Uongo wa Serikali ya awamu ya 5 chini ya Dkt. John Pombe Magufuli utawatesa sana Marais watakaofuata na Samia akiwa miongoni

Kwanini unachallenge legacy? Nchi hii imechezewa sana na mafisadi. Au nasema uwongo ndugu zangu?

13. Tanzania ni donor country.
14. Ndani ya miaka mitano tu ya awali awamu ya 5 ilifanikiwa kujenga viwanda zaidi ya 800
Hapo namba 13. Tlushatoa donation ya sh milioni 5 kwa Wazambia pale Tunduma enzi za Edgar Lungu
 
Tukubaliane Jambo moja la ukweli na uwazi Tanzania haijawai Pata Rais mpika takwimu na kujiaminisha Kama alivyokuwa hayati Magufuli!!

1. Tanzania tuliambiwa makusanyo ya TRA ni 2 Trillion per month ila Kwa uhalisia haikuwa hivyo tulivyoambiwa , hapa uhalisia ilikuwa Bilion 900 hadi 1.2 trillion bila kuweka kwenye hesabu uporomokaji wa thamani ya shilling . Hivyo hata marais wajao watateseka kutaka ama kuendelez uongo huu au wazikusanye kweli kwa kuwatesa wananchi na ma Tozo

2. Growth rate ya uchumi ni 7.2 wakati ukweli ni 4.7 ndo hali halisi ya ukuaji wa uchumi ilivyokuwa!!

3. Laizer Kaokota Tanzanate yenye uzito ambao si kawaida !! Kumbe zinatolewa store anapiga picha na kurejesha ili kuhadaa Kwamba Ukuta wa merelani ndo umeleta mafanikio hayo

4. Kwamba Wafanyakazi hewa walikuwa ni 20,000 wakati waliobainika kutokuwa kazini ni 7400 tu ila 137500 walikuwapo kazini ila majina yalikinzana kwenye vyeti ila kazi walifanya kawaida

5. Tembo wameongezeka mara tatu Tripped tokea ashike nchi Kumbe ni uongo tembo waNa interval kubwa ya kuzaa Kwa muda

6. Tanzania hakuna Corona
7. Air Tanzania inapata faida kumbe uongo
8. Mabeberu wana I tagert Tanzania tu kwakuwa tuna madini
9. Kila tajiri ni mwizi na wanapaswa kuishi Kama Mashetani
10. Kuna Mtanzania ameajiriwa na ametengeneza mrija wa kila dakika inaingia Milion 80 kwenye account yake!
11. Masamaki Ana nyumba 74 na viwanja 200 Dar es salaam.
12. Miradi tunajenga kwa Pesa za ndani Kumbe ni WB na waturuki dah
13. Tuna Viwanda 4000 mpaka sasa dah
huyu Mzee huyu R.I.P
unajihangaisha kazi ya ngosha haiihitaji uwe unajua rocket science, ilijionyesha yenyewe. unajitahidi kufanya ukweli uonekani uongo.
 
Ndani ya miezi mitano mama keshakopa tilion 4 na maisha hayaeleweki, huku tozo, kule mafuta ya kula na petrol juu, upande ule mbolea imepanda kwa asilimia 70%,
hv hii nchi inamradi gani mkubwa ulioanzishwa tangu atoke magufuli ambao unasababisha gharama za maisha kupanda kila kukicha?
Pigeni kelele zotee ila wananchi tulimpenda sana Magufuli!
Hiyi miradi unayo iona na kumsifia mwandazake yote KAIWACHA HATA asilimia 50% ya ujenzi haijaisha na hela alizo kopa ni nyingi sn na ni mzigo mkubwa mbeleni elewa hicho kwanza .

Pili kama itafanikiwa kumalizika basi pongezi zinatakiwa ziende kwa atakaye weza kuimalizia hiyo miradi sio JPM yeye kama yeye kumsifia sn sio sawa MIRADI YOTE hiyo ipo kwenye Program ya maendeleo ya serikal .
 
Chini ya Magu CCM walishinda kwa kishindo 99% ya viti vyote vya ubunge, waliompiga risasi Lisu hawajulikani, Moe alitekwa na watu wa nje waliokuwa wanaongea lugha za kigeni 🤣
 
Raisi yuko salama anawasalimia, CCM ni waongo kuliko mashetani
 
Hapo namba 13. Tlushatoa donation ya sh milioni 5 kwa Wazambia pale Tunduma enzi za Edgar Lungu
hahahahaha.......tumethubutu, tunasonga mbele. Nchi hii imechezewa sana na wapinzani wanazuia maendeleo.
 
😀 😀 😀 sana. Wapinzani wametuchelewesha mnoooooo. Tungekuwa kama Japan, kama sio kukwamishwa na akina Lipumba, Zito, Mbowe na Mbatia.
 
Hiyi miradi unayo iona na kumsifia mwandazake yote KAIWACHA HATA asilimia 50% ya ujenzi haijaisha na hela alizo kopa ni nyingi sn na ni mzigo mkubwa mbeleni elewa hicho kwanza .

