Uongo mgumu kuutetea, Tundu Lissu, CHADEMA na CCM wanahaha!

Uongo mgumu kuutetea, Tundu Lissu, CHADEMA na CCM wanahaha!

..wenye wajibu wa kufanya uchunguzi ni vyombo vya dola.

..waliopuuza kufanya uchunguzi ni vyombo vya dola.

..Lissu amelalamika mara nyingi tu kwamba vyombo vya dola havishughulikii tukio lake.
Kwakuwa vimekaa kimyaa, siwakati Sasa mhanga kufuatilia kipi KINAENDELEA?
 
Dah! Aisee hivi unajua maana ya upelelezi?. Tundu Lissu alilitaarifu jeshi polisi kwamba kuna gari linawafuatilia. Tena nakumbuka hiyo habari ililetwa hapa Jamii Forum watu wakamzodoa na kumcheka, na hata jeshi la polisi halikufa ya chochote au kumpa ulinzi. Leo inakuwaje Hilo jeshi liwe upande wake?.

Yani alipeleka taarifa Kuna Nissan Patrol huwa inamfatilia kwa nyuma,polisi wakakaa kimya, Leo ndio tukio limetokea akapeleke malalamiko?. Polisi ndio wakulauimiwa kwenye hili wangempa upinzi yote yasingetokea.
Mimi naendelea kukubana zaidi, Sasa kwakuwa hakuna kinachoendelea, kwanini asifuatilie upelelezi wake ulipoishia?
 
Kila nafsi itaonja mauti, ila dhihaka hizi kwa Lissu ndio zinatoa mwanya kwa wengine kufurahia Magufuli kufariki. Issue inaanzia hapo, Magufuli hakutoa tamko la kufanyika upelelezi, baadala yake akaleta jopo la wanasheria wa serikali karibia ishirini kuja kusimamia kesi ya kumtoa Lissu kwenye ubunge.
Kwahiyo walio hai hawatakufaa kwakuwa hawanatuhuma yoyote ya mabaya hapa duniani??
 
Kwakuwa vimekaa kimyaa, siwakati Sasa mhanga kufuatilia kipi KINAENDELEA?

..Lissu amepiga kelele ndani na nje ya Tz kuhusu suala lake.

..Hata alipokuwa Tz wakati wa kampeni alifika ofisini kwa RPC wa Dodoma kufuatilia suala hili.

..Pamoja na jitihada zote hizo jeshi la Polisi limekaa kimya kana kwamba hakuna kilichotokea.

..Hili suala sio la kumuachia Lissu peke yake alipigie kelele. Wapenda HAKI wote tupige kelele ili waliotenda unyama ule wakamatwe.

..Tupige kelele Raisi aunde TUME YA UCHUNGUZI kwa ajili ya tukio la Lissu na matukio mengine ya kikatili yaliyofanyika hapa nchini.
 
Kupiga kelele inje ya mahakama na huko ugaibuni hakutomsaidia, Mimi nilidhani akienda kufungua kesi ya madai Kwa nini mahakama haishugulikii upelelezi wa shambulio lake Mimi niombe nyinyi mliokaribu naye, mshaurini atoke uko aliko aje afuatilie kesi yake hapa nyumbani kwake tanzania
 
Wanajua jinsi Tundu Lisu alivyopigwa risasi na nani hata yeye Tundu Lisu anajua jinsi alivyojitoa kafara na alivyopata ukilema wa maisha, yote hii sababu ya power, na ndiyo maana wanajitoa akili yote hii kuutetea uongo, uongo ni dhambi na mgumu sana kuiishi nao kwani ni lazima uendelee kudanganya mwishoe ukweli utajitenga tu.

Haya sasa hivi wana power yote, vyombo vyote vya Ulinzi na usalama wanavi-command, kwa nini hawaanzishi uchunguzi yakinifu wa lililotokea kwani hakuna jambo ambalo lingemchafua na kumuondolea Magufuli umaarufu kwa wananchi kama hilo sasa kwanini wanazunguka huku na kule kwa nini wasiseme waliopmpiga Tundu Lisu risasi kwa ushaidi live na kuchukuwa hatua?

Uongo ni dhambi na ni mgumu kuutetea, …
Wao wanachojua ni kupiga risasi na kuiba mali za umma
 
Kupiga kelele inje ya mahakama na huko ugaibuni hakutomsaidia, Mimi nilidhani akienda kufungua kesi ya madai Kwa nini mahakama haishugulikii upelelezi wa shambulio lake Mimi niombe nyinyi mliokaribu naye, mshaurini atoke uko aliko aje afuatilie kesi yake hapa nyumbani kwake tanzania

..lile ni tukio la JINAI.

..sheria yetu inaelekeza kwamba JAMHURI / SERIKALI / POLISI ndio yenye mamlaka ya kufungua kesi za jinai.

..ushauri wako una nia njema lakini unakwenda kinyume na sheria zetu.

