Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa maana hiyo hata IMF imepewa data za kupikwa katika maamuzi ya kuitangaza Tanzania kuingia uchumi wa kati?!!Tukubaliane Jambo moja la ukweli na uwazi Tanzania haijawai Pata Rais mpika takwimu na kujiaminisha Kama alivyokuwa hayati Magufuli!!
1. Tanzania tuliambiwa makusanyo ya TRA ni 2 Trillion per month ila Kwa uhalisia haikuwa hivyo tulivyoambiwa , hapa uhalisia ilikuwa Bilion 900 hadi 1.2 trillion bila kuweka kwenye hesabu uporomokaji wa thamani ya shilling . Hivyo hata marais wajao watateseka kutaka ama kuendelez uongo huu au wazikusanye kweli kwa kuwatesa wananchi na ma Tozo
2. Growth rate ya uchumi ni 7.2 wakati ukweli ni 4.7 ndo hali halisi ya ukuaji wa uchumi ilivyokuwa!!
3. Laizer Kaokota Tanzanate yenye uzito ambao si kawaida !! Kumbe zinatolewa store anapiga picha na kurejesha ili kuhadaa Kwamba Ukuta wa merelani ndo umeleta mafanikio hayo
4. Kwamba Wafanyakazi hewa walikuwa ni 20,000 wakati waliobainika kutokuwa kazini ni 7400 tu ila 137500 walikuwapo kazini ila majina yalikinzana kwenye vyeti ila kazi walifanya kawaida
5. Tembo wameongezeka mara tatu Tripped tokea ashike nchi Kumbe ni uongo tembo waNa interval kubwa ya kuzaa Kwa muda
6. Tanzania hakuna Corona
7. Air Tanzania inapata faida kumbe uongo
8. Mabeberu wana I tagert Tanzania tu kwakuwa tuna madini
9. Kila tajiri ni mwizi na wanapaswa kuishi Kama Mashetani
10. Kuna Mtanzania ameajiriwa na ametengeneza mrija wa kila dakika inaingia Milion 80 kwenye account yake!
11. Masamaki Ana nyumba 74 na viwanja 200 Dar es salaam.
12. Miradi tunajenga kwa Pesa za ndani Kumbe ni WB na waturuki dah
13. Tuna Viwanda 4000 mpaka sasa dah
huyu Mzee huyu R.I.P
Mtu mfu anakutesa mpaka leo ujue alikuwa great kuliko wewe na bado great mtamwandika sana ili kuzifariji nafsi zenu zinazojua ukweli huku mkiukana kwa maandishi!Huu uzi kuna watu watapita kwa mbali tu.
🤔🤔Tukubaliane Jambo moja la ukweli na uwazi Tanzania haijawai Pata Rais mpika takwimu na kujiaminisha Kama alivyokuwa hayati Magufuli!!
1. Tanzania tuliambiwa makusanyo ya TRA ni 2 Trillion per month ila Kwa uhalisia haikuwa hivyo tulivyoambiwa , hapa uhalisia ilikuwa Bilion 900 hadi 1.2 trillion bila kuweka kwenye hesabu uporomokaji wa thamani ya shilling . Hivyo hata marais wajao watateseka kutaka ama kuendelez uongo huu au wazikusanye kweli kwa kuwatesa wananchi na ma Tozo
2. Growth rate ya uchumi ni 7.2 wakati ukweli ni 4.7 ndo hali halisi ya ukuaji wa uchumi ilivyokuwa!!
3. Laizer Kaokota Tanzanate yenye uzito ambao si kawaida !! Kumbe zinatolewa store anapiga picha na kurejesha ili kuhadaa Kwamba Ukuta wa merelani ndo umeleta mafanikio hayo
4. Kwamba Wafanyakazi hewa walikuwa ni 20,000 wakati waliobainika kutokuwa kazini ni 7400 tu ila 137500 walikuwapo kazini ila majina yalikinzana kwenye vyeti ila kazi walifanya kawaida
5. Tembo wameongezeka mara tatu Tripped tokea ashike nchi Kumbe ni uongo tembo waNa interval kubwa ya kuzaa Kwa muda
6. Tanzania hakuna Corona
7. Air Tanzania inapata faida kumbe uongo
8. Mabeberu wana I tagert Tanzania tu kwakuwa tuna madini
9. Kila tajiri ni mwizi na wanapaswa kuishi Kama Mashetani
10. Kuna Mtanzania ameajiriwa na ametengeneza mrija wa kila dakika inaingia Milion 80 kwenye account yake!
11. Masamaki Ana nyumba 74 na viwanja 200 Dar es salaam.
12. Miradi tunajenga kwa Pesa za ndani Kumbe ni WB na waturuki dah
13. Tuna Viwanda 4000 mpaka sasa dah
huyu Mzee huyu R.I.P
Maneno kuntu! Kiendacho hurudi, waache wavune walichopanda!Tukubaliane Jambo moja la ukweli na uwazi Tanzania haijawai Pata Rais mpika takwimu na kujiaminisha Kama alivyokuwa hayati Magufuli!!
