Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hiyo itakuwa sabuni ya mkaa tafuta pesa acha kupiga kelele kwani yeye ndiye anaye pandisha beiAcha na mm kidogo nitoe ya moyoni
Habar ya weekend
Nasikitishwa sana na utawala wa huyu mama asa asa kwenye mfumuko wa bei
Yaan vitu vinapanda bei kila baada ya masaa na mama kimya, nafaham yy hana shida maana kila kitu anahudumiwa na kodi zetu,
Alaf vitu vinavyopanda bei ni vile potential, Leo nimeskitika sana kuuziwa kipande cha sabuni B-29 kwa sh 600, kutoka 250
Inaonekana wazi utawala wa huyu mama ni kwa ajili ya kukandamiza wanyonge, kwa style hii Ni bora tu na yy amfuate mwenzake maana huku mtaan sio poa
Jaman twende mbele turud nyuma huyu mama anaumiza watu..
Wanajua sema wanajifanya vipofu,na angejilimbikizia mali wangemshambulia kwelikweli.nyerere hakua mtawala mbovu isipokua sera za kijamaa ndo zilimuangusha.
tatizo hao wenye viwanda ndio watunga sera na ndio wenye mamulaka,unategemea nini kwa wananchi.
nyerere hakua na tamaa, ukiwaangalia waasisi wenzake kama kenyata, mgabe namna walivyozitafuna nchi zao utagundua nyerere alikua bonge la kiongozi.Wanajua sema wanajifanya vipofu,na angejilimbikizia mali wangemshambulia kwelikweli.
Na huku tunazisoma hivyo hivyo, mb. 600@1000,1 kipande cha sabuni 750
2. Mbolea urea 105000
3. Can 75000
Jembe ni elf 8
4. Mafuta lita 6500
8. Nyama wanakula wauzaji buchani na matajir wachache
ni miaka 6 toka ni garaduate na kujiajiri kwenye kilimo cha mahindi, na bei ni sh.250 kwa kg. Bado kuzisoma namba mpaka miaka 50 ijayo.
KWENU NAMBA ZIPOJE? Tuzisome pamoja