Uongo wa wazee wa zamani wa Tanzania kuhusu mpira

Zamani mbungi ilikuwa inavutia kutazama si Tanzania tu, hata huko duniani, si mpira kwa ujumla bali wachezaji wenye kutegemea vipaji asili na si kutengenezwa "maabara za mpira"...

Lakini inapotajwa zamani si zamani mpira ukiwa unaanza bali kipindi ni miaka ya 70 mwishoni, 80 hadi 90 hapo...

Mfano kwa bongo kuna familia kama ya Manara ambayo wote walikipiga ughaibuni...
Acha uongo mzee vipaji haviishi duniani na mbungi inapigwa safi na burudani tunaiona usitake kudanganya watu zipo clip za zamani kibao na mpira ni WA kawaida tu kwahiyo unataka kusema Sasa hivi vipaji havizaliwi viliishia kuzaliwa miaka ya 90 uongo mwingine wa WAZEE huu hapa
 
Hivi nyie wazee huwa mnatuchukuliaje vijana utakuta mzee anasifia wachezaji wa zamani unaweza kusema hao wachezaji waliipa Tanzania ubingwa wa dunia yaani katika vitu vinanikera mizee kusifia magarasa ya zamani eti zamani kulikuwa na mpira sio Sasa.

Hiyo zamani yenyewe waulize hata kombe la takataka kama afcon washawahi kuvuka hata makundi jibu ooh kulikuwa hakuna pesa. Sasa pesa na uwanjani wanaume 22 wapi na wapi, wazee acheni uongo bhana hamna mpira wowote mlikuwa mnakimbizana tu kama mnafukuza nguruwe tafuteni uongo mwingine huu tumewastukia na hakuna laana mtayotupa sababu mnasema uongo.
Umetolea mfano waAfcon ... ni kweli huko nyuma tulifuzu mara moja tu, mwaka 1980 .. ila Kwa faida ya unongo wako hebu jifunze mchakato wakufuzu enzi zile , ulingamishe na Sasa uweze kulinganisha na Sasa, ambalo kwenye ukisasa wenu mmefuzu mara 2 tu!
 
Kwahiyo mataifa mengine nayo yalifuzu mara 1 kwenye huo mchakato acheni uongo wazee
 
Acha uongo mzee vipaji haviishi duniani na mbungi inapigwa safi na burudani tunaiona usitake kudanganya watu zipo clip za zamani kibao na mpira ni WA kawaida tu kwahiyo unataka kusema Sasa hivi vipaji havizaliwi viliishia kuzaliwa miaka ya 90 uongo mwingine wa WAZEE huu hapa

Tatizo ni kwamba umeishi enzi moja tu, hujaishi enzi mbili hivyo huwezi kufanya ulinganifu...

Wachezaji wa sasa wanapitia maabara zinazoitwa academy...
 
Kuna mzee mmoja alitupig. mzee anadai kuna mchezaji kitambo alikua anaitwa Twaha Masiment alipiga shuti nguzo ya goli ikapinda!.
yule babu nikampinga akaniambia,'wewe kijana wa ww dotcom huna adabu'.
 
Tatizo ni kwamba umeishi enzi moja tu, hujaishi enzi mbili hivyo huwezi kufanya ulinganifu...

Wachezaji wa sasa wanapitia maabara zinazoitwa academy...
Kwahiyo hizi video za mpira dakika 90 full ni fake aisee embu acha uongo au huo mpira mlikua mnachezea angani
 
Hivi nyie wazee huwa mnatuchukuliaje vijana utakuta mzee anasifia wachezaji wa zamani unaweza kusema hao wachezaji waliipa Tanzania ubingwa wa dunia yaani katika vitu vinanikera mizee kusifia magarasa ya zamani eti zamani kulikuwa na mpira sio Sasa.

Hiyo zamani yenyewe waulize hata kombe la takataka kama afcon washawahi kuvuka hata makundi jibu ooh kulikuwa hakuna pesa. Sasa pesa na uwanjani wanaume 22 wapi na wapi, wazee acheni uongo bhana hamna mpira wowote mlikuwa mnakimbizana tu kama mnafukuza nguruwe tafuteni uongo mwingine huu tumewastukia na hakuna laana mtayotupa sababu mnasema uongo.
Hzo zlikuwa story was the only

Just story tu kwan alikulazmisha ukubali au ukatae?
 
Wachezaji wa zamani wengi walikua na vipaji haswa kama Method Mogela,China,Gaga Nchi ilikua na watu sana wakina Innocent Haule au Selestine Sikinde Mbunga sema ndio hivyo washindani wetu walikua bora zaidi yetu..wapo wachezaji wa kizazi hiki wana viwango sawa na wale ila Mchezaji kama Dube enzi za kina Kizota Yanga hawezi kupata namba au Sanifu Lazaro Tingisha hiyo Simba ilikua na Viungo kama watano Marsha,George Lukas,Michael Paul naironi inabidi wengine wapewe namba saba ili kupata namba mchezaji kama Lunyamila utampata wapi sasa hivi ngoja niishie hapa maana bado wakina Mbui Yondani wa huko Reli ya Morogoro...
 
Wana makombe mangapi hao uliowataja wakitumikia timu za tanzania Africa hii tu kwa mfano
 
Wazee wetu wa zamani wote walikuwa wa kwanza darasani.😂
 
Back
Top Bottom