Uongo na Ukweli Kuhusu TANESCO Kuzuiwa Kufanya Maintenance

Wewe unadhani kutetea huko ni uzalendo? Au utakwenda mbinguni?

Haujajibu bali umepiga kelele. Kama data zake ni za kupika weka zako za ukweli.
Data zinatusaidia Nini wakati tuliona umeme ukiwaka na Sasa hauwaki Tena? Tuliona maji na Sasa hayapo Tena? Tuliona mvua na Sasa majini mmezuia Hadi mvua? Tunahitaji data au tunahitaji huduma za jamii?
Mfumuko wa Bei nao ulkuwepo kiasi hiki? Mnatetea uharo tu utadhani mnalipwa huku mnateseka na ndugu zenu na hakuna suluhu, badala mhoji hiyo serikali ya CCM ndio inaleta ulaghai ninyi mnatetea watu wenu majini nyie Hadi mvua imegoma kutokana na mikataba yenu ya kuzimu hamna hata haya
 
Kwahiyo umeme uliokuwa unawaka ulikuwa wa kichawi?
Endeleeni na mikakati yenu ovu Ila watanzania wanaelewa sana tu na mtalipia kikombe Cha ubadhirifu wenu
Tulia wewe mjane.

Hii shida ya umeme inayolalamikiwa hapa ni enzi za nani?
Nnachokushauri tafuta mume mwengine.

Mme wako magu hawezi fufuka tena.

He is no more.
 
Umesomeka mkuu 'Chige', tena kwa uangalifu mkubwa sana.

Kutokana na hizi hoja makini unazoziwasilisha humu, itakuwa ni mjinga tu atakayeweza kuzirukia na kuzijibu bila ya tafakuri makini.

Umejipambanua vyema sana na kueleza unaposimamia. Ni jambo jema, lakini usisahau pia kwamba kuna wengine wanaoona mambo katika mwanga tofauti na wako. Unayoyaweka hapa hayatoki kwenye msahafu, ni mambo yanayojadilika. Tutayajadili (niongeze, "kwa makini", kwa sababu naona unaweka umakini mkubwa kwa unayoyawasilisha.
 
Issue siyo kubifsisha ila ni kuruhusu makampuni mengine kuwekeza kwenye nishati au kusambaza umeme kwa PPP style.
 
Mama anaficha ukweli kuepuka kumwaibisha Hayati lakini ukweli ni kuwa Hayati ndio chanzo cha kila tatizo hapa Tanzania. Chanzo kikuu ni ccm
Iweje Magufuri pekeee awe ndo tatizo kwani kipindi cha kikwete umeme ulikua unakatika ovyo alivo kuja Magu swala hili likapungua leo kafa wanakuja na ngojera zile zile za kale huoni km kuna jambo...
 
Yaani waseme tu matengenezo yanahitaji miezi 3, baada ya hapo shwari.
Na vipi kuhusu mashine za Dawasa nazo hazijafanyiwa matengenezo?
Wasukuma ndo tunamaliza maji kwa mifugo yetu yaan lawama zote ni wasukuma mbona tutakoma ila kuna siku na unafiki wao humu watakuja kukiri tu kua Magufuri alikua na mapungufu yake lakini jamaa ni bonge la kiongozi
 
imetajwa at least 3 factors ambazo zinachangia kuchelewa kufanyika kwa matengenezo:-
1. Spare Parts
2. Wataalamu,
3. Kupigwa STOP kutokana na kutokuwa na hifadhi ya kutosha ya umeme kwenye gridi ya taifa!!

Kwahio km spare parts na wataalamu hatuna… wanazima umeme ili iweje wakati hamna kinachofanyika…

Kwa hio namba tatu sitakaa kuwaamini kamwe m sorry to say this…
 
Asante sana kwa ufafanuzi wakitaalam. Umetumia kukusanya hv fact kutusaidia watz. Tatizo letu sisi ni siasa. Yaani inatuharibia sana kil kitu
 
Tuombe samahani Magufuri sio Mungu wa wasukuma ila tunamuheshimu sana kama mtanzania alie leta maendeleeo kwenye nchi yetu wala si kwa wasukuma tu.
Maendeleo gani kayaleta?

Mpaka leo watu hawana uhakika wa maji na umeme halafu unasema kaleta maendeleo!
 
Safi kabisa, article nzuri mno! Nimekimbilia kuangalia lini ulijiunga nikakuta ni 2008, hii ndio ilikua JF sasa.
 
Ukweli wenye kuumiza ndiyo huu sasa daah!.
 
Kwahio km spare parts na wataalamu hatuna… wanazima umeme ili iweje wakati hamna kinachofanyika…

Kwa hio namba tatu sitakaa kuwaamini kamwe m sorry to say this…
Ina maana hizo spare parts hazipo duniani kote, au wao ndo hawana?!

Yaani wangekuwa serious, spare sio issue kabisa! Kwa mfano unajua kabisa mashine inatakiwa kuanza kufanyiwa maintanence ikishapiga mzigo kwa saa 30K! Sasa hata kama spare parts zinapatikana katika nchini Zinjanthropus, kumbe unachotakiwa kufahamu delivery timu ni siku/miezi/miaka mingapi!

Kama delivery inaweza kufika after 3 years, then start preparations 3 years 6 months earlier!!

Kwenye suala la spare parts sio kwamba hazipo bali mfumo wao wa tenda na manunuzi ni mbovu! Na hata hilo suala la watalaamu, ni kama inavyofanyika kila mahali! Sio kwamba HAWANA WATALAAMU, bali hawana watalaamu wa baadhi ya specialized tasks!

Wao wanachofanya kazi za aina hiyo, ni kutafuta contractor!

Btw, kwanini hiyo #3 huamini?
 
Maendeleo gani kayaleta?

Mpaka leo watu hawana uhakika wa maji na umeme halafu unasema kaleta maendeleo!
Huna hata macho ....sema binadam hatuna shukrani maana nikiianza kukueleza miradi aliyoisimamia huyu mzee acheni tu apumzike kwa amani leo hii huku vijijini tunawasha umeme katutengenezea barabara na hosptali hiyo ni midogo tu mikubwa unaijua haina haja ya kukuelekeza unaweza kuihesabu huko uliko.
 
Yaani saa 10356 ni sawa na siku 431.5 ambayo ni sawa na mwaka 1 na miezi miwili mtambo ufanya kazi bila matengene.Inaumiza sana aisee.
 
[emoji88][emoji88][emoji88] Alikuwa anakupakata kijana,sasa tulia watu wafanye kitaaluma zaidi.
 
Kweli kuna watu mmeamuwa kujitowa akili au ni vichaa kamili.

Mradi wa umeme vijijini REA ni project ya awamu ya 4 ya Jakaya Kikwete utekelezaji ukawa unafanyika kwa phases.

Kama siyo huyo kichaa shetani wenu mungu wa chato kuwakwjeri wafadhili leo hii kaya nyingi zaidi zingekuwa zimepata umeme, maana aliwatukana Wamarekani ambao ndio walikuwa watowe $milllion 700 kwenye fund ya MCC.

Kama Mungu angeweza kusikiliza maombi yetu huyu alikuwa ni wa kufufuliwa na kutandikwa mijeledi ya kutosha.

Na mlivyokuwa machizi mnajisahaurisha kwamba jina la tingatinga kalipata awamu ya 4 wakati Kikwete anasambaza rami za kuiunganisha nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…