1. Tanzania tuliambiwa makusanyo ya TRA ni 2 Trillion per month ila Kwa uhalisia haikuwa hivyo tulivyoambiwa , hapa uhalisia ilikuwa Bilion 900 hadi 1.2 trillion bila kuweka kwenye hesabu uporomokaji wa thamani ya shilling . Hivyo hata marais wajao watateseka kutaka ama kuendelez uongo huu au wazikusanye kweli kwa kuwatesa wananchi na ma Tozo
2. Growth rate ya uchumi ni 7.2 wakati ukweli ni 4.7 ndo hali halisi ya ukuaji wa uchumi ilivyokuwa!!
3. Laizer Kaokota Tanzanate yenye uzito ambao si kawaida !! Kumbe zinatolewa store anapiga picha na kurejesha ili kuhadaa Kwamba Ukuta wa merelani ndo umeleta mafanikio hayo
4. Kwamba Wafanyakazi hewa walikuwa ni 20,000 wakati waliobainika kutokuwa kazini ni 7400 tu ila 137500 walikuwapo kazini ila majina yalikinzana kwenye vyeti ila kazi walifanya kawaida
5. Tembo wameongezeka mara tatu Tripped tokea ashike nchi Kumbe ni uongo tembo waNa interval kubwa ya kuzaa Kwa muda
6. Tanzania hakuna Corona
7. Air Tanzania inapata faida kumbe uongo
8. Mabeberu wana I tagert Tanzania tu kwakuwa tuna madini
9. Kila tajiri ni mwizi na wanapaswa kuishi Kama Mashetani
10. Kuna Mtanzania ameajiriwa na ametengeneza mrija wa kila dakika inaingia Milion 80 kwenye account yake!
11. Masamaki Ana nyumba 74 na viwanja 200 Dar es salaam.
12. Miradi tunajenga kwa Pesa za ndani Kumbe ni WB na waturuki dah
13. Tuna Viwanda 4000 mpaka sasa dah
huyu Mzee huyu R.I.P
Kwa maana hiyo hata IMF imepewa data za kupikwa katika maamuzi ya kuitangaza Tanzania kuingia uchumi wa kati?!!
MUNGU Baba alilifyekelea mbali hili shenzi na sasa hivi litakuwa linatandikwa mikwaju huko jehanam mpaka linashika adabu.Tukubaliane Jambo moja la ukweli na uwazi Tanzania haijawai Pata Rais mpika takwimu na kujiaminisha Kama alivyokuwa hayati Magufuli!!
1. Tanzania tuliambiwa makusanyo ya TRA ni 2 Trillion per month ila Kwa uhalisia haikuwa hivyo tulivyoambiwa , hapa uhalisia ilikuwa Bilion 900 hadi 1.2 trillion bila kuweka kwenye hesabu uporomokaji wa thamani ya shilling . Hivyo hata marais wajao watateseka kutaka ama kuendelez uongo huu au wazikusanye kweli kwa kuwatesa wananchi na ma Tozo
2. Growth rate ya uchumi ni 7.2 wakati ukweli ni 4.7 ndo hali halisi ya ukuaji wa uchumi ilivyokuwa!!
3. Laizer Kaokota Tanzanate yenye uzito ambao si kawaida !! Kumbe zinatolewa store anapiga picha na kurejesha ili kuhadaa Kwamba Ukuta wa merelani ndo umeleta mafanikio hayo
4. Kwamba Wafanyakazi hewa walikuwa ni 20,000 wakati waliobainika kutokuwa kazini ni 7400 tu ila 137500 walikuwapo kazini ila majina yalikinzana kwenye vyeti ila kazi walifanya kawaida
5. Tembo wameongezeka mara tatu Tripped tokea ashike nchi Kumbe ni uongo tembo waNa interval kubwa ya kuzaa Kwa muda
6. Tanzania hakuna Corona
7. Air Tanzania inapata faida kumbe uongo
8. Mabeberu wana I tagert Tanzania tu kwakuwa tuna madini
9. Kila tajiri ni mwizi na wanapaswa kuishi Kama Mashetani
10. Kuna Mtanzania ameajiriwa na ametengeneza mrija wa kila dakika inaingia Milion 80 kwenye account yake!
11. Masamaki Ana nyumba 74 na viwanja 200 Dar es salaam.
12. Miradi tunajenga kwa Pesa za ndani Kumbe ni WB na waturuki dah
13. Tuna Viwanda 4000 mpaka sasa dah
huyu Mzee huyu R.I.P
MUNGU Baba alilifyekelea mbali hili shenzi na sasa hivi litakuwa linatandikwa mikwaju huko jehanam mpaka
Mkuu usimuhusishe Mungu kwenye mambo yako! Kumbuka una wazazi, watoto au mke Mungu hadhihakiwi Apandacho mtu ndo atakachovuna! Yeye ametangulia mimi na wewe mda wowote tunamfata usikufuru. Ila kwa vile kila mtu akikosoa anaonekana ni Sukuma gang! Kaeni makini sana na maneno yenu!MUNGU Baba alilifyekelea mbali hili shenzi na sasa hivi litakuwa linatandikwa mikwaju huko jehanam mpaka linashika adabu.
Deni la Taifa alituachia shingi ngapi?Ni mradi gani mkubwa umeanzishwa baada ya yeye kufariki uliosababisha tozo ziwepo kama kweli alidanganya.
😂 😂Mpaka leo bomba la mafuta waliokuwa wanaiba kesi haijulikani imeenda wapi, madawa yaliyokamatwa Lindi hayajulikani yameenda wapi
😂Bila kusahau vituo vya afya kedekedee!!
CCM akili zao yaani saizi wamerudi kuiba na kulindana wapuuzi sana
Mkuu wa wilaya aliyeibua hilo akahamishwa nchii inaendatu kama kuku asiyekuwa na kichwa!