..una mawazo potofu, au umelenga kutuchota akili.
..hivi hujawahi kusikia watu walio-survive shambulizi la bomu?
..labda nikukumbushe habari ya Mjapani mmoja aliyenusurika ktk shambulizi la bomu la NYUKLIA mara mbili.
..Yuko Mjapani alinusurika shambulizi la nyuklia Hiroshima. Akakimbilia Nagasaki nako kukashambuliwa.
Bwana huyo alikufa miaka mingi baada ya mashambulizi hayo.
..Ukiacha ukweli kwamba shambulizi la bomu, au lolote lile, hali guarantee kifo, vipi kuhusu MADHARA ambayo yangeweza kutokea kwa watu ambao wauwaji walikuwa hawana nia nao?
..Kwa mfano, kwanini ushambulie na kuua familia nzima wakati mlengwa alikuwa ni mmoja?
..Au pale ulipodokeza kwamba serikali ingeweza kudungua ndege. Hivi unafahamu implications za ndege kudunguliwa ktk anga letu, au lolote lile? Unafahamu aina za uchunguzi ambao ungetakikana ufanyike, na ulazima wa vyombo vya kimataifa kuingilia?
Cc
Kalamu