SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
Rohoni ni Chaka kwa sababu it can be substituted with anything we unaweza mfeel Yesu mwingine Allah mwingine akafeel anaongea na Shiva asa unataka uniambie miungu yote hii ipo au ?Una uhakika unachokizungumza bwana mdogo ? Au ilimradi upinge tu....Kwa nlivyokusoma ni kwamba umeshadhamiria "KUKATAA" yani ni mtu ambae haupo tayari kujua undani wa jambo ambalo akili yako ilishasema halipo..
Hata hivyo rohoni sio uhalisia kwa maana sio jambo ambalo lipo in physical form so kwa hapo upo sahihi, lakini sio ILLUSION kama madai yako unavyosema...Practice then ulete mrejesho na sio hizi bra bra.
HahahaYes absolutely
View attachment 2750850
The more u read abt religion the less u believe in itTatizo hamsomi vitabu vya dini alafu mnakuja kuleta bra bra, mngesoma mkaelewa,
Nyie si ndo mmeambiana hivyo skia bana we unachosha huna hoja zaidi ya "my book said so" so hatuwezi kukaa kubishana na wewe mpaka uje na hojaNjoo uthibitishe wapi imesema Muhammad ni nabii feki ?
Kingine, hakuna kitabu kinachoitwa "Bible" kinachotoka kwa Allah.
Vitabu vya Allah ni :
1. Zaburi
2. Taurati
3. Injili
4. Qur'an
Kwahiyo ili tujadili hilo, njoo uonyeshe ukweli wa Biblia kwanza, kuanzia kwa waandishi wake mpaka leo hii.
Huyo Mungu kwa Nini kila saa lazma amtafute mtu a whisper his message kwake afu ndo aambie watu wengine then we take it by faith yaani hakuweza kutuumba wote tunamjua ila kaamua tu kumchagua kima mmoja jangwani middle east ndo wote tusikilizie kwake...huu si uchizi. Na wewe unafata kabisa hizi storyAmesema nani hayo ? Mwanadamu alipewa kazi ya kufikisha ujumbe kwa wanaadamu wenzake.
Sasa unaposema hivyo inaonyesha wazi humjui Mungu. Kuandika mwanadamu vitabu hii si hoja.
Okay watu ambao walizaliwa na kufa bila kujua injili wanaenda wapi baada ya kufa?Sorry broo but unadanganya umma.
Maneno yako kwamba "Hao Waliotuletea hizi dini" ni uongo, ukristo ulikuwepo africa kabla hata ya ukoloni.
Ethiopian Bible is the older than the king James version, nearly Kama 800 years older than King James version na wakoloni walipofika africa walikuta kuna watu wanamjua yesu na wanazijua amri za mungu.
Kuna facts nyingi tuu but I think hata nikizitaja zote hapa bado hutoniamini.
Utajiuliza swali sasa "Nani alikuwa anahubiri africa kuhusu ukristo kabla ya wakoloni?" Kama ww ni mkristo soma biblia vizur, Kama ni muislamu sijui nisemaje sasa maana hata nikisema uende kusoma biblia wote tunajua hutoenda kusoma😅
Wakoloni hawakutuletea dini africa ila walisaidia kuisambaza zaidi maeneo ambako injili haikufika.
