Uongo uliowahi kutokea JF: Kila mtu kujifanya tajiri na ana maisha mazuri

Huku wengi ni majobles, sema tunajifariji tuu na kujidai tuna akili mingi
 
Kuna mmoja anajiita Zero IQ yeye ana kiwanda cha kuchakata binadamu tu jamii ya kike. Sijui leseni alipewa na nani, usalama wa taifa wa JF wanaliacha hivi kweli rushwa ipo 😄😄😄
Juzi tu kachakata Bikra tena anajisifia ya Kichaga 🤣🤣🤣
 
Kweli kabisa, walitutesa sana aisee, hadi leo hii!
Mtu nakuambia hapa New York asubuhi kumetokea hiki au kile !
Ukiangalia wewe upo Tandahimba huko ndani ndani ! Niambie kiasi gani utajisikia mnyonge.

Na lile li uzi la selfika lile ndio limefanya wengi kuwa wanyonge kishenzi!
 
Umeandika kwa kiingereza WATASEMA kila mtu mzungu.
 
Mimi sijui niko tofauti, mtu hata awe na nini aseme nini huwa hainisumbui kabisa. Ila nimeona kuna baadhi ya watu humu, inawasumbua na mbaya zaidi ni Fake ID.

Mtu akianza kusema gari, nyumba, biashara, kusafiri nje si ni vitu vya kawaida? Ila mtu akigusia kati ya hivyo na vingine, ataandamwa, tumeshajua una gari, una nyumba!!!

Tutafute pesa, tuache makasiriko, mtu hata kama anadanganya, ni anajidanganya mwenyewe, mwisho wa siku anabaki kwenye ulimwengu wa kuishi maisha mazuri kimtandaoni, kiuhalisia yuko vilevile.

Tuache watu wajifariji na kufurahia anachofanya, ili mradi hakugusi wewe moja kwa moja. Wivu ni ugonjwa tafuta dawa kama ukiona unaumia mafanikio ya mwingine.
 
Umemaliza kila kitu legendary
Happy Hump day
 
Hahahaha humu Kuna watu Wana matatizo ya akili
 
Hahahaha
 
🚮🚮
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…