Uongo wa Serikali ya awamu ya 5 chini ya Dkt. John Pombe Magufuli utawatesa sana Marais watakaofuata na Samia akiwa miongoni

Ndio maana hata chanjo ya corona inawapa shida kuipa promo sababu ya ujinga wao wenyewe. Watoke watubu hadharani la sivyo watapata tabu sanaaa
Ndugu si ukachanje? Afya yako ni jukumu lako kuilinda, na kwanini unataka kuingilia maisha ya watu kwa maslah yako?
Inakuwaje unalalama wakati serikali ishaleta chanjo?
 
Nilimiss nyuzi za kumponda jpm..ni burudani tosha. Asante kwa burudani. Mlikuwa na spidi sana kuzipost march-june pumzi ikakata...karibuni tena mtupe burudani.
 
Ndugu usinitishie nyau na haubadilishi chochote, Meko alikuwa mshenzi..
Wapi umeona kifo cha mtu Tz kinashangiliwa kama sio cha huyu mwehu tu.
Wewe mashetani tu yamekupanda kichwani, Magufuri alichukiwa na Mafisadi, Wachaga wa Chadema,na wala rushwa na wazembe na vyeti feki ndio walioshangilia kifo chake,Wewe ulionanyomi iliyokwenda kumuaga uwanja wa taifa, Mpaka watu walikanyagana na kufa zaidi ya watu 40, alafu unasema watu walioshangilia kifo cha Magufuri!Taifa hili kumpata mtu kama Magufuri Sio kizazi hiki.R.i.p John tutakukumbuka daima kwa kuacha alama nchi hii.
 
Usidhani kila anayekwenda msibani ana majonzi au ameguswa na msiba.

Bado hujawajuwa binadamu. Waliokanyagwa na kufa ni wapumbavu tu sawa na wapumbavu wengine, ubalozi wa Marekani Dar ulivyolipuliwa na The Base kuna wajinga kama hao walikuwa wanakumbilia kwenye tukio.
 
Magufuli akumbukwe Kwa lipi? Kwa pesa alizoficha visiwa vya sheli sheli? Au madini aliyobadilishana na Ankore cattle akawaficha Karagwe Kihanga? Kwanza punguza hisia za kudanganywa Yule alikuwa mshenzi !! Angalia Miradi iliyojengwa haifiki thamani ya trillion hata 10 Lakin kapaisha deni la Taifa kutoka 37 trillion mpaka 61 trillion as per to date !!!! Magufuli alikuwa mpigaji anayekabidhi miradi Jeshi I akiona kimenuka ! TANROAD Kaiba Bilion 256 na kuingia kwenye akaunt yake ya CRDB Azikiwe ninyi hebu hebu hebu aisee tuache
 
Inaitwa kuunganisha DOTS. Ahsante
 
Wewe ni mpumbavu tu, ninani Rais yupi ajapandisha deni la taifa? kwani hao akina Kikwete, Mwinyi,waliopandisha deni walifanya nini kama Sio kulipana mishahara na posho tu,uku hali za wananchi wakiwa na hali mbaya,Bora Magufuri kakopa kajenga miundombinu,kajenga masoko ya kisasa,stend za kisasa nenda kimala na Dodoma kajenga nji wa Dodoma na Ikuru pamoja na wizara zake zote, pamoja na tasisi zake,kanunua ndege kumi,kafufua reli ambayo ilikuwa imeshindikana, kanunua meli mpya kila maziwa na za zamani zimekarabatiwa,CGR imejengwa, Bwawa la umeme limejengwa lililo shindikana tangu enzi za nyerere, umeme Mpaka vijijini unawaka,maji Mpaka mashambani,Kama uoni kazi ya pesa ya Magufuri aliyofanya Wewe ni kipofu tu.
 
