Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Haijalishi, huenda Morocco wakawepo wengi ila wakawa wanafanya uovu au maovu kuzidi Tanzania. Hujaona huko juu niliandika kuhusu Uislamu sahihi ?!
🤣🤣🤣🤣Hauwezi kumeasure hii kitu utakuwa unajikosha tu...kuapply na assumptions zako..uovu una measure kwa lipi asa... unajuaje nchi moja imezidi nyingine...🤣Acha kujiabisha mkuu
 
H Me naamini Kama Hauko YES basi Uko NO kwahiyo naamini kama hauamini the Presence of God & Religions basi Utakuwa Believer wa Science bila Shaka. Na we all Know kwamba Science ina base ktk the question of how, religion ina base katika the question of why. sasakwakuwa science ina jikita kwenye 'How' ndio Utufafanulie sasa how did the Universe came Up as it opposed to Religious claim kwamba 'The Universe came Up from God'.
Tuwekane hapo sawa ili mabishano yetu yawe na #Mantiki sasa
 
Mi sijasema nataka equality...mbona me sio tajiri ila Nina maisha mazuri tu...Ila kunawatu wanateswa, wanatumikishwa, wanatekwa, wanauzwa, hao ndo nazungumzia.
Sawa wwe umepata neema ila tambua duniani hatuwezi kuwa sawa kwa namna yeyote kwa vile hakuna equality.

Jaalia sote tuna pesa nan atakuja kuvibua vyoo, hao nyuki na wanyama wengine wana mgao wa majukumu wapo wanazaliwa kuwa walinzi..

Mjomba maisha hayawezi kuwa sawa kila kitu kina neema yake , Ndio watu wa hali ya chini wengi wanajipa matumaini kwamba utajiri ni mtihani mara chanzo cha magonjwa😂😂
 
Najua hujanitag Ila naomba unijibu Mungu katoka wapi? Na kwa Nini ni Mungu na sio shetani
 
Sawa ulimwengu haujaumbwa na umetokeza wenyewe tu. Lakini nani ana hakika kama ulimwengu umejitokeza tu hauna Mwanzo Wala mwisho??
Sijasema kwamba
"ulimwengu uli jitokeza wenyewe"
Kauli yako hii tayari ina zua maswali mengine kwamba ulijitokeza kutoka wapi? Na huko uliko jitokeza kulitoka wapi?

Nilisema na Nasema hivi, Ulimwengu upo tu, Hauna mwanzo wala mwisho.

Ukianza kuweka ulazima wa chanzo cha kitu fulani, basi hata hicho chanzo cha hicho kitu, kitahitaji chanzo.

Na hapa kutakuwa na Vyanzo vingi visivyokuwa na mwisho
(Endless sources) to infinity hukooooo....
Mantiki ni kujibu swali na si kushambulia wanaoamini kwamba Kuna Mungu.
Ndio najibu maswali hapa, sishambulii mtu.

Iko hivi 👇

Binadamu wote Hatuwezi kujua, Tusicho kujua ( ndio principle hii)

Ukisema unajua kitu fulani, lazima ueleze kitu hicho umekijuaje, na utoe uthibitisho wa jinsi ulivyo kijua na si mawazo yako ya kufikirika tu.

Lazima ueleze kitu hicho ulicho kijua, kipo kwa namna gani. Kwamba
je kina onekana, kinashikika, kinasikika au kinahisika?

USISEME kwamba ulikijua kitu hicho kwa mawazo yako tu ya kufikirika pasipo kuonyesha namna gani ulikijua na utoe uthibitisho angalau wa kuonekana, kushikika, kusikika, au wa kuhisika.

ili kitu hicho kisiwe mawazo yako ya kufikirika tu.
Jee unaweza kusema ni kwa nini wewe ni binadamu na si Ng'ombe??
Mimi ni Binadamu na si ng'ombe kwa vile, 👇

Kitu lazima kiwe kwa namna moja tu.

Kitu kimoja Hakiwezi kuwa kwa namna mbili kwa wakati mmoja.

Kama ni ng'ombe ni ng'ombe tu, ila sio Ng'ombe binadamu.

Na kama ni binadamu ni binadamu tu, ila sio Binadamu ng'ombe.

Ningeweza kuwa ng'ombe pia, Ila nisingeweza kuwa Binadamu.

Ila mimi ni Binadamu, Na siwezi na Haiwezekani niwe ng'ombe.

Logic imekamilika....📌🔨
 
Mi Sina shida na belief in God kwa kweli...🤣shida ni hizi religions..ni man made na zinatumia Mungu Kama pazia la control na utapeli
 
Hizo ni kazi ...🤣Mi naongelea mateso, utumwa, kunyanyaswa, vita, etc Kuna watu wanachinjwa na magaidi huko...a lot of things...hasa why God allows this ..bado Kuna natural disasters ma earthquakes Nini
 
Ishu ya kumtesa mtu ni jambo tunaita dhambi hii inatokana na mtu kutumia fursa na uwezo wake vibaya dhidi ya wengine ....Kutesa hata kuua wengine sio jambo jema ila kama mtu zake zimefika atakufa kufa sio kila anayepanda kukuua anaweza moja kwa moja kukumaliza.
 
Ehe afu natural disasters
 
...dini zimeingiliwa na matapel akina papa na manabii waongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…