Uongo wa ndugu yangu kipindi cha uchumba yagharimu ndoa Yake

Ila kuoa MWANAMKE Ambae sio bikira inataka moyo Sana. Kuna msichana alikuwa anataka nimuoe Ila alichakatwa Sana mbususu apo Kijijini kwao kila Kona ukipita watu wanakwambia yule afai. Yeye ananiambia eti amebadilika kwa sasa ametulia.
 
Natafuta Ajira , Xi Jinping , Sang'udi , jokajeusi
 
Huyo kijana kama alijitunza na hakujua msichana mpaka ndoa anawezaje kuijua bakra????
Huyo nae muhuni tu. Msichana nae kama angekuwa muhuni angekomaa nae kiwa umeitoa siku ya kwanza mana hyo kesi wa kuthibitisha ni yeye na huyo msichana tu.
Hata kama mwanaume hujawahi kudinya, usisikie hata story kuwa bikra ni ngumu dudu kuzama na demu anakuwa anapata maumivu na damu kutoka, sasa jamaa kaingiza kakuta ni pango la Amboni Tanga.
 
Kwahiyo hapo mwamba naye ameishaitoa yakwake
 
Huyo jamaa ni mwamba anaturudisha way back when wazee wetu walipokuwa lazima waoe bikira mpaka leo tunaona ndoa zao zinadumu

Hako kamalaya kaliweka standard aolewe na mwanaume mwenye kazi na provider, mwamba naye kaweka standard anataka bikira kameanza kujiliza

Si umeona hako kamalaya kanalia kanajua mistake aliyofanya kutombwa tombwa kumemfanya anakosa mume

Ndio ujue ni sisi wanaume tu tunatakiwa tuanze ku-raise standard ya kuoa bikira watajitunza wenyewe

Wamaza na wabibi miaka hiyo wakiwa mabinti walijitunza maana walijua akikutwa used ndoa hakuna

Lets Make Men Great Again
 
Labda dushe lilipita tuu bila breki nafikilia hivyo,
Sasa wachungaji sijajua kama walimuuliza au vipi.
Ila kama walimuuliza sijui alimwambia Nini, ila naamini walimuuliza Hilo.
Ila Binti nae alikili kuwa alimdanganya

Yes good
 
Bikra ni usumbufu mno, jamaa akubali maana unaweza oa bikra baada ya kuonja ukuni akawa hakamatiki haya mambo huwa ni kuuchuna tuu maisha yaendelee
 
Mkuu una link tusome hicho kisa
Sikuchukua linki ila nilimkuta fb na insta pia. Huyo jamaa nilimuelewa sn ingwa mwanamke alikuwa akitoa povu kiwa kwanza ni mzee, jamaa naye akasema km ni mzee kwa nini alitaka kifunga nae ndoa. Akamuuliza mwandishi kwamba "kati yangu ambae sina mtoto na yeye mwenye watoto 2 wa baba tofauti, nani mzee".

Siku nikipata hiyo clip ntaileta hapa
 
Bikra ni usumbufu mno, jamaa akubali maana unaweza oa bikra baada ya kuonja ukuni akawa hakamatiki haya mambo huwa ni kuuchuna tuu maisha yaendelee
Mi nadhani kuwa BIKRA au kutokuwa BIKRA isingekuwa issue sana, shida ni kumhadaa/kumdanganya jamaa. In fact it pains a lot. Hata ktk ndoa hiyo jamaa hatakuwa na fraha naye.
 
This is just medieval.

Haya mambo yalikuwa yanafanyqa na wafalme wa Ulaya wanapotaka kuoa. Kabla ya kuolewa mwanamke anapimwa bikra. Akikutwa hana bikra hamna ndoa.

Kama mnaoenda sana bikra fanyeni hivyo. Kuna madaktari kabisa wanaweza kupima.

Lakini ni ujinga tu, kwa sababu bikra inaweza kutoka hata mwanamke akipanda baiskeli tu, au akipanda farasi.

Sasa ukimkuta mwanamke hana bikra kwa sababu kaitoa kwwnye baiskeli, au kwenye kupanda farasi, hapi napo utasemaje?

Zaidi, kupima bukra ni kipimo cha kijinga cha chastity, kwa sababu mtu anaweza kuwa ana bikra mbwlw, nyuma hana, utampima nyuma?

Vipi bikra ya mdomoni, utapima kama kashatoa blowjob?

Vipi kama mwanamke bikra kimwili lakini mawazo yake ni kahaba wa kutupwa, utampima bikra ya akili pia?

Nilikuwa naangalia series ya "The Empress" on Netflix. Inaongelea historia ya The Hapsburg Empire na jinsi Queen Elisabeth (wa Hapsburg, sio wa Uingereza) wakati anaolewa alivyopimwa bikra ikaonekana haipo, wakasema "itakuwa imetoka katika kupanda farasi tu".

Wakampetesha.
 
Huyo bikira wa kiume ana misimamo kweli kweli
 
Sasa baada ya ndoa kifungwa Tena ya kanisani, shemeji akakuta hakuna kitu.
Huyu shemeji naye tayari bikra yake kaipoteza kwa mtu asiye na bikra, hivyo ni bora akabaki na huyo huyo laghai, kwasabb amepoteza sifa za kutafuta bikra mwingine.
 
Huyu shemeji naye tayari bikra yake kaipoteza kwa mtu asiye na bikra, hivyo ni bora akabaki na huyo huyo laghai, kwasabb amepoteza sifa za kutafuta bikra mwingine.
Hawaishi pamoja ila nimeambiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…