Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Inshallah nitawacheki mkuuFanya kuwacheki mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inshallah nitawacheki mkuuFanya kuwacheki mkuu
Kutokana na matumizi makubwa ya fedha kwenye manunuzi ya vifurushi vya Internet. Tarehe 01/08/2022, nilijiunga na kifurushi cha Tsh.1500 (Mb850) na niliamua kuanza kufuatilia na kujipimia matumizi ya vifushi vya Internet kwenye simu yangu kupitia Mobile data usage ambapo nilipata fursa ya kuweka ukomo wa matumizi ya kifushi nilichojiunga kwa siku nisizidishe Mb100.
Lakini cha ajabu niliweza kutumia Jumla ya Mb490 pekee na kuletewa ujumbe kuwa nimetumia kifurushi cha Internet kwa 100%.
Nilishangaa sana na kugundua kuwa kumbe hivi viwango wanavyotuandikia ni Uongo mtupu. Huu mtandao wanafanya utapeli mkubwa sana.
Pamoja na maelezo haya nimeambatanisha screenshot za manunuzi ya kifurushi na matumizi.
Kama kuna mtu anaweza fuatilia pia ajaribu atajionea mwenyewe.View attachment 2316699View attachment 2316700View attachment 2316701
Mkuu jaribu kufatilia Simu yako vizuriKutokana na matumizi makubwa ya fedha kwenye manunuzi ya vifurushi vya Internet. Tarehe 01/08/2022, nilijiunga na kifurushi cha Tsh.1500 (Mb850) na niliamua kuanza kufuatilia...
Tigo sijawahi tumia kabisa naona kama network yao haipo strong.Hamna tofauti kabisaa afadhali tigo aiseee
Basi itakua umejiunga mwezi huu, mwezi wa saba tuu hapo mtandao ulipotea siku tatu, hata kwenye mitandao yao ya kijamii TTCL waliposti kuwa kuna changamoto.Natumia 0733 hilo haijawahi kutokea kwangu. Ninachofahamu mtandao wao hauna masafa marefu sana kivile WABORESHE.
Nape kule Twitter ukigusia Bado anakwambia leta ushahidi kama unaibiwaNape uupo tuu anacheza golf bila hofu maana bahasha toka kampuni za simu inaburudisha moyo.
Nimegundua kuwa watoto wa vigogo wa CCM kama Nape, Makamba na Ridhiwani wanafanya kazi bila hofu na kwa mazoea tofauti na vijana kama Hussein Bashe
Nina miezi 8 na ttcl, may be it happened!Basi itakua umejiunga mwezi huu, mwezi wa saba tuu hapo mtandao ulipotea siku tatu, hata kwenye mitandao yao ya kijamii TTCL waliposti kuwa kuna changamoto.
Voda kwa mbali wana unafuu, nilikuwa natumia kwenye modem nikiset ile speed ndogo hata kama nikiunga cha 500 kwa matumizi yangu madogo madogo ilikuwa inakaa japo nilikuwa natumia kwenye pc lakini ilikuwa inaridhisha. Bahat mbaya nimeipoteza ile laini leo naenda kusajili special namba kabisa niiweke kwenye simu kubwa hii airtel acha ikae kwa kiswaswadu tuVoda hata mimi siwapingi hakuna kitu kizuri kama kutodanganya ndio maana wanakula hela zangu nimejinga bando la wiki Mb 850 nakaribia natimiza siku ya tatu leo.
Nimepima 1.8 za Vida zinadumu kwa muda mwingi kuliko 2.2Gb za Halotel
Duh! jamaa wamezidi uhuni ,mimi sasa hivi mfanya kama wewe Jf,gugo na wasap tu hata status kucheki mara chache na Mb800 kwa buku jero Voda lazima kufika siku 3 mara nyingine 4 ingekua Airtel 1 tuMajuzi nimeunga kile cha buku ambacho unapata 400MB, siingii Instagram sikuhizi mimi ni whatsapp na JF tu hata whatsapp yenyewe status siangalii sana zaidi ya picha tu za watu wachache, kama ni video mara nyingi huwa nafanya ku skip tu, sina hata downloads, siingii youtube labda kugugo tu vitu hapa na pale lakini cha ajabu kabla hata ya saa moja usiku napokea sms nshatumia 75% ya data! Hapa saiv nimebaki na madakika kibao hata sijui niyapeleke wapi wayachukue tu na hayo
Kuna siku nilijiunga kifurushi cha week mara mbili ndani ya siku moja mpaka roho iliniuma aisee. Kifurushi cha week bongo hakina maana kabisa!Duh! jamaa wamezidi uhuni ,mimi sasa hivi mfanya kama wewe Jf,gugo na wasap tu hata status kucheki mara chache na Mb800 kwa buku jero Voda lazima kufika siku 3 mara nyingine 4 ingekua Airtel 1 tu
Exactly uko sahihi airtel ni wahuni, usiku wa kuamkia leo saa sita usiku nilizima simu ikiwa na mb 650 asubuhi nawasha simu nakuta mb 617 ,baada ya kutumia net asubuhi niliweka simu chaji ikiwa na mb 440 lakini baada ya dakika 45 natumiwa sms kwamba kifurushi kimeishaKutokana na matumizi makubwa ya fedha kwenye manunuzi ya vifurushi vya Internet. Tarehe 01/08/2022, nilijiunga na kifurushi cha Tsh.1500 (Mb850) na niliamua kuanza kufuatilia na kujipimia matumizi ya vifushi vya Internet kwenye simu yangu kupitia Mobile data usage ambapo nilipata fursa ya kuweka ukomo wa matumizi ya kifushi nilichojiunga kwa siku nisizidishe Mb100.
Lakini cha ajabu niliweza kutumia Jumla ya Mb490 pekee na kuletewa ujumbe kuwa nimetumia kifurushi cha Internet kwa 100%.
Nilishangaa sana na kugundua kuwa kumbe hivi viwango wanavyotuandikia ni Uongo mtupu. Huu mtandao wanafanya utapeli mkubwa sana.
Pamoja na maelezo haya nimeambatanisha screenshot za manunuzi ya kifurushi na matumizi.
Kama kuna mtu anaweza fuatilia pia ajaribu atajionea mwenyewe.
View attachment 2316699View attachment 2316700View attachment 2316701
Mbona kwangu nimeistall ila net haifanyi kazThor vpn droid apk ni zaidi ya kulamba asali
Kama matumizi hayakua makubwa huu ni utapeli but kama uliingia insta, youtube inakata mapemaMimi nilijiunga Mb 850 zilikata within a day
Nilishangaa sana Asee
Matumizi ya kawaidaKama matumizi hayakua makubwa huu ni utapeli but kama uliingia insta, youtube inakata mapema