Uongo wa ndugu yangu kipindi cha uchumba yagharimu ndoa Yake

Yeah nimewaza hili pia , mkulungwa alifanya kati ya haya

1. Alimlazimisha kutoa siri zake za nyuma
2. Alishakichafua sana sana na anajua tofauti ya used na sealed
Mimi mwenyewe nimekuuliza sana kuhusu Hilo, sasa sijajua kusolve ilikuwaje huko. Kweli watu wazima washindwe kweli.
Ila daaa
 
Huyo dogo naye boya tu! Zama hizi unaweka nadhiri ya kuoa mwanamke bikra?!!
Halafu yeye bikra yake imechunguzwa na nani mpaka amkomalie Binti wa watu kiasi hicho?
Nafikili ishu ni kudanganywa ndio inamuumiza zaidi.
 
Huyu kijana bado ni mseja au naye kamalizia useja wakati ana test mitambo?
 
Hii ishu mbaya itakuwa imemu affect pakubwa kisaikolojia jamaa na yeye angeacha kimya kimya au alete sababu yoyote tu ila bikra kuipa promo hivyo si poa ( n.b sisemi kwamba watu wasiweke kigezo bikra )
Nadhani anamawazo ya kuwa huyu dada hawezi kuwa mwaminifu tena katika ndoa. Binafsi namuunga mkono sasa hivi ndoa ni tatizo wakaka wanaumizwa sana na akina Engonga.
 
Wakati wa ujana niliwahi kudanganywa na Binti kama hivo alidai yeye hajawahi kuingiliwa na mwanaume kwa maana ya kufanya mapenzi (ngono) nikajipa moyo kuwa mke ndio huyu.

Siku za mbeleni akaja kutengua kauli yake kwa kuniambia yeye sio bikra alikuwa ananitania tu, wakati huo alikuwa kaweka misimamo yake hakuna kutombana hadi tuoane. Siku aliponiambia ukweli niliumia sana nafsi yangu~nilimshukuru tu kisha nikamwambia Kila mmoja ashike njia yake. Ni single mama wa watoto wawili Kila mtoto na baba yake. Life goes on
 
Mabinti wengi wasiojielewa Wana hizo tabia nimewahi kukutana nao kama watatu hivi katika maisha yangu ambao wakati Nina watongoza walisema kuwa ni bikra siku niliyo kwenda kuwala mzigo nikakuta breki mbupu , vibinti vidogo dogo huwaga Akili zao zimechacha ,
 
Hay Sasa ndo maamuzi ya kiume ni hvi mtu alikudanganya mwanzo tegemea kudanganywa zaidi.

Alafu watu wazima mmekaa mnajadili sehemu ya makojozi ya mtu kweli wakuu hamna kazi ya kufanya Muacheni bwana mdogo
 
Mwamba nae alifeli, aliaminije maneno matupu bila ya kutest mitambo kama yaliyomo yamo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…