Uongo wa Serikali ya awamu ya 5 chini ya Dkt. John Pombe Magufuli utawatesa sana Marais watakaofuata na Samia akiwa miongoni

Mpaka leo bomba la mafuta waliokuwa wanaiba kesi haijulikani imeenda wapi, madawa yaliyokamatwa Lindi hayajulikani yameenda wapi
Kiwango cha kufikiri na kuchambua ukweli na uwongo ni duni sana kwa Watanzania walio wengi. Magufuli alijuwa UJINGA uliopo kwa Watanzania na akautumia kwa KUWADANGANYA.
Magufuli alikuwa anajuwa kiwango cha ujinga wa Watanzania walio wengi na ndiyo ukawa mtaji wake kwa propaganda za UWONGO. Wasomi na wajuzi wa mambo akawanyamazisha kwa sheria mbaya za mtandao, takwimu na sheria ya habari
 
Madaraja ,meli,SGR, vituo vya afya nazo Ni takwimu za kupika ? Roho yako mbaya Sana!! Kwamba tukutukuze we we mtoa post!!
Hivi tangu tupate uhuru hatukuwahi kujenga meli kabla magufuli hajawa rais? Hatukuwahi kujenga reli? Hatukuwahi kujenga vituo vya afya na miundombinu mingine? Jibu niwazi: Tulifanya mengi, Ila kulikuwa hakuna upikaji wa takwimu Kama awamu ya magufuli.
Honestly tuambizane ukweli:
Vile viwanda 4000 tulivyoaminishwa vimejengwa, baada ya yeye kufa vilienda wapi?
Ile faida ilyokuwa inazalishwa na Atcl iko wapi?
Ttcl na mashirika mengine Bado yanatoa mgao kwa serikali?
Tanzania imeshakuwa donor cantri? au tumeshaanza kupeleka mitumba ulaya?
Na mengine mengi.
 
Toa ushahidi tuamue wenyewe usitufanye mataahira. Umetoa madai yasiyo na ushahidi wala uthibitisho. Hayo unayosema umeyapata wapi? Je ni reliable sources? Au una lako. Sie ni watu wazima na akili zetu usituletee utoto na ujinga mwanangu
Kwa hiyo we unaona ni kweli vilijengwa viwanda 4000?
 
Wameeashanza kuleta uzi wa kuilaumu samia
 
Yule MAREHEMU JIWE kwa uwongo wake hivi kwa zile fix za kutekeleza Ile miradi Katika kipindi Cha 2015-20250 je 2020-2025 Kweli kweli Watanzania tulihitaji li ilani la uchaguzi la ccm lenye kurasa 303 naomba ccm mje mtuelezee
 
 
Kwanini unachallenge legacy? Nchi hii imechezewa sana na mafisadi. Au nasema uwongo ndugu zangu?

13. Tanzania ni donor country.
14. Ndani ya miaka mitano tu ya awali awamu ya 5 ilifanikiwa kujenga viwanda zaidi ya 800
Hakika
 
14. Siku Ina masaa 48
 
Jengeni nchi, hayupo sasa miaka miwili, umeme umewashinda, miradi imewashinda mpaka mnaiuza, kawaachia ndege, ukarabati wa viwanja vya ndege, bandari zote, madaraja makubwa, Mradi wa SGR, JKNHP, n.k bila tozo, nyinyi mnafeli wapi.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…