econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Wanajua kukuza mambo mno
Usifurahie janga la mwingine hujui kesho. Waliocheka Lissu akilimwa risasi Leo wanalia Makamba kamsema Marehemu Magufuli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanajua kukuza mambo mno
Lisu na Lema wamejivisha ukimbizi wanajiita wakimbizi wa kisiasi
Angekuwa amekufa, sasa Yuko hai, aende akatoe taarifa ya tukio,
Sasa yy anakimbia kimbia Tu na kutengeneza madrama kibao
Lema awe mkimbizi wa kisiasa kweli ?Usifurahie janga la mwingine hujui kesho. Waliocheka Lissu akilimwa risasi Leo wanalia Makamba kamsema Marehemu Magufuli.
Lema awe mkimbizi wa kisiasa kweli ?
Punguza dharau wewe ni mwadamu acha kukufuru. Watu wanahama mtaa kisa katishiwa kisu na kibaka usiku , sembuse kumiminiwa risasi na watu wasiofahamika na hawajakamatwa.
Endelea kuiabud CCM na kuacha utu kisa chama. Unaona sifa kumlamu mhanga wa shambulio lakini polisi walioshindwa hata kutoa ulinzi walipopewa taarifa unaona sahihi?. Sawa ipo siku kila kiti kitakuwa wazi.
Unajuaje kama hakupewa ulinzi?
Unajuaje kama police walishughulikia tatizo lake?
Mnaaminishwa madudu Tu ndio shida yenu chadema
Wakati mambo yako wazi na fact zipo za kutosha
Sasa just because umesema kuna gari inakufata so unataka upewe escort?
Kama jeshi litatoa escort Kwa kila mtu ambae anahisi anafatiliwa then itakuwaje?
Acha utumwa wa fikra wakup
Akili za kuambiwa changanya na zako
Me nakwambia kama serikali inataka kukuua watakufata hata nyumbani kwako na wakuue
Wewe endelea kuwa BWABWA wala usijifiche kwa ccmMkuu,
Walikimbia nchi kwa sababu ya Magufuli; mwaka wa pili sasa tangu afariki ila hawajarudi.
Walipiga kelele Magufuli ni dikteta kwa kuwa aliwazuia kufanya mikitano ya kisiasa nje ya maeneo waliyoshinda; mwaka wa pili sasa tangu afariki, mikutano ya kisiasa haijaruhusiwa na hatusikii kelele za serikali ya kidikteta, n.k.
Hii nchi hatuna chama cha upinzani cha kizalendo, tuna magenge ya wapigaji tu. Ni mara 1,000 tuendelee kutawaliwa na CCM.
Ndesa ni kama MagufuliNdesa
WashitakiniMagufuli hakuchukua bunduki akaenda Dodoma kumpiga Tundu Lisu risasi.
Walioshiriki kwa njia mbalimbali, waliofanya kitendo kwa uhalisia bado wapo.
Kumbe tatizo lako ni CHADEMA?. Endelea na CCM yako ya Makamba. Unajadili vitu kwa kuangalia CHADEMA au uhalisia, Yani leo Kinana ashambuliwe kwa risasi watasema wanamsubiri aamke kwenye comma ya miezi sita?.
Endelea na UCCM wako na kushangilia mabaya ya wengine kisa CHADEMA, siku yakikufika mabaya hakuna ambaye atakuchukulia serious. Juzi hapa CCM walimcheka Lissu alipolimwa risasi lakini Leo wanalia Makamba kamsema vibaya Marehemu. Aombe radhi.
Najua Lissu alipona kwa makusudi na ipo siku kila kitu kitakaa wazi. Maana angekufa ingenyamazishwa kimya kimya. Akina sirro bado wapo watasema tu ukweli siku moja, hii dunia inazunguka .
Kudo!
Mimi huwa najiuliza sana,hivi enzi zile kina Nyerere wakitafuta UHURU wa nchi hii.
Na kama wangekuwepo watu wanasiasa kariba ya Tundu Lissu!
Ingewezekana UHURU kupatikana kweli?
Sasa kama wamepuuuzia, Kwa Nini mhanga asilalamike kwenye vyombo vya Dola ili shambulio lake lifanyiwe uchunguziii??
Hiyo CCtv ilikua ya nani?
Na mlienda kutoa maelezo mkaonba hiyo CCtv iletwe?
Kwa Nini huyo tundu asiende kuiomba hiyo CCTV baada ya kutoa maelezo?
..wenye wajibu wa kufanya uchunguzi ni vyombo vya dola.
..waliopuuza kufanya uchunguzi ni vyombo vya dola.
..Lissu amelalamika mara nyingi tu kwamba vyombo vya dola havishughulikii tukio lake.
Unadhani hizo ATCL zimetekwa nyara kwa sheria gani??Msaliti wa taifa.
Tutashitakiwa MIGA
Walking miracle ni uzembe wa kufikiri .Tundu Lisu is a walking/living miracle. Kupona baada ya kupigwa risasi zote zile, hakika ni muujiza wa Mwenyezi Mungu.
Mimi si mwanachama wa chama chochote cha siasa. Lakini ninaumia na kusikitika sana pale baadhi ya watu wanaojitoa ufahamu kwa kujaribu kuihusisha Chadema na jaribio la mauaji ya Lisu. Kuweni makini, Mtajiletea laana kwenu na vizazi vyenu. Ni heri kama huna la kusema ukanyamaza tu.
Lisu anataka vyombo vya Dola vifanye anavyotaka yy while kila kitu kina utaratibu wake
Tangu lini Chadema wana-command vyombo vyote vya ulinzi na usalama? TISS, Jeshi, Polisi, Magereza, Uhamiaji wote wanawajibika kwa Chadema?Wanajua jinsi Tundu Lisu alivyopigwa risasi na nani hata yeye Tundu Lisu anajua jinsi alivyojitoa kafara na alivyopata ukilema wa maisha, yote hii sababu ya power, na ndiyo maana wanajitoa akili yote hii kuutetea uongo, uongo ni dhambi na mgumu sana kuiishi nao kwani ni lazima uendelee kudanganya mwishoe ukweli utajitenga tu.
Haya sasa hivi wana power yote, vyombo vyote vya Ulinzi na usalama wanavi-command, kwa nini hawaanzishi uchunguzi yakinifu wa lililotokea kwani hakuna jambo ambalo lingemchafua na kumuondolea Magufuli umaarufu kwa wananchi kama hilo sasa kwanini wanazunguka huku na kule kwa nini wasiseme waliopmpiga Tundu Lisu risasi kwa ushaidi live na kuchukuwa hatua?
Uongo ni dhambi na ni mgumu kuutetea, …
Na bado !!Etwege/Elitwege unahangaika sana lakini ndiyo hivyo ccm ina wenyewe na wewe siyo mmoja wao, Msoga Gang watawanyoosheni sana mbwakoko nyie