..kwa maoni yangu kuna kitu jeshi la Polisi linajaribu kuficha kuhusu tukio la Lissu.

..Katika mazingira kama haya TUME YA UCHUNGUZI iliyoundwa na Raisi ingeweza kuukwamua uchunguzi na kuhakikisha HAKI inapatikana.

..Tuungane CCM, CDM, ACT, CUF, tulaani na kushinikiza haki ipatikane.

..CCM msifikiri mko salama. Sasa hivi hakuna tena wapinzani wa kutwanga risasi. Msije mkashangaa mitutu ikaanza kuelekezwa kwenu.
 
,
Tundu mwenyewe ajatoa ushirikiano, alishaitwa Sana kwenda kuandika maelezo ajaenda

Sasa unatakaje?

Nenda kamwandikie ww basi
Situation aliyokutana nayo sio rahisi kuja kirahisi rahisi tu maana hakuna hata muhusika mmoja aliekamatwa zile risasi ni myingi sana fikiria umekatiza mtaani ukapigwa roba ya mbao je utakatiza tena huo mtaa? Sasa lissu kapigwa risasi 30+ na kati ya izo risasi 16 zimempata mwilini.. ingewezekana na ingekua busara vyombo vya usalama kwenda kumuhoji uko uko
 
..lile ni tukio la JINAI.

..sheria yetu inaelekeza kwamba JAMHURI / SERIKALI / POLISI ndio yenye mamlaka ya kufungua kesi za jinai.

..ushauri wako una nia njema lakini unakwenda kinyume na sheria zetu.

..kwa maoni yangu kuna kitu jeshi la Polisi linajaribu kuficha kuhusu tukio la Lissu.

..Katika mazingira kama haya TUME YA UCHUNGUZI iliyoundwa na Raisi ingeweza kuukwamua uchunguzi na kuhakikisha HAKI inapatikana.

..Tuungane CCM, CDM, ACT, CUF, tulaani na kushinikiza haki ipatikane.

..CCM msifikiri mko salama. Sasa hivi hakuna tena wapinzani wa kutwanga risasi. Msije mkashangaa mitutu ikaanza kuelekezwa kwenu.
Sasa kwakuwa wamegoma kulifanyia KAZI Kwa Nini MLENGWA na mhanga akae kimyaaa??
 
Sasa kwakuwa wamegoma kulifanyia KAZI Kwa Nini MLENGWA na mhanga akae kimyaaa??

..Lissu hajakaa kimya. kila wakati amekuwa akilisemea suala hili.

..wananchi wa kawaida tunatakiwa tumuunge mkono kupaza sauti badala ya kutoa kauli za kuwatetea Polisi walioonyesha uzembe kwa miaka mitano bila kutoa majibu.
 
Lisu anajua walimtwanga ndio maana hata baada ya kifo Cha jpm na kulipwa pesa za kuja bongo kuanzia maisha hawezi kuja

USSR
Aliyekuwa dereva wake yuko wapi?? Na kwa nini waendelee kumficha??
 
..mkoloni angekuwa katili kama Magufuli na utawala wake Tanu wangeendeleza harakati za uhuru?

..Tanu hawakuwahi kupigwa mabomu na Muingereza, hawakuswekwa mahabusu, hawakufunguliwa makesi mabaya, hawakudhalilishwa, kama ilivyotokea kwa wapinzani wakati wa Magufuli.

Cc Kalamu, Mag3
Tatizo ni hawa wanaoambiwa hawataki kukaa chini na kutafakari ili waelewe wanachokisoma.
Mtu mwenye akili ya kutosha atashindwa vipi kuelewa haya machache yaliyoandikwa hapa?

Mtu atajifanya haelewi wala haoni ubaya, kwa sababu tu haya maovu yanafanywa na mtu mwenye ngozi nyeusi kama yeye?
Kwa vile yanafanywa chini ya utawala wa chama cha CCM?
 
Situation aliyokutana nayo sio rahisi kuja kirahisi rahisi tu maana hakuna hata muhusika mmoja aliekamatwa zile risasi ni myingi sana fikiria umekatiza mtaani ukapigwa roba ya mbao je utakatiza tena huo mtaa? Sasa lissu kapigwa risasi 30+ na kati ya izo risasi 16 zimempata mwilini.. ingewezekana na ingekua busara vyombo vya usalama kwenda kumuhoji uko uko

Lisu anataka mambo Kwa the way yy anavyoona ni bora

Mbona alienda kwenye gari lake pale police dodoma?

Alishindwa nn kwenda kutoa maelezo?

Police wanasema file liko wazi aende akahojiwe

Ishu simple kabisa
 
..Polisi wangekuwa na nia ya kumhoji wangefanya hivyo siku Lissu amekwenda kwa Rpc Dodoma.

..Au wangemchukua maelezo baada ya uchaguzi mkuu siku waliyomkamata akiwa nje ya ubalozi wa Ujerumani.
 
Back
Top Bottom