Mungu anakupenda njoo kwake akupunguzie mizigo. Mungu ni mwanga, njia na uzimaWe mbinguni umepaskia kwa muarabu na mzungu so usitupigie kelele ukipaona utuambie
Mungu ni mwenye huruma, hasira na upendo. Inategeme jinsi unavyomjia, ndivyo anavyojidhihirisha kwako.Dunia hii imepitia uongo/utapeli/propaganda kubwa sana na zikapita lakini uongo pekee ulio dumu kwa muda mrefu ni huu
Hebu fikiri unaambiwa kuna MUNGU muweza wa yote yupo sahihi na hajawahi kukosea
Ameumba dunia kwaajili yetu na ataiangamiza dunia kwaajili yetu
Alijua ataiangamiza dunia kabla hata hajaiumba lakini aliiumba hivyo hivyo ili aje kuiangamiza,
Ameumba moto wa jehanamu kwakuwa ametuumba tukosee ili atuchome moto japo alikua na UWEZO wakutuumba tusiwe wakosefu ili atuumbie Pepo tu tukale bata
Anajua tunacho hitaji lakini lazima tumuombe ili atupe, lakini hata tukimuomba hatupi tunavyo taka sisi maana tayari amekwisha tupangia kila mtu atampa nini, ataishije na atakufaje
Ndio muumba wa kila kitu(magonjwa, bangi, majini, ulabu nk) na anaweza kudhibiti chochote lakini anamlaumu msaidizi wake muasi(Shetani) kuleta mambo hayo mabaya duniani(magonjwa nk) kwa watu wake aliyewaumba wakati yeye ndiye aliye mtupa msaidizi wake huyo huku duniani
Yaani yeye kashindwana naye huko mbinguni kaja kumtupa kwetu sisi viumbe dhaifu tupambane naye na tukishindwa tutachomwa moto milele, lakini anasisitiza anatupenda sana kama mtu anavyopenda na kujali mboni ya jicho lake
Hebu tafakari hili, kawaumba Adam na Hawa na wakati bado wageni duniani akawatupia Nyoka(Shetani) ili awarubuni, na kwa ugeni wao wakarubunika matokeo yake katupa adhabu ya shuruba watu wote hata ambao tulikua hatupo na hata ambao hawajazaliwa chamoto watakiona...... Not fair
Mungu muweza wa yote hayupo WAZI PASI NA SHAKA kwa watu wote kujua huyu ndio MUNGU badala yake Mungu ndio amekua sehemu kubwa ya mgawanyiko wa watu na kusababisha kuwa na imani za MIUNGU zaidi ya milioni dunia nzima
Na kibaya zaidi unatakiwa to blindly believe him, usihoji wala kuwa na shaka juu ya uwepo wake(ni laana na kufuru) vinginevyo moto wa milele unakuhusu
Yaani kuna Fundi Kapenta mmoja huko Galilaya eti kafa kwaajili ya dhambi za watu wote duniani.... seriously [emoji15]?
Akaitwa Mungu lakini Mungu huyu akajaribiwa na shetani[emoji15]
Fundi kampenta huyu hakuandika kitabu chochote ila wahuni walio kuwa wanampinga ndio wakaja kuandika vitabu kuhusu fundi huyu na vinaitwa “Bibilia Neno la Mungu takatifu”
Mabilioni ya watu dunia kote wanakesha makanisani wakimlilia na kumuomba awape uponyaji, mali, waume/wake nk
Hebu fikiria huko Arabia kuna Maamuma mmoja hajui kusoma wala kuandika alidai anashushiwa maagizo na Mungu kukata vichwa watu wote watakao pinga na kutokutii maagizo yake, “akashushiwa” aya za vitisho na neema kwa watakao tii, yaani ukifa unampigania Mungu unakwenda kupewa mbikra 72 kazi yako ni kuzagamua tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Mabilioni ya watu duniani wanasujudu mara 5 kwa siku na kushinda njaa mwezi kila mwaka ili wakale naye bata Peponi
Kwamba maisha yako hapa duniani ni ya mpito tu maisha yako yapo baada ya kufa
Unachotakiwa kufanya ni kumuamini na kufanya aliyoa agiza ili ukale bata sana baada ya kufa
This is the biggest scam ever
Kitu ninacho kusisitiza ni kuwa acheni kuongelea mambo msiyo yajua, matokeo yake ni haya uliyo yaandika sasa.Wewe tofauti na Quran huna unachojua.
Shida sio kutoa mfano, toa mfano hai unaoendana na jambo husika au unao karibiana. Tatizo kubwa mnalo shindwa nyinyi ni katika kutoa mifano na hii ni kutokana na uwezo wenu mdogo wa kufikiri.Huelewi maana ya mfano,
Huelewi kwamba nkitoa mfano pia ni sehemu ya kujenga hoja kwa picha iliyo rahisi.
Huna ulijualo, communication skills tu zero.
Hujui kujibu maswali, unaulizwa hiki unajibu vingine
Unarekebishwa unalazimisha mambo.
Haujui hata umuhimu wa mantiki
Umefungwa akili na Uislamu
Yaani umezidiwa na mtu asiyejua kusoma na kuandika.
