SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
Quote sehemu niliyosema Mungu hayupoHuu utoto ndio ambao tunaukemea kila siku, kuleta habari za kusikia. Hivi huna akili hata ya kufatilia mambo ukajua ukweli ?
Ndio maana kwa uzwa uzwa wenu mnadai Mungu hayupo, yaani wajinga sana nyinyi vijana.
Tangu mwanzo naanza huu mjadala, nasema mnatupa kazi mara mbili, kwanza kukosoa mnayo ya nukuu pili kuwakosoa hoja zenu.
Tumeambiana hivyo wapi ? Huu utoto acheni. Leta nukuu iliyo sahihi tujadiliane.
Sasa nije na hoja mara ngapi, na hizi ambazo zipo zinawashinda mnaruka ruka tu.
😁We can't have a convo...bye Arab paganJibu kwanza swali nililo kuuliza. Ndio ujenge hoja.
😭Oooh no Faiza kaja kuharibu Uzi na propaganda zake za kiislaamu ..Asiyeamini Mungu kwanini ahangaike kumtafuta alipo?
Tunaoamini tunafahamu kuwa yupo karibu yetu wakati wote.
Qur'an 2:186. Na waja wangu watakapo kuuliza khabari zangu, waambie kuwa Mimi nipo karibu. Naitikia maombi ya mwombaji anapo niomba. Basi na waniitikie Mimi, na waniamini Mimi, ili wapate kuongoka. 186
Huyo Mungu katoka wapiOnce boxer Muhammad Ali was asked as to why he believes in God on tv
He picked up the glass next to him and said “if I tell you this glass with juice within, formed by itself, you will say I am crazy and you want me to believe that this whole Universe formed by itself!!”
Inaonekana walimu wako walipata tabu sana.Wewe unaye ijua hiyo Meditation, Nakwambia hivi eleza ipo kwa namna gani?
Ni prove wrong kwamba Meditation sio illusion?
Si unasema si ijui, ni prove wrong kwamba Meditation sio illusion?
Acha kuzunguka zunguka. Jibu swali.
Your example is too shallow.That's like saying,..If a Baker baked a cake then who baked the Baker?
Does a Baker also needs to be baked,like a cake?
Mpaka sasa, Huja onesha hiyo Meditation ilivyo.Inaonekana walimu wako walipata tabu sana.
Ukiniuliza habari za kuwa yeye alitengenezwa na nani, Sidhani kama kuna mtu anaefahamu wala atakuja kufahamu...Sisi tumeumbwa tumjue yeye tu,, Hizo habari za alitengenezwa na nani tutaumiza vichwa na kudanganyana na tusijue kamwe.Kuanza na "je" maana yake swali linaulizwa
Yani wewe kigezo chako cha kupima kujiamini au kutokujiamini kwa mtu ni matumizi ya "je" kwenye sentensi?
Swali kubwa lilikuwa kwamba dunia na vitu vyake lazima viwe na muumbaji haviwezi kujileta.
Kusema dunia itakuwepo, ilikuwepo na itaendelea kuwepo na vitu vyake ndani, haina mwanzo wala mwisho na haina mtengenezaji kwako ni jibu jepesi ambalo unadhani hakuna atakaeniamini
lakini ukiulizwa mungu alitokea wapi unakubali kwamba mungu hana mtengenezaji, alikuwepo, ataendelea kuwepo, hana mwanzo wala mwisho na kwako hili unaona sio jibu jepesi.
Kama unakubali mungu anaweza kuwepo bila mtengenezaji kwanini nikikwambia hivyo hivyo kwa dunia unaona ni jibu jepesi ambalo haliwezi kuaminika?
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
In the name of God, the Gracious, the Merciful.😁We can't have a convo...bye Arab pagan
Yeye ndiyo kaumba huko wapi unapojiuliza, wapi hapakuepo kabla yake. Bali yeye ndiyo amefanya wapi kuwepo., Hakuhitaji kutokea mahali popote kwasababu popote hapawezi kuwepo bila yeye kupafanya pawepo.Huyo Mungu katoka wapi
Kama hakuna anaye fahamu Mungu alitengenezewa na nani,Ukiniuliza habari za kuwa yeye alitengenezwa na nani, Sidhani kama kuna mtu anaefahamu wala atakuja kufahamu..
