Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
usiwe mjinga bhana jinai hailalamikiwi. unatokea wapi ndugu mtanzaniaSasa kama wamepuuuzia, Kwa Nini mhanga asilalamike kwenye vyombo vya Dola ili shambulio lake lifanyiwe uchunguziii??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usiwe mjinga bhana jinai hailalamikiwi. unatokea wapi ndugu mtanzaniaSasa kama wamepuuuzia, Kwa Nini mhanga asilalamike kwenye vyombo vya Dola ili shambulio lake lifanyiwe uchunguziii??
Sasa kama wamepuuuzia, Kwa Nini mhanga asilalamike kwenye vyombo vya Dola ili shambulio lake lifanyiwe uchunguziii??
Ilitungwa awamu ya nne, Magufuli anahusikaje?sheria mbovu ya vyama vya siasa ilitungwa wakati gani? unafikiri hawa ma RPC na OCDs waliopo wameumbwa upya au walikuwepo enzi za utawala wa zalimu magufuli?
mikutano itakuwepo. cha msingi zalimu hayupo tena
ya Takwimu je? ilitungwa kwa ajili ya zitto?Ilitungwa awamu ya nne, Magufuli anahusikaje?
Ilizuia mikutano ya kisiasa?ya Takwimu je? ilitungwa kwa ajili ya zitto?
Ha ha Ccm mnafurahisha sanaMkuu,
Walikimbia nchi kwa sababu ya Magufuli; mwaka wa pili sasa tangu afariki ila hawajarudi.
Walipiga kelele Magufuli ni dikteta kwa kuwa aliwazuia kufanya mikitano ya kisiasa nje ya maeneo waliyoshinda; mwaka wa pili sasa tangu afariki, mikutano ya kisiasa haijaruhusiwa na hatusikii kelele za serikali ya kidikteta, n.k.
Hii nchi hatuna chama cha upinzani cha kizalendo, tuna magenge ya wapigaji tu. Ni mara 1,000 tuendelee kutawaliwa na CCM.
Kazi Yao wamefanya, bado kazi ya lisu
Kwani ww ukibiwa nyumbani kwako bila ww kwenda kusema ilikuwaje do you think police watafanya nn?
Mbona mambo mengine ni ya kawaida tu
Enhe, Magufuli ndio anawazuia kufanya mikutano hata sasa?
Magufuli hakuchukua bunduki akaenda Dodoma kumpiga Tundu Lisu risasi.Mkuu,
Walikimbia nchi kwa sababu ya Magufuli; mwaka wa pili sasa tangu afariki ila hawajarudi.
Walipiga kelele Magufuli ni dikteta kwa kuwa aliwazuia kufanya mikitano ya kisiasa nje ya maeneo waliyoshinda; mwaka wa pili sasa tangu afariki, mikutano ya kisiasa haijaruhusiwa na hatusikii kelele za serikali ya kidikteta, n.k.
Hii nchi hatuna chama cha upinzani cha kizalendo, tuna magenge ya wapigaji tu. Ni mara 1,000 tuendelee kutawaliwa na CCM.
itaje hapa tuijue. maana hata Kabendera mlisema hivyo lakini hamuitaji hiyo mission fulani ni ipi? na je mtu akitumika kwenye mission kama Lisu sawa. adhabu inakuwa risasi bila kupelekwa mahakamani?Tundu lisu alikua mtumwa ,alitumika ktk mission fulani
Tundu lisu alikua mtumwa ,alitumika ktk mission fulani
Mkuu naona unajitoa ufahamu km ubongo umepata mushkeliKazi Yao wamefanya, bado kazi ya lisu
Kwani ww ukibiwa nyumbani kwako bila ww kwenda kusema ilikuwaje do you think police watafanya nn?
Mbona mambo mengine ni ya kawaida tu
Mbowe anajuana na Samia kwenye hiyo kesi ya ugaidi.. Ila naamini kilichomtokea Lissu ndo kilichomtokea Wangwe na architecture ni mmoja na yumo ndani ya chadema
Hawajafanya kazi yeyote. Kazi ya kwanza ilikuwa kukamata watuhumiwa wote wanaoshukiwa. Mbona kwenye kesi ya Lotter waliweza?.
Lissu alipigwa risasi kwenye eneo la mawaziri wa serikali. Sasa ulitaka akae kwenye comma miezi sita atoke apeleke taarifa?. Kumbuka Lissu alipeleka taarifa kwa jeshi la polisi kwamba kuna Nissan Patrol inamfuatilia, polisi wakakaa kimya, leo ameshambuliwa polisi Wana aminikaje Tena?. Umeshindwa kutoa ulinzi. Na umeshindwa kupeleleza kazi ya polisi ni Nini?
alipokufa wangwe mlisema kwasababu alikuwa anataka uwenyekiti. sasa lisu alipigwa risasi na chadema kwasababu gani maana hakuna alichokuwa anagombania.
CDM kitakuwa chama cha ajabu sana duniani kama kinatengeneza wanachama wake potentia halafu kinawaua?
Ben Sanane naye mnatwambia tumuulize Mbowe? yani raia anapotea dola ipo halafu wapuuzi wanasema aulizwe mtu binafsi, hii inatokea wapi kwingine kama siyo Tanzania pekee?
Mkuu naona unajitoa ufahamu km ubongo umepata mushkeli
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Mgombea binafsi ndio suluhisbo kwa mazingira ya sasa lakini watanzania hatulidai bilo kwa nguvu. Hata kama katiba mpya isipowezekana kwa sababu ya muda bado kurekebisha sheria ili kuruhusu mgombea binafsi na Tume ya uchaguzi iwe na wafanyakazi wake kuanzia katani wilayani na taifa inawezekana, pia wagombea kuruhusiwa kuhesabuna kujumlisha kura zao na kupewa ushahidi wa karatasi za matokeo ya kura vituoni inawezakana. Tupambane kuyapata haya hata kana katiba mpya itakuwa baada ya uchaguzi.Mkuu,
Walikimbia nchi kwa sababu ya Magufuli; mwaka wa pili sasa tangu afariki ila hawajarudi.
Walipiga kelele Magufuli ni dikteta kwa kuwa aliwazuia kufanya mikitano ya kisiasa nje ya maeneo waliyoshinda; mwaka wa pili sasa tangu afariki, mikutano ya kisiasa haijaruhusiwa na hatusikii kelele za serikali ya kidikteta, n.k.
Hii nchi hatuna chama cha upinzani cha kizalendo, tuna magenge ya wapigaji tu. Ni mara 1,000 tuendelee kutawaliwa na CCM.
Na hii ndio shida ya vijana wa chadema, ujuaji mwingi na mnachukua story ya one side ili Tu kutengeneza mazingira kuonekana mlionewa
Mbona mlikataa mbowe na mnyika wasihojiwe ishu ya lisu ? Kwani wao hawawez kuwa washukiwa namba moja?
Kwa akili yako ww unaamini serikali ingetaka kumuulisu wangeshindwa?
Wangedondosha hata ndege iliyomtoa dodoma kwenda Nairobi
Kwani lisu kabla ya kwenda Nairobi alitibiwa kwenye office za chadema?
Si wangemuua humo humo theater?

Yan kweli serikali na manguvu yake yote itake kumuua lisu na washindwe? Ww inakuingia akili?
Si wangepiga Bomu kwenye gari lake au nyumba yake?
Lisu huyu alikuwa anakaa Royol pub pale usiku ndio serikali imtake ishindwe kumpata?
Gari yake inaoshwa CBE pale si wangeweka hata Bomu?
Mnadanganywa kijinga kabisa