Uongo uliowahi kufanikiwa zaidi

Uongo uliowahi kufanikiwa zaidi

Samahani mkuu
hizo taarifa za Africa is a cursed race ulizitoa wapi na kwa kosa gani mkalaaniwa?
bila samahani mkuu, fuatilia kwa karibu uchunguze kama tusingekutana na jamii nyingine (at point of contact). kwani aliyokuwa akiyasema Donald Trump kuwahusu waafrika ni ya uongo? alikuwa akisingizia?


Yesu anaokoa
 
kwamba mtu ukifa unaenda mtoni kwenye mateso au peponi kwenye bata

kumbe hayo maeneo yapo kwenye akili zetu tu, na huwezi yaelezea nje ya fikra zako😅😅

haki tumelishwa matangori
Kumbe hamna kwenda motoni🤔
 
Tunadanganywa sna kuwa maisha ni magumu , kumbe ugumu upo kichwani kwa mtu anavyochukulia mambo .
 
Kama hauna ABCD Ni magumu man sio uongo
Ugumu unajipa mwenyewe tu kutokana na chaguzi zako, kuna mwinge ana ona maisha magumu kisa tu amekosa pesa ya bia au ajala nyama ,ila kuna mwingine hali na hanywi vyote hivyo yeye poa tu.
 
Mwanamke ni msaada kwa mume wake kumbe ni mtiani usiyo na mwisho.
 
Nikiwa masomoni Uncle alinambia ukimaliza tu chuo kuna kazi huku Mwanza nakutafutia ..utaanza na mshahara kidogo tu million 1 ila huko mbele watakufikiria.....
Baada ya kumaliza akanitafutia kazi kampuni ambayo hata haieleweki ilishaacha kufanya kazi walikua wauzaji wa sola na mshahara ni laki 1 na nusu.,te na hyo unalipwa ukifikia goli...
Leo mwaka wa 3 hajui hata nafanya shughuli gani ila ni bingwa wa kunipiga vizinga vya elfu 10 [emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji847]
 
bila samahani mkuu, fuatilia kwa karibu uchunguze kama tusingekutana na jamii nyingine (at point of contact). kwani aliyokuwa akiyasema Donald Trump kuwahusu waafrika ni ya uongo? alikuwa akisingizia?


Yesu anaokoa
Mkuu sikumbuki Donald Trump alisema nini labda nikumbushe

Ila hizo taarifa za kwamba waafrika tumelaaniwa sina imani nazo au labda uniambie umetumia kigezo gani kufikia hitimisho hilo
 
Back
Top Bottom