Uongozi mbovu ndo unasababisha bidhaa kupanda bei na Kukosa maji na Nishati

hiyo itakuwa sabuni ya mkaa tafuta pesa acha kupiga kelele kwani yeye ndiye anaye pandisha bei
 
Deep statr walimuua magufuri ili wao wawe na uongozi utakaowasikiliza wao ikiwemo biashara zao zinakuwa..Sasa biashara zao lqzima zikue kwa wao wazaishaji kuuza bei kubwa bila kufuata formula
 
tatizo hao wenye viwanda ndio watunga sera na ndio wenye mamulaka,unategemea nini kwa wananchi.
 
Ukweli mchungu huu. Wahusika wajifanyie Monitoring and evaluation. Haiwezekani mishahara haijapanda lakini kila kitu kimepanda mara 3. Halafu wakubwa wanazurula tuu na kuja na majibu mepesi " mipango ya mungu"

Ifike wakati tuangalie wakutuongoza wenye akili kubwa sana ili tutuoke kwenye 60 yrs za kuwaza maji yatakatika, umeme utakatika.
 
Mchele huku mwanza ushafika 1600 wakati mwezi wa 7 ulikuwa 1100
 
Daah! kwa hii hali ya sasa, tunasafari ndefu sana kwakweli
 
Wanajua sema wanajifanya vipofu,na angejilimbikizia mali wangemshambulia kwelikweli.
nyerere hakua na tamaa, ukiwaangalia waasisi wenzake kama kenyata, mgabe namna walivyozitafuna nchi zao utagundua nyerere alikua bonge la kiongozi.
 
1 kipande cha sabuni 750
2. Mbolea urea 105000
3. Can 75000
Jembe ni elf 8
4. Mafuta lita 6500
8. Nyama wanakula wauzaji buchani na matajir wachache
ni miaka 6 toka ni garaduate na kujiajiri kwenye kilimo cha mahindi, na bei ni sh.250 kwa kg. Bado kuzisoma namba mpaka miaka 50 ijayo.
KWENU NAMBA ZIPOJE? Tuzisome pamoja
 
1 kipande cha sabuni 750
2. Mbolea urea 105000
3. Can 75000
Jembe ni elf 8
4. Mafuta lita 6500
8. Nyama wanakula wauzaji buchani na matajir wachache
ni miaka 6 toka ni garaduate na kujiajiri kwenye kilimo cha mahindi, na bei ni sh.250 kwa kg. Bado kuzisoma namba mpaka miaka 50 ijayo.
KWENU NAMBA ZIPOJE? Tuzisome pamoja
 
Na huku tunazisoma hivyo hivyo, mb. 600@1000,
 
Chaka la hii Serikali haramu ambayo haina uwezo iliyoingia madarakani kwa kupora chaguzi ni Soko la dunia.

Utasikia tatizo lipo kwenye Soko la dunia.Utaambiwa bei zipo juu kwenye soko la dunia,halafu hapo imekuwa imeisha hivyo😁😁
 
Mkiambiw hamien mbagala hamtaki.. Ona Sasa kipnde cha sabun mnauziw 750 wakt huku mia
 
Wewe unaishi wapi aisee?
hizo bei mbona ni za kimarekani kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…