Una uthibitisho wa kwamba tuliumbwa?.Sisi tumeumbwa tumjue yeye tu,,.
Kama hujui Mungu alitengenezwa na nani, ume juaje yupo?Hizo habari za alitengenezwa na nani tutaumiza vichwa na kudanganyana na tusijue kamwe.
Kabla ya kuumba "Huko wapi" yeye Mungu alikuwa wapi?Yeye ndiyo kaumba huko wapi unapojiuliza,
Kwamba alitokea tu, from nothingwapi hapakuepo kabla yake.
Amefanya akiwa wapi?Bali yeye ndiyo amefanya wapi kuwepo., Hakuhitaji kutokea mahali popote kwasababu popote hapawezi kuwepo bila yeye kupafanya pawepo.
Hii falsafa yako ina Logical Contradiction.Hopefully unaelewa hii falsafa!
Omnipresence: God is present everywhere, transcending space and time. This means that God is not limited by physical boundaries and can be experienced and accessed from anywhere.
Kwahyo bunduki ikitoka Mungu yupo..bunduki isipotoka Mungu yupo😂Huyo aliyenusurika Mungu hakupenda hao wengine kama wamekufa basi ilipangwa.
Wewe ndiyo umeanza kwa kuhusianisha & kuunganisha vitu ambavyo havina uhusiano kabisa.Your example is too shallow.
Baker is a Human being, Cake is just a food.
Automatically,This is a Logical non sequitur.
Una unganisha vitu viwili visivyo na UHUSIANO wowote ule kupata Hitimisho potofu.
Mbona kila kitu kipo wazi, tuliza akili tuKabla ya kuumba "Huko wapi" yeye Mungu alikuwa wapi?
Huko aliko kuwa kabla ya kuumba kulitoka wapi?
Kwamba alitokea tu, from nothing
Kusipokuwepo kitu?
Amefanya akiwa wapi?
Hiyo "wapi" ali ifanyia wapi?
Hadi "wapi" hiyo ikaweza kuwepo?
Hii falsafa yako ina Logical Contradiction.
So yeye alikuwepo tuYeye ndiyo kaumba huko wapi unapojiuliza, wapi hapakuepo kabla yake. Bali yeye ndiyo amefanya wapi kuwepo., Hakuhitaji kutokea mahali popote kwasababu popote hapawezi kuwepo bila yeye kupafanya pawepo.
Hopefully unaelewa hii falsafa!
Omnipresence: God is present everywhere, transcending space and time. This means that God is not limited by physical boundaries and can be experienced and accessed from anywhere.
Yes, upo sahihiSo yeye alikuwepo tu
Unathibitishaje kwamba God is not bound by time or space?Mbona kila kitu kipo wazi, tuliza akili tu
God is eternal and not bound by time or space. Hivyo basi, the concept of "where was God" "before" creation, in the sense of a linear timeline, doesn't not apply to God.
wewe unaamini Ili kitu kiweze kuwepo inahitaji space& time na ndiyo maana unakua obsessed na hilo swali la "Wapi" kwa Mungu haipo hivyo.
Kila mtu atahukumika kulingana na uelewa wake wa sheria, hata kama injili haijakufikia kujua kwamba "kuua", "kuiba" na "kusema uongo" ni vitu ambavyo vilikuwa vinapingwa kweny jamii zetu hata kabla injili kufika....hivohivo vitu ambavyo ulikuwa unauelewa navyo kuwa havifai kumfanyia mwanadamu mwenzako hivohivo ukahukumiwa navyo sio lazima uisikie injili ndo uwe na moral conviction, kila binadamu amezaliwa na moral conviction, kwasababu mungu ameweka kwa kila binadamu uwezo wa kutambua mema na baya mioyoni mwetu. Nadhani nimeeleweka?Okay watu ambao walizaliwa na kufa bila kujua injili wanaenda wapi baada ya kufa?
Imani ni kitu cha ajabu sana kaka, believing in God and to be a believer is to be naive, you believe in something that you didn't see and you can't see but you just believe it's there regardless, that's what it means to be a believer, to be naive.Unathibitishaje kwamba God is not bound by time or space?