Uongo wa Serikali ya awamu ya 5 chini ya Dkt. John Pombe Magufuli utawatesa sana Marais watakaofuata na Samia akiwa miongoni

Uongo wa Serikali ya awamu ya 5 chini ya Dkt. John Pombe Magufuli utawatesa sana Marais watakaofuata na Samia akiwa miongoni

Tukubaliane Jambo moja la ukweli na uwazi Tanzania haijawai Pata Rais mpika takwimu na kujiaminisha Kama alivyokuwa hayati Magufuli!!

1. Tanzania tuliambiwa makusanyo ya TRA ni 2 Trillion per month ila Kwa uhalisia haikuwa hivyo tulivyoambiwa , hapa uhalisia ilikuwa Bilion 900 hadi 1.2 trillion bila kuweka kwenye hesabu uporomokaji wa thamani ya shilling . Hivyo hata marais wajao watateseka kutaka ama kuendelez uongo huu au wazikusanye kweli kwa kuwatesa wananchi na ma Tozo

2. Growth rate ya uchumi ni 7.2 wakati ukweli ni 4.7 ndo hali halisi ya ukuaji wa uchumi ilivyokuwa!!

3. Laizer Kaokota Tanzanate yenye uzito ambao si kawaida !! Kumbe zinatolewa store anapiga picha na kurejesha ili kuhadaa Kwamba Ukuta wa merelani ndo umeleta mafanikio hayo

4. Kwamba Wafanyakazi hewa walikuwa ni 20,000 wakati waliobainika kutokuwa kazini ni 7400 tu ila 137500 walikuwapo kazini ila majina yalikinzana kwenye vyeti ila kazi walifanya kawaida

5. Tembo wameongezeka mara tatu Tripped tokea ashike nchi Kumbe ni uongo tembo waNa interval kubwa ya kuzaa Kwa muda

6. Tanzania hakuna Corona
7. Air Tanzania inapata faida kumbe uongo
8. Mabeberu wana I tagert Tanzania tu kwakuwa tuna madini
9. Kila tajiri ni mwizi na wanapaswa kuishi Kama Mashetani
10. Kuna Mtanzania ameajiriwa na ametengeneza mrija wa kila dakika inaingia Milion 80 kwenye account yake!
11. Masamaki Ana nyumba 74 na viwanja 200 Dar es salaam.
12. Miradi tunajenga kwa Pesa za ndani Kumbe ni WB na waturuki dah
13. Tuna Viwanda 4000 mpaka sasa dah
huyu Mzee huyu R.I.P
Eeehh..bwana eehh..ebu toa upuuzi wako hukuu..umekula kwanza?? Unawaza ujinga ujingaa tuu.! Fanya kaz we mpuuzi
 
Balali si alifariki na kuzikwa Marekani? Au...... Kuna mambo ndo mnajifanya kuwa na akili, wasaka tongue tu.
 
Hahahaaaaaaaa!
Mkuu umewakaba na hii kitu.........huwapi hata pumziko kidogo. Makamanda wanaipita hii kama hawaioni vilee na kukimbilia kujadili 'distance' walioiona kati ya mzungu muandaa kipindi cha Royal tour na rais samia. Au kujadili jacket alilolivaa raisi samia. Hatari sana.
Hahaha mkuu hawa vijana wengi wameamua kuuza utu wao, na heshima zao kwa sababu ya njaa zao. Ndio maana viongozi wao wamekuwa wakibuni mbinu za kuwarubuni rubuni kila siku.
 
Tukubaliane Jambo moja la ukweli na uwazi Tanzania haijawai Pata Rais mpika takwimu na kujiaminisha Kama alivyokuwa hayati Magufuli!!

1. Tanzania tuliambiwa makusanyo ya TRA ni 2 Trillion per month ila Kwa uhalisia haikuwa hivyo tulivyoambiwa , hapa uhalisia ilikuwa Bilion 900 hadi 1.2 trillion bila kuweka kwenye hesabu uporomokaji wa thamani ya shilling . Hivyo hata marais wajao watateseka kutaka ama kuendelez uongo huu au wazikusanye kweli kwa kuwatesa wananchi na ma Tozo

2. Growth rate ya uchumi ni 7.2 wakati ukweli ni 4.7 ndo hali halisi ya ukuaji wa uchumi ilivyokuwa!!

3. Laizer Kaokota Tanzanate yenye uzito ambao si kawaida !! Kumbe zinatolewa store anapiga picha na kurejesha ili kuhadaa Kwamba Ukuta wa merelani ndo umeleta mafanikio hayo

4. Kwamba Wafanyakazi hewa walikuwa ni 20,000 wakati waliobainika kutokuwa kazini ni 7400 tu ila 137500 walikuwapo kazini ila majina yalikinzana kwenye vyeti ila kazi walifanya kawaida

5. Tembo wameongezeka mara tatu Tripped tokea ashike nchi Kumbe ni uongo tembo waNa interval kubwa ya kuzaa Kwa muda

6. Tanzania hakuna Corona
7. Air Tanzania inapata faida kumbe uongo
8. Mabeberu wana I tagert Tanzania tu kwakuwa tuna madini
9. Kila tajiri ni mwizi na wanapaswa kuishi Kama Mashetani
10. Kuna Mtanzania ameajiriwa na ametengeneza mrija wa kila dakika inaingia Milion 80 kwenye account yake!
11. Masamaki Ana nyumba 74 na viwanja 200 Dar es salaam.
12. Miradi tunajenga kwa Pesa za ndani Kumbe ni WB na waturuki dah
13. Tuna Viwanda 4000 mpaka sasa dah
huyu Mzee huyu R.I.P
Mpuuzi wewe, inakushinda nini na wewe kuwa raisi
 
