Uongo wa wazee wa zamani wa Tanzania kuhusu mpira

Acha uongo mzee vipaji haviishi duniani na mbungi inapigwa safi na burudani tunaiona usitake kudanganya watu zipo clip za zamani kibao na mpira ni WA kawaida tu kwahiyo unataka kusema Sasa hivi vipaji havizaliwi viliishia kuzaliwa miaka ya 90 uongo mwingine wa WAZEE huu hapa
 
Umetolea mfano waAfcon ... ni kweli huko nyuma tulifuzu mara moja tu, mwaka 1980 .. ila Kwa faida ya unongo wako hebu jifunze mchakato wakufuzu enzi zile , ulingamishe na Sasa uweze kulinganisha na Sasa, ambalo kwenye ukisasa wenu mmefuzu mara 2 tu!
 
Umetolea mfano waAfcon ... ni kweli huko nyuma tulifuzu mara moja tu, mwaka 1980 .. ila Kwa faida ya unongo wako hebu jifunze mchakato wakufuzu enzi zile , ulingamishe na Sasa uweze kulinganisha na Sasa, ambalo kwenye ukisasa wenu mmefuzu mara 2 tu!
Kwahiyo mataifa mengine nayo yalifuzu mara 1 kwenye huo mchakato acheni uongo wazee
 

Tatizo ni kwamba umeishi enzi moja tu, hujaishi enzi mbili hivyo huwezi kufanya ulinganifu...

Wachezaji wa sasa wanapitia maabara zinazoitwa academy...
 
Kuna mzee mmoja alitupig. mzee anadai kuna mchezaji kitambo alikua anaitwa Twaha Masiment alipiga shuti nguzo ya goli ikapinda!.
yule babu nikampinga akaniambia,'wewe kijana wa ww dotcom huna adabu'.
 
Tatizo ni kwamba umeishi enzi moja tu, hujaishi enzi mbili hivyo huwezi kufanya ulinganifu...

Wachezaji wa sasa wanapitia maabara zinazoitwa academy...
Kwahiyo hizi video za mpira dakika 90 full ni fake aisee embu acha uongo au huo mpira mlikua mnachezea angani
 
Hzo zlikuwa story was the only Just story tu kwan alikulazmisha ukubali au ukatae?
 
Wachezaji wa zamani wengi walikua na vipaji haswa kama Method Mogela,China,Gaga Nchi ilikua na watu sana wakina Innocent Haule au Selestine Sikinde Mbunga sema ndio hivyo washindani wetu walikua bora zaidi yetu..wapo wachezaji wa kizazi hiki wana viwango sawa na wale ila Mchezaji kama Dube enzi za kina Kizota Yanga hawezi kupata namba au Sanifu Lazaro Tingisha hiyo Simba ilikua na Viungo kama watano Marsha,George Lukas,Michael Paul naironi inabidi wengine wapewe namba saba ili kupata namba mchezaji kama Lunyamila utampata wapi sasa hivi ngoja niishie hapa maana bado wakina Mbui Yondani wa huko Reli ya Morogoro...
 
Wana makombe mangapi hao uliowataja wakitumikia timu za tanzania Africa hii tu kwa mfano
 
Video mechi za mpira wa zamani

Taja hiyo zamani ipi? maana katika nukuu zangu umeona nimeandika miongo 70's, 80's na 90's.

Uzuri wa mpira wa miguu ni sanaa ambayo watu wanacheza na kushuhudiwa na watazamaji...
 
Wazee wetu wa zamani wote walikuwa wa kwanza darasani.😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…