Uongo wa Serikali ya awamu ya 5 chini ya Dkt. John Pombe Magufuli utawatesa sana Marais watakaofuata na Samia akiwa miongoni

Eeehh..bwana eehh..ebu toa upuuzi wako hukuu..umekula kwanza?? Unawaza ujinga ujingaa tuu.! Fanya kaz we mpuuzi
 
Balali si alifariki na kuzikwa Marekani? Au...... Kuna mambo ndo mnajifanya kuwa na akili, wasaka tongue tu.
 
Hahaha mkuu hawa vijana wengi wameamua kuuza utu wao, na heshima zao kwa sababu ya njaa zao. Ndio maana viongozi wao wamekuwa wakibuni mbinu za kuwarubuni rubuni kila siku.
 
Mpuuzi wewe, inakushinda nini na wewe kuwa raisi
 
Mengi unaweza kuwa umesema kweli, Ila namba 1 hapo umekosea. Hakuna mwezi ambao TRA walisema wamekusanya Trillion 2
 
Hakuna ndege nyingine mpya zilizoagizwa, ndege mbili alinunua magufuli ndizo zinasubiriwa na rais alisema uchumi ukikua vizuri watanunua siku anaipokea ile bombadier
 
Ndugu usinitishie nyau na haubadilishi chochote, Meko alikuwa mshenzi..
Wapi umeona kifo cha mtu Tz kinashangiliwa kama sio cha huyu mwehu tu.
 
Anzisha na wewe bandiko lako tutakuja kuchangia hiki linahusu uongo wa mwendazake tuu.
 
Jiwe alikua muongo muongo Sana,
Athari za uongo wake zilimkost hata alivyokua mfu mawaziri wake wakatangaza ni mzima na anachapa kazi,
Imagine watu wengi akiwemo bibi yangu alikua hajui Kama jamaa mgonjwa na yupo mahututi halafu ni rais wa nchi wanajua ni mzima anachapa kazi wanakuja kushtuka asubuhi rais kafariki wanauliza kapata ajali?
Tulikua nawaambia MATAGA kua jamaa mahututi wakasema tunatumiwa na mabeberu wakawa wanatukebehi humu
Ila nashukuru baada ya kumuweka wazi bibi yangu kua jiwe alikua mtu wa propaganda mwanzo alinibishia sababu ni CCM kindaki ndaki ila now Hana imani Tena na chama Cha kijani
Anajua ni waongo waongo na wachumia tumbo tu!
 
Ndio maana hata chanjo ya corona inawapa shida kuipa promo sababu ya ujinga wao wenyewe. Watoke watubu hadharani la sivyo watapata tabu sanaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…