Pili kama itafanikiwa kumalizika basi pongezi zinatakiwa ziende kwa atakaye weza kuimalizia hiyo miradi sio JPM yeye kama yeye kumsifia sn sio sawa MIRADI YOTE hiyo ipo kwenye Program ya maendeleo ya serikal .
Jibu swali, nimekuuliza kuna mradi gani mpya uloanzishwa ambao unasababisha gharama za maisha kupanda kila iitwayo Leo?
Chuki zako kwa mwendazake haziwezi kubadirisha ukweli kuwa JPM alikuwa kiongozi bora!
 
Mwenda kuzimu
 
Magu aliikuta mbaazi inanuniliwa kwa 2800/= mpaka 3000 kwa kilo aliishiishusha mpaka 200 kwa kilo.
Mpaka sasa Mama Kaipandisha 1000 per kg na inazidi kupanda

Sukari alikuta 1800 per kg akapandisha mpaka 3000 bei ameacha 2800 yeye alisema alikuta 5000 per kg.

Wananchi hatuli fly over.
Fly over sio chakula.

Umesikia huko pamba imenunuliwa cash !!. Bila wanajeshi bila ma camera kimya kimya.
 
Mtu mfu anakutesa mpaka leo ujue alikuwa great kuliko wewe na bado great mtamwandika sana ili kuzifariji nafsi zenu zinazojua ukweli huku mkiukana kwa maandishi!
Inaonekana na wewe ni mwongo Kama yeye..."MATAJIRI TUNAKUTANA HAPA"
 
Chini ya CCM hatutapata maendeleo ya kweli, bali blah blah zitaendelea kama kawaida,wanachoangalia wao ni kuneemeka wao na washirika wao tu
 
Kwanini unachallenge legacy? Nchi hii imechezewa sana na mafisadi. Au nasema uwongo ndugu zangu?

13. Tanzania ni donor country.
14. Ndani ya miaka mitano tu ya awali awamu ya 5 ilifanikiwa kujenga viwanda zaidi ya 800
serikali haikujenga viwanda hata kimoja; bali walitoa vibali vya ujenzi wa viwanda kwa makampuni binafsi. Nadhani Tangu Nyerere aondoke, serikali haijawahi kujenga kiwanda chochote, bali serikli ya Mkapa na Mwinyi wao waliuza vile vilivyojengwa na Nyerere. magufuli yeye alipigia uhamasihaji wa ujenzi wa viwanda kwa kutoa vibali hivyo. Sasa kuna waliopewa vibali lakini hawakutekeleza ujenzi, na hilo ni jambo tofauti kabisa.
 
Tukubaliane Jambo moja la ukweli na uwazi Tanzania haijawai Pata Rais mpika takwimu na kujiaminisha Kama alivyokuwa hayati Magufuli!!

1. Tanzania tuliambiwa makusanyo ya TRA ni 2 Trillion per month ila Kwa uhalisia haikuwa hivyo tulivyoambiwa , hapa uhalisia ilikuwa Bilion 900 hadi 1.2 trillion bila kuweka kwenye hesabu uporomokaji wa thamani ya shilling . Hivyo hata marais wajao watateseka kutaka ama kuendelez uongo huu au wazikusanye kweli kwa kuwatesa wananchi na ma Tozo

2. Growth rate ya uchumi ni 7.2 wakati ukweli ni 4.7 ndo hali halisi ya ukuaji wa uchumi ilivyokuwa!!

3. Laizer Kaokota Tanzanate yenye uzito ambao si kawaida !! Kumbe zinatolewa store anapiga picha na kurejesha ili kuhadaa Kwamba Ukuta wa merelani ndo umeleta mafanikio hayo

4. Kwamba Wafanyakazi hewa walikuwa ni 20,000 wakati waliobainika kutokuwa kazini ni 7400 tu ila 137500 walikuwapo kazini ila majina yalikinzana kwenye vyeti ila kazi walifanya kawaida

5. Tembo wameongezeka mara tatu Tripped tokea ashike nchi Kumbe ni uongo tembo waNa interval kubwa ya kuzaa Kwa muda

6. Tanzania hakuna Corona

7. Air Tanzania inapata faida kumbe uongo

8. Mabeberu wana I tagert Tanzania tu kwakuwa tuna madini

9. Kila tajiri ni mwizi na wanapaswa kuishi Kama Mashetani

10. Kuna Mtanzania ameajiriwa na ametengeneza mrija wa kila dakika inaingia Milion 80 kwenye account yake!

11. Masamaki Ana nyumba 74 na viwanja 200 Dar es salaam.

12. Miradi tunajenga kwa Pesa za ndani Kumbe ni WB na waturuki dah

13. Tuna Viwanda 4000 mpaka sasa dah

huyu Mzee huyu R.I.P
Mbona huna uthibitisho maana mwenzio alikuaa anatoa uthibitisho
 
Back
Top Bottom