Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wanataka chokochoko! Sisi ndio wapiga kura, tutampiga chini wakala wao na mabeberu yote tar 28, wabaki wanashangaa!
Waangaliizi wa kimataifa wengi wezi huwa wanaibia serikali zao NGO zao na watu binafsi kipindi cha chaguzi kuwa tunaenda simamia chaguzi!!! Na BBC waandishi huungwana nao kuhamia nchi husika my cover election stories wakila miposho kibao!!!
Safari hii corona imewafunga breki hawaruhusiwi kutoka nchi zao wanalia njaa hivyo kipindi hiki Hawatoi pesa kabisa sababu vibaka wao walioko serikalini NGO na BBC n.a. balozi hawatazifaidi wakawa wanaomba serikali zenye chaguzi zisubiri corona iishe kwao ndipo watoe pesa Tanzania na Burundi tukasema hapana uchaguzi ufanyike kama kawaida tutagharimia wenyewe
Na tumeweza.Hongera Magufuli kupambana na ufisadi hadi nchi za wafadhili watoa Pesa za vibaka wajiitao waangalizi wa kimataifa waibia nchi zao na kuja ku draw pesa Tanzania
BBC swahili wamenuna
Unatamba hovyo . Kubalini mdahalo . Tena uwe na wagombea wachache ili ukweli uwekwe waziBBC swahili hamna kitu Walipofika kueleza sera ya madini ya Chadema witoroka kueleza kile kipengele cha kusema Chadema ikishika madaraka ikikopa taaissi za kimataifa itaweka rehani ardhi yenye madini kama dhamana!
Hilo BBC wamelikwepa baada ya kuuona moto wetu CCM kukataa wakaona ni kaa la moto la kuua Chadema hawakuongelea
CCM chama tawala sera zote za vyama tunazo tena kichwani
"The Motive Behind" ni kumwondolea sifa na kumharibia raisi alie madarakani na kumsaidia Tundu Lissu pamoja na nchi zilizo nyuma yake kuweza KUJARIBU kupata ushindi kwenye uchaguzi wa mwaka.
Bibie Zuhura Yunus na bwana Salim Kikeke wanaufahamu ukweli lakini mikon yao imefungwa kwa nyuma na BBC.
Hivyo hivyo vipaza sauti vimewekwa tu mbele yao na waseme kilichoandaliwa.
Ndugu yangu Pascal Mayalla, nakupongeza sana na kwa hakika unaonekana unajua sana mambo kuliko baadhi yetu ambao inaonekana hatujui chochote na kazi yetu ni kupiga tu makelele. Naomba unidokezee tu yafuatayo ...Uongo na Upotoshaji huu wa BBC London kuhusu Tanzania kipindi hiki cha kampeni una maana gani? Sio mbinu za mabeberu? Wapi weledi wa ki-BBC?
Sio kwamba najidai, lakini kwenye mgogoro wa makinikia ya Acacia, hakuna mwana JF aliyeandika na kufuatilia kama mimi...
Tukitafuta kitu kinachoitwa the motive behind, haiwezi kuwa ni mbinu za mabeberu? Wapi weledi wa Ki-BBC? Paskali
"Behind enemy line"....Ni tactic nzuri sana ingawa uambatana na gharama kubwa. Russia walifanikiwa kudhibiti Georgia iliyokuwa inataka kuwaangamiza raia wale waliokuwa "Ossetia".Unafahamu kama Deo Mwanyika anagombea ubunge Njombe Mjini kwa tiketi ya CCM?
Pesa hazitoki Africa za ku finance zinatoka nje ya Afrika wanatumia tu hayo majina ku justify ukwapuaji pesaHivi hao waangalizi unawajua?
Kwaiyo Rais obasanjo ananjaa?
Rais mbeki ananjaa?
Pesa hazitoki Africa za ku finance zinatoka nje ya Afrika wanatumia tu hayo majina ku justify ukwapuaji pesa
Kuhakikisha angalia mlolongo wa maafisa Wa NGO wa ndani ya Afrika wanaoambatana nao huo mradi
Utakuta taasisi kibao za African local agent thieves wanao collaborate na foreign thieves as experts wanaizunguka na obasanjo!! Na Mbeki! Vibaka wako behind the scene. MBEKI NA OBASANJO WAKO CLEAN
BBC ni mmoja wa kibaka anayekuwa behind the scene
Kweli wewe ni jingalao!!Mabeberu na kibaraka wao wanahaha
Ndefu kweli kweli!Tuna safari ndefu.