Ndege Tai
JF-Expert Member
- May 6, 2020
- 4,439
- 8,184
Nikiwa masomoni Uncle alinambia ukimaliza tu chuo kuna kazi huku Mwanza nakutafutia ..utaanza na mshahara kidogo tu million 1 ila huko mbele watakufikiria.....
Baada ya kumaliza akanitafutia kazi kampuni ambayo hata haieleweki ilishaacha kufanya kazi walikua wauzaji wa sola na mshahara ni laki 1 na nusu.,te na hyo unalipwa ukifikia goli...
Leo mwaka wa 3 hajui hata nafanya shughuli gani ila ni bingwa wa kunipiga vizinga vya elfu 10 😅😅😅