Mengi unaweza kuwa umesema kweli, Ila namba 1 hapo umekosea. Hakuna mwezi ambao TRA walisema wamekusanya Trillion 2
 
Dead men tell no tales. Magu ameshakufa, kama hizo ulizosema zilikuwa ni story za alinacha basi CCM wanayo nafasi ya kuweka ukweli wazi. Otherwise, ni style ya uongo CCM wako nayo katika kuongoza nchi. Nakumbuka ni miezi kadhaa baada ya Magu kufa tuliambiwa ndege ni hasara tupu. Ajabu miezi michache mbele yule aliyetuarifu hilo ameagiza ndege zingine tena kwa cash.
Tanzania ni nchi inayoongozwa kwa kudra, binafsi sioni mipango katika kinachofanywa na viongozi wa taifa letu. Mipango bora waliyonayo ni namna ya kujaza matumbo yao na familia zao kwa kuwabebesha mizigo Watanzania maskini.
Huwa nikikumbuka story tunazopigishana mitaani kuwa Tanzania ni moja ya nchi makini inayoheshimika barani Afrika, hasa kutokana na jitahida zake hapo zamani za Ukombozi wa bara letu kutoka kwa Western. Napata picha kwamba hizo story huenda zilijaza uongo kama wote.
Kwanza, namna viongozi wanavyozungumza na hadhira huonyesha kichwani wamejaa ujinga na mihemko.
Pili, ukitembelea taasisi za serikali kupata huduma utagundua wajinga walivyojazana huko kwenye hizo taasisi.
Tatu, nikikumbuka matukio kama ya Lissu, Aquilina, Hamza na Mo, na utetezi wa matukio, utayari katika dharura, pia taarifa za uchunguzi wa matukio huwa naona Tanzania huenda haina watu smart.
Nahitimisha kwa kusema, Mungu tu hutulinda na kutuepusha na mabalaa wakati mwingi, lakini sio kwa kudai kuna jitihada zozote za maana.
Haya ni maoni yangu. Natamani kuona Tanzania ya watu smart na watenda haki kuanzia uongozi na kila kitu. Tumebarikiwa utajiri mwingi, lakini kwa wajinga wengi waliomo humu Tanzania sitegemei kuona huu utajiri tunaouona ukisaidia chochote.
Hakuna ndege nyingine mpya zilizoagizwa, ndege mbili alinunua magufuli ndizo zinasubiriwa na rais alisema uchumi ukikua vizuri watanunua siku anaipokea ile bombadier
 
Mkuu usimuhusishe Mungu kwenye mambo yako! Kumbuka una wazazi, watoto au mke Mungu hadhihakiwi Apandacho mtu ndo atakachovuna! Yeye ametangulia mimi na wewe mda wowote tunamfata usikufuru. Ila kwa vile kila mtu akikosoa anaonekana ni Sukuma gang! Kaeni makini sana na maneno yenu!
Ndugu usinitishie nyau na haubadilishi chochote, Meko alikuwa mshenzi..
Wapi umeona kifo cha mtu Tz kinashangiliwa kama sio cha huyu mwehu tu.
 
Uongo upo kila sehem mkuu. Na ndio maana mpaka leo unawatesa hawa wachumia tumbo kwa kujaribu kuirubuni tena baadhi ya misukule yao iliyokata kamba mwaka 2015, na kuamua kuachana na harakati uchwara kwa masilahi ya viongozi wa chama. I mean chama na viongozi wake wamekuwa hawaaminiwi tena kwa chochote wanachosema.

View attachment 1933563

View attachment 1933564

View attachment 1933565

View attachment 1933566
Anzisha na wewe bandiko lako tutakuja kuchangia hiki linahusu uongo wa mwendazake tuu.
 
Jiwe alikua muongo muongo Sana,
Athari za uongo wake zilimkost hata alivyokua mfu mawaziri wake wakatangaza ni mzima na anachapa kazi,
Imagine watu wengi akiwemo bibi yangu alikua hajui Kama jamaa mgonjwa na yupo mahututi halafu ni rais wa nchi wanajua ni mzima anachapa kazi wanakuja kushtuka asubuhi rais kafariki wanauliza kapata ajali?
Tulikua nawaambia MATAGA kua jamaa mahututi wakasema tunatumiwa na mabeberu wakawa wanatukebehi humu
Ila nashukuru baada ya kumuweka wazi bibi yangu kua jiwe alikua mtu wa propaganda mwanzo alinibishia sababu ni CCM kindaki ndaki ila now Hana imani Tena na chama Cha kijani
Anajua ni waongo waongo na wachumia tumbo tu!
 
Ndio maana hata chanjo ya corona inawapa shida kuipa promo sababu ya ujinga wao wenyewe. Watoke watubu hadharani la sivyo watapata tabu sanaaa
 
Back
Top Bottom