Uongo wa wazee wa zamani wa Tanzania kuhusu mpira

Hivi nyie wazee huwa mnatuchukuliaje vijana utakuta mzee anasifia wachezaji wa zamani unaweza kusema hao wachezaji waliipa Tanzania ubingwa wa dunia yaani katika vitu vinanikera mizee kusifia magarasa ya zamani eti zamani kulikuwa na mpira sio Sasa.

Hiyo zamani yenyewe waulize hata kombe la takataka kama afcon washawahi kuvuka hata makundi jibu ooh kulikuwa hakuna pesa. Sasa pesa na uwanjani wanaume 22 wapi na wapi, wazee acheni uongo bhana hamna mpira wowote mlikuwa mnakimbizana tu kama mnafukuza nguruwe tafuteni uongo mwingine huu tumewastukia na hakuna laana mtayotupa sababu mnasema uongo halafu mwisho kwanini Kila mzee nikimuuliza alikua anakua wa ngapi shule anasema alikua wa kwanza mpaka anamaliza Sasa wamwisho alikua nani .
Kijana utakuja upate laana iwapo utaiendeleza hii tabia yako ya kuwasema vibaya wazee wako!!
 
Dah mkuu kuhusu hilo umewaza vizuri sana,kuna kipindi nlikuwa nikisikia stori za watu wanaitwa kibadeni,kompyuta,lunyamila nilikuwa napata picha kwamba wazee wa zamani walienjoy sana soka kumbe ni stori za uongo tu..
 
Wazee Hawa ni waongo sana aisee
 
Hivi nyie wazee huwa mnatuchukuliaje vijana utakuta mzee anasifia wachezaji wa zamani unaweza kusema hao wachezaji waliipa Tanzania ubingwa wa dunia yaani katika vitu vinanikera mizee kusifia magarasa ya zamani eti zamani kulikuwa na mpira sio Sasa.

Hiyo zamani yenyewe waulize hata kombe la takataka kama afcon washawahi kuvuka hata makundi jibu ooh kulikuwa hakuna pesa. Sasa pesa na uwanjani wanaume 22 wapi na wapi, wazee acheni uongo bhana hamna mpira wowote mlikuwa mnakimbizana tu kama mnafukuza nguruwe tafuteni uongo mwingine huu tumewastukia na hakuna laana mtayotupa sababu mnasema uongo halafu mwisho kwanini Kila mzee nikimuuliza alikua anakua wa ngapi shuleni anasema alikua wa kwanza mpaka anamaliza Sasa wamwisho alikua nani .
Huwa wananikera sana
 
Kwao ni halali sababu kulikua hakuna njia nyingine ya Kuwa-entertain kama Movie, Mitandao, Casinos nk.

So lazima wakumbuke moment zilizokua zinawa entertain kipindi hicho ikiwemo Soka

Soka lenyewe halikua kubwa ki hivyo.
 
Mwaka 74 Simba iliingia nusu fainali ya klabu bingwa Afrika, mpaka Leo hakuna klabu Tanzania umefikia rekodi.
 
Hivi nyie wazee huwa mnatuchukuliaje vijana utakuta mzee anasifia wachezaji wa zamani unaweza kusema hao wachezaji waliipa Tanzania ubingwa wa dunia yaani katika vitu vinanikera mizee kusifia magarasa ya zamani eti zamani kulikuwa na mpira sio Sasa.

Hiyo zamani yenyewe waulize hata kombe la takataka kama afcon washawahi kuvuka hata makundi jibu ooh kulikuwa hakuna pesa. Sasa pesa na uwanjani wanaume 22 wapi na wapi, wazee acheni uongo bhana hamna mpira wowote mlikuwa mnakimbizana tu kama mnafukuza nguruwe tafuteni uongo mwingine huu tumewastukia na hakuna laana mtayotupa sababu mnasema uongo halafu mwisho kwanini Kila mzee nikimuuliza alikua anakua wa ngapi shuleni anasema alikua wa kwanza mpaka anamaliza Sasa wamwisho alikua nani .
Tusiende mbali sana,je wachezaji kama Ronadinho kizazi hiki wapo?
Hata Afrika tu,unaweza kulinganisha kizazi cha akina JJ Okocha na wachezaji wa sasa?
Ni kweli vipaji vimepungua sana hata huku mashuleni.
 
Messi na Ronaldinho nani zaidi
 
Utasikia TU mara ball jagler, alipiga shuti kirumba Mpira ukapatikana Bagamoyo..
 
Mzee Magoma "Kita Kita' au Magoma Moto Enzi Zake alikuwa balaa....!

Kama Mzee Magoma 'Kita Kita' na Kipaji chake chote alishindwa Kupenya Kutokea Yanga Kids Kwenda Yanga B ..!

Ina Maana Wale Wachezaji wa Kipindi chake Walikuwa Balaaaaa... !

Msimlaumu mtu Vijana.mkicheza na hawa Wazee Laana itawatafuna..!
 
Hamuwezi kutudanganya hivi hivi
Kwa miaka ya 90 niliyoshuhudia mpira,moringa hachezi hata daraja la tatu ngazi ya mkoa,kanoute daraja la pili, Feisal haanzi first eleven,kublan hata kufikiriwa hafikiriwi,wale wazee walikua wanajua mpira,na duniani ilikua hivyo,toka Nigeria, Cameroon, Brazil, Argentina, UK nk,siku hizi lukaku ni striker,gakpo,
 
Hivi nyie wazee huwa mnatuchukuliaje vijana utakuta mzee anasifia wachezaji wa zamani unaweza kusema hao wachezaji waliipa Tanzania ubingwa wa dunia yaani katika vitu vinanikera mizee kusifia magarasa ya zamani eti zamani kulikuwa na mpira sio Sasa.

Hiyo zamani yenyewe waulize hata kombe la takataka kama afcon washawahi kuvuka hata makundi jibu ooh kulikuwa hakuna pesa. Sasa pesa na uwanjani wanaume 22 wapi na wapi, wazee acheni uongo bhana hamna mpira wowote mlikuwa mnakimbizana tu kama mnafukuza nguruwe tafuteni uongo mwingine huu tumewastukia na hakuna laana mtayotupa sababu mnasema uongo halafu mwisho kwanini Kila mzee nikimuuliza alikua anakua wa ngapi shuleni anasema alikua wa kwanza mpaka anamaliza Sasa wamwisho alikua nani .
Kweli wanazingua, (tunazingua)
 
Back
Top Bottom