Uchaguzi 2020 Uongo na Upotoshaji huu wa BBC London kuhusu Tanzania kipindi hiki cha kampeni una maana gani? Sio mbinu za mabeberu? Wapi weledi wa ki-BBC?

Uchaguzi 2020 Uongo na Upotoshaji huu wa BBC London kuhusu Tanzania kipindi hiki cha kampeni una maana gani? Sio mbinu za mabeberu? Wapi weledi wa ki-BBC?

Hivi nani anamkumbuka Pascal Mayalla aliyemuliza JPM maswali hadi JPM akamwambia maana ya jina mayalla kwakisukuma ni njaa kapotelea wapi, akikutana na Pascal Mayalla huyu wa JF siwanaweza kupigana vibaya natamani sikumoja wakutanishwe
 
Waangaliizi wa kimataifa wengi wezi huwa wanaibia serikali zao NGO zao na watu binafsi kipindi cha chaguzi kuwa tunaenda simamia chaguzi!!! Na BBC waandishi huungana nao kuhamia nchi husika my cover election stories wakila miposho kibao!!!

Safari hii corona imewafunga breki hawaruhusiwi kutoka nchi zao wanalia njaa hivyo kipindi hiki Hawatoi pesa kabisa sababu vibaka wao walioko serikalini NGO na BBC n.a. balozi hawatazifaidi wakawa wanaomba serikali zenye chaguzi zisubiri corona iishe kwao ndipo watoe pesa Tanzania na Burundi tukasema hapana uchaguzi ufanyike kama kawaida tutagharimia wenyewe

Na tumeweza.Hongera Magufuli kupambana na ufisadi hadi nchi za wafadhili watoa Pesa za vibaka wajiitao waangalizi wa kimataifa waibia nchi zao na kuja ku draw pesa Tanzania

BBC swahili wamenuna
 
"The Motive Behind" ni kumwondolea sifa na kumharibia raisi alie madarakani na kumsaidia Tundu Lissu pamoja na nchi zilizo nyuma yake kuweza KUJARIBU kupata ushindi kwenye uchaguzi wa mwaka.

Bibie Zuhura Yunus na bwana Salim Kikeke wanaufahamu ukweli lakini mikon yao imefungwa kwa nyuma na BBC.

Hivyo hivyo vipaza sauti vimewekwa tu mbele yao na waseme kilichoandaliwa.
 
Waangaliizi wa kimataifa wengi wezi huwa wanaibia serikali zao NGO zao na watu binafsi kipindi cha chaguzi kuwa tunaenda simamia chaguzi!!! Na BBC waandishi huungwana nao kuhamia nchi husika my cover election stories wakila miposho kibao!!!

Safari hii corona imewafunga breki hawaruhusiwi kutoka nchi zao wanalia njaa hivyo kipindi hiki Hawatoi pesa kabisa sababu vibaka wao walioko serikalini NGO na BBC n.a. balozi hawatazifaidi wakawa wanaomba serikali zenye chaguzi zisubiri corona iishe kwao ndipo watoe pesa Tanzania na Burundi tukasema hapana uchaguzi ufanyike kama kawaida tutagharimia wenyewe

Na tumeweza.Hongera Magufuli kupambana na ufisadi hadi nchi za wafadhili watoa Pesa za vibaka wajiitao waangalizi wa kimataifa waibia nchi zao na kuja ku draw pesa Tanzania

BBC swahili wamenuna

Hivi hao waangalizi unawajua?
Kwaiyo Rais obasanjo ananjaa?
Rais mbeki ananjaa?
 
BBC swahili hamna kitu Walipofika kueleza sera ya madini ya Chadema witoroka kueleza kile kipengele cha kusema Chadema ikishika madaraka ikikopa taaissi za kimataifa itaweka rehani ardhi yenye madini kama dhamana!

Hilo BBC wamelikwepa baada ya kuuona moto wetu CCM kukataa wakaona ni kaa la moto la kuua Chadema hawakuongelea

CCM chama tawala sera zote za vyama tunazo tena kichwani
Unatamba hovyo . Kubalini mdahalo . Tena uwe na wagombea wachache ili ukweli uwekwe wazi
 
Pasco umezunguka zunguka sana, lakini nikupongeze jambo moja, hii habari ya bbc nlikua sijaiona! Asante sana Paskal, ntaitumia hiyo Habari kubomoa ccm huku kijiji kwangu! Kwa taarifa yako smart phone yangu inatazamwa hapa kijijini kuliko tv zote 20 zilizojo hapa! Hii Habari yako naisambaza wiki hii, naomba ukiwa na mchongo mwingine wa kimataifa uanzishe uzi!
 
