuokoa ndege iliyoshikiliwa uholanzi, by the way msaliti ni wewe ba mamakk nyumbani kwenu pamoja na mapunga wenzako huko ccm majiz ya kura yanayoamini kifo ni kwa watu wabaya kama akili za mzee wenu yile punguwan makamba.
 
Lisu anajua walimtwanga ndio maana hata baada ya kifo Cha jpm na kulipwa pesa za kuja bongo kuanzia maisha hawezi kuja

USSR
mapunga ya ccm mlishindwa kupangua hona mkakimbilia bunduki mwisho wa siku mmebaki kuhiji chato
 

Serikali haijichunguzi ndugu. Punguza siasa kwenye roho za watu. Usifanye dhaihaka kwenye mabaya ya watu. Halafu usilazimishe ndoa ya CHADEMA na CCM .
 
magufuli kafa wapuuzi kama wewe bado mpo wengi tu. anaweza akarudi mkamminia risasi tena. kama mliweza kumuita mtu mmoja gaidi mtashindwa kumua mtu?
YUPO WAPI ANZORY GWANDA? nani alimuua Alphonso Mawazo?
 
Kwa sababu ni lissu ndio maana unaongea hivyo. Sawa. Ungelijua ukweli ungetubu.
 
Ataishi milele ndiyo hadi dereva amefichwa
 
Lisu anajua walimtwanga ndio maana hata baada ya kifo Cha jpm na kulipwa pesa za kuja bongo kuanzia maisha hawezi kuja

USSR

Kosa ni la Lissu au serikali?. Jeshi la polisi halijawakamata waliotaka kumuuwa Leo itasemaje arudi. Hayakupata ndio maana unasema hivyo.
 
,
Tundu mwenyewe ajatoa ushirikiano, alishaitwa Sana kwenda kuandika maelezo ajaenda

Sasa unatakaje?

Nenda kamwandikie ww basi

Atoe ushirikiano gani?. Sheria inasemaje kuhusu kitendo Cha jinai kinapotokea?. Polisi wangefanya kazi yao waache visingizio.
 
kesi ya Bilionea Msuya ilihukumiwa akiwa ameshauwawa. yeye alitoa ushirikiano gani wakati tayari ameuwawa?
mlisoma wapi huko mnakofundishwa ujinga nyie watu?
Huyo aliuawa lakini jamaa yenu yupoo. Aliekufa atahusikaje tenaa. Ila jamaa yenu Yuko hai, mwambie I akafungue kesi basi.
 

Bahati nzuri Magufuli alikuwa CCM na mama Samiah Ni ccm wote lao moja. CCM haibadiliki ni ile ile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…