Uongo uliowahi kufanikiwa zaidi

Uongo uliowahi kufanikiwa zaidi

Nikiwa masomoni Uncle alinambia ukimaliza tu chuo kuna kazi huku Mwanza nakutafutia ..utaanza na mshahara kidogo tu million 1 ila huko mbele watakufikiria.....
Baada ya kumaliza akanitafutia kazi kampuni ambayo hata haieleweki ilishaacha kufanya kazi walikua wauzaji wa sola na mshahara ni laki 1 na nusu.,te na hyo unalipwa ukifikia goli...
Leo mwaka wa 3 hajui hata nafanya shughuli gani ila ni bingwa wa kunipiga vizinga vya elfu 10 😅😅😅
 
Hii sentensi ya mwisho una manisha No au Ni?
Nilidhani ipo kwaajiri yetu kumbe ipo kwa ajili ya watu hata tusiowajua. Nilidhani kuwa Serikali in awamu lakini kumbe Kuna Serikali Permanent ( Deep State ) ambapo wote no vibaraka .
 
Mimi niliamini mwanamke mwenye makalio makubwa ni 'mtamu'.......wakati katika shughuli husika huwa hata hayaonekani.🙂🙂
Hayaonekani kivipi wewe au wewe ni kifo cha mende tuu hupendi doggy style au mbuzi kagoma
 
Nikiwa masomoni Uncle alinambia ukimaliza tu chuo kuna kazi huku Mwanza nakutafutia ..utaanza na mshahara kidogo tu million 1 ila huko mbele watakufikiria.....
Baada ya kumaliza akanitafutia kazi kampuni ambayo hata haieleweki ilishaacha kufanya kazi walikua wauzaji wa sola na mshahara ni laki 1 na nusu.,te na hyo unalipwa ukifikia goli...
Leo mwaka wa 3 hajui hata nafanya shughuli gani ila ni bingwa wa kunipiga vizinga vya elfu 10 😅😅😅
Ukiona mtu anayechukulia maisha ni poa kama Uncle wako muogope kama ukoma
 
4.Cancer ni ugonjwa
Nilikuja kustuliwa kuwa kansa ni symptom.
Signo ( Tafsiri/ Ujumbe ) mbaya au protini kuwa mbaya. Gene zinapokea signal zincode protini inayotakiwa. Na Kama cell zote ni protin bhasi cell zinaundwa kutokana na signal ,mfano ukiwa na kidonda Autosignal inatoa taarifa regeneration ya ngozi inafanyika.
20220717_132725.jpg
 
Nliambiwa ukiwa na GPA kali utapata ajira mapema naomba niishie hapa nshakua emoshno😁

Nlivokua mdogo nliambiwa nifocus na vingn takuja kupata mke mwema mda ukifika😁 aiseee mda umefika nakutana na singo maza na mashangazi hii life vavayo sana
 
Wazee wa zamani walikuwa wanaabudu mizimu au mashetani, hivyo nishike dini zilizoletwa kwa meli na mijeredi, KMMae uloniaminisha hivyo
 
Back
Top Bottom