Kunywa maji kidogo alafu fanya marekebisho Wasukuma na Budagala wenu vipi jamani hahaha
 
Utateseka sana mleta mada. Vinginevyo, useme wazi unatafuta nafasi huko " MWANGAZA". Ha haha haaaa!
Masikini TUJITEGEMEE, wengne miaka yote tumekuwa tukisema adui namba wani wa taifa hili ni CCM lakini kama kenge hamsikii hadi iwatoke masikioni. Ndugu yangu hebu fikiria haya...

Dhalimu mwendakuzimu jiwe alikuwa serikalini kwa miaka karibu ishirini, lakini akijinadi akajifanya hajui tulifikaje tulipo, hajui ilikuwaje nchi ikapinda hadi ikabidi ashushwe kuinyosha!

Pamoja na mapungufu hayo yote bado akasukumiziwa uongozi wa juu kabisa na Chama cha Majizi, chama kilichozeeka na kuchoka, chama chenye shahada ya kuwahadaa wananchi...

Pamoja na sifa zote hizo, chama hicho kikawa ndicho serikali, ndicho mahakama na ndicho Bunge. Genge hilo likataifisha vyombo vya dola kuanzia polisi hadi usalama wa taifa na kuvifanya vitengo vyake.

Magufuli kwa kuijua vilivyo CCM akawa anapiga push-up majukwaani akiwalaghai wananchi kuwa yuko fit huku mashine kifuani ikifanya kazi ya ziada kustahimili mihangaiko na sarakasi zake.

Asante corona kwa kumtembelea huyo dhalimu la sivyo hadi leo tungekuwa bado tuko mikononi mwake. Kuna siku nasi tutadumisha kumbukumbu ya Watanzania waliopotea mikononi kwake.

Bahati mbaya masikini haokoti, akiokota si ajabu akaambiwa kaiba. Tulidhani tumeokota kumbe! Ona sasa tunaambiwa tumekwiba, masikini Watanzania wenzangu, tulikosa nini? Ogopa CCM kama ukoma!
 
Macheti feki na mapigaji ndio yana like habari kama hizi. Takwimu zinatolewa na benki ya dunia macheti feki yanadai eti magufuli ndio anatoa.
 
Wewe unaweza kwenda kushudia msiba wa adui yako, mpaka kufikia atua ya kukanyagana na kufa? chadema acha kudanganyana kuwa Magufuri alikuwa apendwi, Magufuri alichukiwa na Mafisadi, Wachaga wa Chadema na wala rushwa na wazembe,na wauza unga tu
 
Mjinga tu halafu unafikiri unajua. Kwani hujasikia dunia nzima ikiwemo tanzania wakitoa takwimu tofauti za ukuaji uchumi kutokana na covid 19 kuvuruga ukuaji uchumi? Na ukuaji uchumi wa tz haukushuka sana kama nchi nyingine kutokana na jpm kutokubali lockdown. Watu wajinga kama nyie ndio mnasumbua kwa kutoa habari za kijinga.
 
Ndani ya miezi mitano mama keshakopa tilion 4 na maisha hayaeleweki, huku tozo, kule mafuta ya kula na petrol juu, upande ule mbolea imepanda kwa asilimia 70%,
hv hii nchi inamradi gani mkubwa ulioanzishwa tangu atoke magufuli ambao unasababisha gharama za maisha kupanda kila kukicha?
Pigeni kelele zotee ila wananchi tulimpenda sana Magufuli!
 
Yule bwana alikuwa na kipaji cha kuongea uongo

Angeweza hata kiwadanganya watu kuwa bado hajafa kama angepatiwa nafasi siku ya mazishi yake kule chato
 
15. Kwamba Mengi alikufa kwa mshtuko Dubai…
Huyu mwamba ile project yake ya kutengeneza smartphone, laptop na magari ya umeme bado naikumbuka sijui Iliishia wapi .
Sijui Kwanini africa mtu mwenye uono wa mbali akiondoka na mambo yake yanaondoka tofauti na wazungu Ndio maana wazungu wapo juu africa mpaka leo tunaomba misaada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…