kamjabari
JF-Expert Member
- Mar 20, 2017
- 1,144
- 1,668
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Mkuu,
Walikimbia nchi kwa sababu ya Magufuli; mwaka wa pili sasa tangu afariki ila hawajarudi.
Walipiga kelele Magufuli ni dikteta kwa kuwa aliwazuia kufanya mikitano ya kisiasa nje ya maeneo waliyoshinda; mwaka wa pili sasa tangu afariki, mikutano ya kisiasa haijaruhusiwa na hatusikii kelele za serikali ya kidikteta, n.k.
Hii nchi hatuna chama cha upinzani cha kizalendo, tuna magenge ya wapigaji tu. Ni mara 1,000 tuendelee kutawaliwa na CCM.