Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Anampima binadamu kwa vile kampa akili.! Ndio jibu nimekujibu

Labda maoni yako sema ulitaka binadamu akae tu, basi tungekuwa tunalala wala hakuna kutafuta riziki sisi ni wa kulala tu, hamna kuzaliana wala nini.
Akili hiyo, Mungu aliyompa Binadamu ina maana yeye Mungu Haijui mpaka aipime tena kwa binadamu?

Yaani kwamba Mungu Anajipima kwamba Akili aliyo itengeneza mwenyewe na kumpa binadamu ikoje, kwamba yeye Haijui?

Hadi aipime tena, kwa kui angalia kwa binadamu ikoje?

Kwamba yeye Mungu anajipima tena?

Ni sawa mtu ajitekenye mwenyewe na kujicheka.
 
Anampima binadamu kwa vile kampa akili.! Ndio jibu nimekujibu

Labda maoni yako sema ulitaka binadamu akae tu, basi tungekuwa tunalala wala hakuna kutafuta riziki sisi ni wa kulala tu, hamna kuzaliana wala nini.
Je Mungu si mjuzi wa yote?
 
Huyu jamaa kalishindwa hilo swali

Nadhani keshaona contradiction iliyopo hapo

labda kama anataka kulazimisha tu.
 
Binadamu anapimwa katika mengi ndio maana hapa duniani hata riziki lazima utafute... Binadamu anatumia akili kuziendea neema zilizopo dunia ndio maana hata mpango wa Mungu ni lazima binadamu afanye kazi .

Haya yote kama maendeleo na mabadiliko katika dunia kama technology ni binadamu katika kutumia akili yake kupambana na mazingira na sio wanyama wala .

Mfumo wa kukaaa tu bila ya kutumia akili na kufanya kazi sio mpango wa Mungu hata wanyama nao wanafanya kazi.
 
Mkuu wewe ni mpinga kristo na Allah. Kwa uzi wako huu tu, mbinguni utapasikia redioni tu....hufiki ng'o!
 
Hujajibu swali,

Hujibu unacho ulizwa, unajibu usivyo ulizwa.

Naku uliza hivi 👇

Mungu huyo hajui Akili za wanadamu zilivyo hadi azipime?
 
Hivi swala la ndoa linakuaje kwa sisi non religious people?

Kwa hapa Tanzania utapata kweli wa kuendana nae?
Wa kuendana nae kimtizamo!?

Kuwapata wa kuendana nao wanapatikana vzuri tu

Wapo wengi tu ambao ndiyo unakuta wana athari ya kujua kwamba kuna Mungu lakini hawayaishi maisha ya kidini kabisa.

Yaani wao na dini ni mbali.

Mtu wa design hyo akikupenda wala hatokuwa na shida kwamaana hajali na hata ukifanya maamuzi yasiyosisitizwa na dini, wala hashangai kwamaana hata yeye hajaendekeza dini
Tanzania ni nchi maskini.

Na sehemu penye umaskini mkubwa ni uwanja wa nyumbani wa Mungu.

Can you bit him easly!?
 
Hali hiyo unayo ipitia wakati wa Meditation ni ILLUSION.

Haipo kwenye uhalisia.
Una uhakika unachokizungumza bwana mdogo ? Au ilimradi upinge tu....Kwa nlivyokusoma ni kwamba umeshadhamiria "KUKATAA" yani ni mtu ambae haupo tayari kujua undani wa jambo ambalo akili yako ilishasema halipo..
Hata hivyo rohoni sio uhalisia kwa maana sio jambo ambalo lipo in physical form so kwa hapo upo sahihi, lakini sio ILLUSION kama madai yako unavyosema...Practice then ulete mrejesho na sio hizi bra bra.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…