..kabla ya kurejea Lissu aliomba jeshi la Polisi limpe ulinzi lakini walikataa.Mbona kwenye uchaguzi alireje na kugombea? Alikuwa na uhakika wa usalama wake kwa kiasi gani?
Hapo sasa ndio ujue sio serikali ni waahalifu kama waalifu wengine
Ingekuwa ni serikali, hata haspital wangezima umeme akafia huko huko kwenye operation
Au ndege iliyompeleka Nairobi ingenyimwa kibali cha kutua dodoma
Na hii ndio shida ya vijana wa chadema, ujuaji mwingi na mnachukua story ya one side ili Tu kutengeneza mazingira kuonekana mlionewa
Mbona mlikataa mbowe na mnyika wasihojiwe ishu ya lisu ? Kwani wao hawawez kuwa washukiwa namba moja?
Kwa akili yako ww unaamini serikali ingetaka kumuulisu wangeshindwa?
Wangedondosha hata ndege iliyomtoa dodoma kwenda Nairobi
Kwani lisu kabla ya kwenda Nairobi alitibiwa kwenye office za chadema?
Si wangemuua humo humo theater?
Yan kweli serikali na manguvu yake yote itake kumuua lisu na washindwe? Ww inakuingia akili?
Si wangepiga Bomu kwenye gari lake au nyumba yake?
Lisu huyu alikuwa anakaa Royol pub pale usiku ndio serikali imtake ishindwe kumpata?
Gari yake inaoshwa CBE pale si wangeweka hata Bomu?
Mnadanganywa kijinga kabisa
..una mawazo potofu, au umelenga kutuchota akili.
..hivi hujawahi kusikia watu walio-survive shambulizi la bomu?
..labda nikukumbushe habari ya Mjapani mmoja aliyenusurika ktk shambulizi la bomu la NYUKLIA mara mbili.
..Yuko Mjapani alinusurika shambulizi la nyuklia Hiroshima. Akakimbilia Nagasaki nako kukashambuliwa.
Bwana huyo alikufa miaka mingi baada ya mashambulizi hayo.
..Ukiacha ukweli kwamba shambulizi la bomu, au lolote lile, hali guarantee kifo, vipi kuhusu MADHARA ambayo yangeweza kutokea kwa watu ambao wauwaji walikuwa hawana nia nao?
..Kwa mfano, kwanini ushambulie na kuua familia nzima wakati mlengwa alikuwa ni mmoja?
..Au pale ulipodokeza kwamba serikali ingeweza kudungua ndege. Hivi unafahamu implications za ndege kudunguliwa ktk anga letu, au lolote lile? Unafahamu aina za uchunguzi ambao ungetakikana ufanyike, na ulazima wa vyombo vya kimataifa kuingilia?
Cc Kalamu
Nakwambia hivi
Serikali ingetaka kumuua lisu wangemuua Tu
Hata ndani ya Bunge au nje ya Bunge au pale Royol hotel
Yan wangemuua trust me
Unajitoa akili.?Huyo aliuawa lakini jamaa yenu yupoo. Aliekufa atahusikaje tenaa. Ila jamaa yenu Yuko hai, mwambie I akafungue kesi basi.
Hivi ana majeraha ya risasi ngapi?Tundu Lisu is a walking/living miracle. Kupona baada ya kupigwa risasi zote zile, hakika ni muujiza wa Mwenyezi Mungu.
Mimi si mwanachama wa chama chochote cha siasa. Lakini ninaumia na kusikitika sana pale baadhi ya watu wanaojitoa ufahamu kwa kujaribu kuihusisha Chadema na jaribio la mauaji ya Lisu. Kuweni makini, Mtajiletea laana kwenu na vizazi vyenu. Ni heri kama huna la kusema ukanyamaza tu.
Hivi wewe kweli unayo akili timamu?Nakwambia hivi
Serikali ingetaka kumuua lisu wangemuua Tu
Hata ndani ya Bunge au nje ya Bunge au pale Royol hotel
Yan wangemuua trust me
Police ndo walifunga hiyo CCtv hapo au ilikua ya mtu binafsi?..Cctv ni kidhibiti toka ktk tukio la jinai.
..Kidhibiti huwa ni mali ya Polisi na hakitolewi mahali popote isipokuwa mahakamani.
..Lissu haruhusiwi na sheria kupewa Cctv zilizokuwa eneo aliposhambuliwa.
Police ndo walifunga hiyo CCtv hapo au ilikua ya mtu binafsi?
AAngekufa je jinai ile isingepelelezwa? Haya mmeambiwa mtajeni aliyetoa cctv na aliyeondoa walinzi hapo ndio pakuanzia uchunguzi wala sio kwà TAL acheni kujizima data uchunguzi wa kumhoji lissu hauna mashiko maana alishamtaja kipilimba na siro sasa mnataka lissu afanye nini? Iambieni Dunia nani aliondoa walinzi je chadema wanauwezo wa kupanga zamu za ulinzi wa majeshi yetu? Au cctv camera chadema wanaouwezo wa kuiondoa kweli kwenye makazi ya viongozi? Acheni ufala!
Hivi wewe kweli unayo akili timamu?
Unasema "serikali ingetaka kumuua lisu"; kwa nini serikali itake kumuua mtu yeyote? Unajua maana ya serikali ni nini?
Lissu aliposhambuliwa kwa risasi, wewe unadhani aliyefanya hivyo alitaka nini kitokee?
Ninajua kwa jinsi unavyoandika hapa huwezi kuelewa nilichoeleza hapa.
Tena naona huyo unayejibishana naye kakupa heshima kubwa sana kuendelea kujibu takataka zako unazoweka hapa.
Inside na outside ziliungana ye mwenyewe hajui mbaya wake halisi ni nani ndo maana yuko zake abroad ila JPM naanza kuona kama wanamsingizia au amekuwa scape goat. Kuna muda naona kama Jpm anapewa shutma zingine si zakeKweli kabisa we jamaa umeona mbali. Huenda ile ilikuwa inside mission
Eneo lile ni la ccm pekee hamna watu wa chadema!? Km CCTV zilitolewa je ni maeneo yote yenye CCTV ni ya wana ccm!?? Kuwa walitoa ushirikiano ili kuficha dhambi yao hapa tunaviringishwa sana, kama tuna nguvu ya kutafuta mkate tutafute tuu mkate mengine tuwaachie wenyewe wakichoka kula watawapa Nchi kwa amani kama alivyofanya Muingeleza.AAngekufa je jinai ile isingepelelezwa? Haya mmeambiwa mtajeni aliyetoa cctv na aliyeondoa walinzi hapo ndio pakuanzia uchunguzi wala sio kwà TAL acheni kujizima data uchunguzi wa kumhoji lissu hauna mashiko maana alishamtaja kipilimba na siro sasa mnataka lissu afanye nini? Iambieni Dunia nani aliondoa walinzi je chadema wanauwezo wa kupanga zamu za ulinzi wa majeshi yetu? Au cctv camera chadema wanaouwezo wa kuiondoa kweli kwenye makazi ya viongozi? Acheni ufala!