Yaani huo uongo upo kweli hiyo mikataba miwili tu au yote waliyoyasema no uongo? He sheria zetu zimefuatwa katika uwekezaji huu... He mikataba ilipelekwa bungeni?

Usimuingize Dr. Abass Choo cha kike. Hataweza kujibu maswali... Kuna ufisadi nyuma ya hii mikataba ndiyo maana tumefichwa. Wasije wakajiexpose hasa muda huu wa uchaguzi.
 
"The Motive Behind" ni kumwondolea sifa na kumharibia raisi alie madarakani na kumsaidia Tundu Lissu pamoja na nchi zilizo nyuma yake kuweza KUJARIBU kupata ushindi kwenye uchaguzi wa mwaka.

Bibie Zuhura Yunus na bwana Salim Kikeke wanaufahamu ukweli lakini mikon yao imefungwa kwa nyuma na BBC.

Hivyo hivyo vipaza sauti vimewekwa tu mbele yao na waseme kilichoandaliwa.

Hakuna inchi iko nyuma ya Lisu,
Kama wazungu waliweza kumtoa gadafi ndio watashimdwa magufuli?

Tuacheni hizi mambo jaman,

Kubali kataa, Wazungu wana nguvu Sana Tena Sana,

Nenda Zimbabwe Leo ukaone nguvu ya wazungu
 
Uongo na Upotoshaji huu wa BBC London kuhusu Tanzania kipindi hiki cha kampeni una maana gani? Sio mbinu za mabeberu? Wapi weledi wa ki-BBC?
Sio kwamba najidai, lakini kwenye mgogoro wa makinikia ya Acacia, hakuna mwana JF aliyeandika na kufuatilia kama mimi...
Tukitafuta kitu kinachoitwa the motive behind, haiwezi kuwa ni mbinu za mabeberu? Wapi weledi wa Ki-BBC? Paskali
Ndugu yangu Pascal Mayalla, nakupongeza sana na kwa hakika unaonekana unajua sana mambo kuliko baadhi yetu ambao inaonekana hatujui chochote na kazi yetu ni kupiga tu makelele. Naomba unidokezee tu yafuatayo ...
  • Gharama za ununuzi wa ndege na ani aliidhinisha kulingana na taratibu zetu na kanuni.
  • Gharama za ujenzi wa Chato International Airport na nani aliidhinisha
Ni kweli wengi wetu tunapiga tu kelele kama hao BBC, kazi yetu ni kupotosha tu.
 
Taarifa za habari za BBC zimejikita katika " kusikiliza maoni ya watu tena hasa wasiohusika moja kwa moja na issue"

Opinion based news pengine ni kwa sababu ya uswahili wa hadhara yao.
Na
Wachenjuaji wetu wa habari (pale BBC) wana USWAHILI.
Wala sio BBC yenyewe.
Wapime kisosiolojia, utakuta wanaburuzwa na hisia zao hasa zilioathiriwa na tamaduni zao.
 
Hivi hao waangalizi unawajua?
Kwaiyo Rais obasanjo ananjaa?
Rais mbeki ananjaa?
Pesa hazitoki Africa za ku finance zinatoka nje ya Afrika wanatumia tu hayo majina ku justify ukwapuaji pesa

Kuhakikisha angalia mlolongo wa maafisa Wa NGO wa ndani ya Afrika wanaoambatana nao huo mradi

Utakuta taasisi kibao za African local agent thieves wanao collaborate na foreign thieves as experts wanaizunguka na obasanjo!! Na Mbeki! Vibaka wako behind the scene. MBEKI NA OBASANJO WAKO CLEAN

BBC ni mmoja wa kibaka anayekuwa behind the scene
 
Kaka rejea issue ya Faru John kwa Mw Mbowe. Mpaka balozi Cooke aliishobokea mpaka wakatia aibu. Hawa binadamu wenzetu wamevurugwa na JPM wameishia kuweweseka tu. Na BADO..
 
Pesa hazitoki Africa za ku finance zinatoka nje ya Afrika wanatumia tu hayo majina ku justify ukwapuaji pesa

Kuhakikisha angalia mlolongo wa maafisa Wa NGO wa ndani ya Afrika wanaoambatana nao huo mradi

Utakuta taasisi kibao za African local agent thieves wanao collaborate na foreign thieves as experts wanaizunguka na obasanjo!! Na Mbeki! Vibaka wako behind the scene. MBEKI NA OBASANJO WAKO CLEAN

BBC ni mmoja wa kibaka anayekuwa behind the scene

Dah wabongo bwana
 
Back
Top Bottom