Kujadiliana na wewe ni bure kabisa
😣Akinitokea Kama wewe alivyokutokea nitaendaMungu anakupenda njoo kwake akupunguzie mizigo. Mungu ni mwanga, njia na uzima
Nimeuliza wapi kama mzazi atakua amefanya kosa au la?? Hilo ni jibu la swali gani kati ya maswali matatu niliyouliza?
Naomba majibu ya maswali yangu tu. Hayo unayo yasema sijauliza popote.
Nimeuliza kuhusu mzazi anaye muua mtoto wake kwa moto kama adhabu. Yaani adhabu anyoitoa ni ya kumuua kwa moto.
Yaani ameamua kutumia njia hiyo (ya kuua).
Ukisema "kama alikusudia kumuonya na sio kumuua" unaleta mawazo yako ambayo mimi sijayauliza. Mimi nimeuliza kuhusu kuua na si kuonya.
Unaweza kuonya kwa kuua?
Mzazi kumuua mtoto wake kama adhabu ni kitendo cha upendo?
Nakuuliza kama kitendo cha mzazi kumuua mtoto wake kama adhabu kitakua cha furaha kwa ndugu, marafiki na jamii.
Wewe unajibu.
Swala la ndugu au rafiki kuwa na furaha au huzuni si swala la msingi pasipo hata kujaribu kujibu!
Niliyekuuliza nimeona ni swala la msingi ndiyo maana nikata majibu yake. Nisingeona msingi wa swali nisinge uliza.
Hakuna sehemu ulipo jibu swali langu hata moja
1. Kitendo cha mzazi kumuua mtoto wake kwa kumchoma moto kama adhabu kitakua cha upendo?
2. Je, kitakua cha huruma au kitakua cha chuki?
3. Je, kitakua cha furaha kwa ndugu, marafiki na jamii?
Nijibu tuendelee na mjadala.
Huu utoto ndio ambao tunaukemea kila siku, kuleta habari za kusikia. Hivi huna akili hata ya kufatilia mambo ukajua ukweli ?Nyie si ndo mmeambiana hivyo skia bana we unachosha huna hoja zaidi ya "my book said so" so hatuwezi kukaa kubishana na wewe mpaka uje na hoja
Jibu kwanza swali nililo kuuliza. Ndio ujenge hoja.Huyo Mungu kwa Nini kila saa lazma amtafute mtu a whisper his message kwake afu ndo aambie watu wengine then we take it by faith yaani hakuweza kutuumba wote tunamjua ila kaamua tu kumchagua kima mmoja jangwani middle east ndo wote tusikilizie kwake...huu si uchizi. Na wewe unafata kabisa hizi story
Na wewe Acha kupinga vitu usivyo vijua nje ya Quran.Kitu ninacho kusisitiza ni kuwa acheni kuongelea mambo msiyo yajua, matokeo yake ni haya uliyo yaandika sasa.
Why is possible to believe God formed by himself?Once boxer Muhammad Ali was asked as to why he believes in God on tv
He picked up the glass next to him and said “if I tell you this glass with juice within, formed by itself, you will say I am crazy and you want me to believe that this whole Universe formed by itself!!”
Hayo mawazo umeyatoa wapi.Swali la kwanza liko wazi sababu mzazi amekusudia kumuua mwanae kwa adhabu ya kifo kwa njia ya kumuua, tunasema mzazi alikuwa na nia njema ya kuadhibu ila lengo (kama amekusudia kumuua) lake sio jema, au kama hakukusudia kumuua ila alitumia njia ya kumchoma moto kwa ajili ya kumuadhibu ikatokea mtoto akafa, basi hapo anakuwa na kosa moja la kutumia njia ambayo si sahihi kumuadhibu ila upendo uko pale pale, ndio maana akaamua kumuadhibu.
Swali la pili
Kitakuwa cha huruma.
Inategemea nini?Swali la tatu
Huenda kikawa na furaha au kikawahuzunisha, inategemea.
That's like saying,..If a Baker baked a cake then who baked the Baker?Why is possible to believe God formed by himself?
And it's impossible to believe that, This whole universe formed by itself?
How is it possible that, God came to existence from Nothing?