Uongo wa Serikali ya awamu ya 5 chini ya Dkt. John Pombe Magufuli utawatesa sana Marais watakaofuata na Samia akiwa miongoni

Kwa maana hiyo hata IMF imepewa data za kupikwa katika maamuzi ya kuitangaza Tanzania kuingia uchumi wa kati?!!
 
πŸ€”πŸ€”
 
Maneno kuntu! Kiendacho hurudi, waache wavune walichopanda!
 
Ilitokea awamu ya 5 tulipewa "Pombe" na tutafute "Suluhu" chini ya ushauri mahiri wa mambo ya uchumi wa "Mpango" ili Watanzania tuweze "kunyooshwa na kuujenga uchumi" ulioweza kupata mafanikio makubwa na kukua hadi kufikia 7.8% na hatimaye kuifanya Tanzania ikaweza kufikia "uchumi wa kati" [emoji849][emoji15] Hayo yote yakifanyika katika kipindi ambacho Tanzania kulikuwa na athari ndogo mno zitokanazo na gonjwa la UVIKO 19.

Imefika awamu ya 6 tumepewa "Suluhu" ili afanye "Mpango" wa kuweza "kuufungua uchumi" uliokuwa umeporomoka mno hadi kufikia 4.7% hii ni kutokana na athari mbaya za wazi zitokanazo na gonjwa la hatari la UVIKO 19 katika kipindi nchi ipo chini ya usimamizi wa "Pombe" [emoji849][emoji2957]

Tulipewa "Pombe" ili kujitafakari na hatimaye kupitia "Suluhu" ifanyike namna thabiti ili ufanyike "Mpango" wa kuleta tozo ili ziwe ndiyo suluhisho la matatizo ya kifedha na kiuchumi ya nchi yetu!?
 
MUNGU Baba alilifyekelea mbali hili shenzi na sasa hivi litakuwa linatandikwa mikwaju huko jehanam mpaka linashika adabu.
 
MUNGU Baba alilifyekelea mbali hili shenzi na sasa hivi litakuwa linatandikwa mikwaju huko jehanam mpaka
MUNGU Baba alilifyekelea mbali hili shenzi na sasa hivi litakuwa linatandikwa mikwaju huko jehanam mpaka linashika adabu.
Mkuu usimuhusishe Mungu kwenye mambo yako! Kumbuka una wazazi, watoto au mke Mungu hadhihakiwi Apandacho mtu ndo atakachovuna! Yeye ametangulia mimi na wewe mda wowote tunamfata usikufuru. Ila kwa vile kila mtu akikosoa anaonekana ni Sukuma gang! Kaeni makini sana na maneno yenu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…